Biashara ya madini ni kichaa. Kaka yangu kapoteza milioni 120 mwezi huu nimemkuta ameshaanza kudata

Bro Biashara ya Madini Matambiko ni lazima Alafu usichokijua Wazungu na Wahindi Ni watu noma Sana Kwenye Hizo mambo".

Ndio maana Hata uwe kigagula kiasi gani Huwezi kuiba benki,au kuiba Madini Mgodini".
Sio kweli
 
Aisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa Mbeya, aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa.

Huwezi amini nipo hospitali maana broo kama akili zishaanza kuwehuka, vitu anavyoongea havieleweki aisee, haamini kama kafukia milioni 120.

Nawashauri ndugu zangu wana jamiiforums hii sio biashara ya kufanya, ni kama inauchawi fulani hivi!
Mkuu amelazwa hospitali gani nije nimpe pole, Rufaa au mkoani?
 
Aisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa Mbeya, aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa.

Huwezi amini nipo hospitali maana broo kama akili zishaanza kuwehuka, vitu anavyoongea havieleweki aisee, haamini kama kafukia milioni 120.

Nawashauri ndugu zangu wana jamiiforums hii sio biashara ya kufanya, ni kama inauchawi fulani hivi!

Kama utafiti wako ni mdogo hivi kweli bora usifanye, maana utapoteza pesa.

Umeandika hata hatujui bro wako alipoteza pesa wakati gani, biashara ni pana na hatujui alianza stage ipi.

Kifupi kuna watu wanafanya biashara ya madini na wao hawachimbi wala kununua, ila wanauza vifaa vya madini.

Kuna watu hawachimbi wala kuuza vifaa, ila wananunua marudio na kuyachenjua tena.

Kuna watu wapo na makarasha na faida yao ipo kwenye marudio tuu. Wala hawahusiki na kuchimba wala vingene.

Kuna hao watafiti, wanamiliki maabara za madini na kuuza makemikali kama mercury na ma sulphur na mengine zaid. Na wote hao wanapiga pesa na sometimes kupigika.

Sasa wew umekuja na bandiko biashara ya madini sio ya kufanya na hata usemi tufanye ipi, mbaya zaid case study ni moja tu kaka ako. Anyway sijui bhana kama tupo bongo maniga
 
Angeingia kwa kuozesha udongo ingemlipa ikiwa angefanya kazi na watu sahihi.

Uchimbaji wengi wanabahatisha na kutapeliwa na waganga.

Kuozesha rudio la nani? Yani mwingine achimbe akuletee wewe uozeshe au you mean kumiliki plant akodishe?

Kuozesha marudio ya watu wengine wengi wametapeliwa kuliko kawaida. Watu wataleta mavumbi tu yalichonganywa na carbon kwa mbali.
 
Aisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa Mbeya, aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa.

Huwezi amini nipo hospitali maana broo kama akili zishaanza kuwehuka, vitu anavyoongea havieleweki aisee, haamini kama kafukia milioni 120.

Nawashauri ndugu zangu wana jamiiforums hii sio biashara ya kufanya, ni kama inauchawi fulani hivi!
madini sio kichaa.Ukifanya kwa kutumia waganga na risk za kijinga unakwenda na maji
 
Ndio nimefika Leo nilipigiwa simu jana kwamba kaka yangu kalazwa sababu ya kupoteza pesa machimboni Kwa kuendesha harakati za uchimbaji Sasa bado sijapata abc sababu ndio nimefika Leo mda huu
Sasa una uhakika gani kwamba ni sababu kapoteza hela? Huyo kaachwa na hamisa mobeto wake.
 
Usione watu wanapotelea machimboni ni wajinga wengi wana miji na familia ila akipiga hesabu gharama na muda aliutumia machimboni na muda huo hana hata ramani anaona bora anendelee kukomaa familia ndio inakuwa imesahaulika hivyo kurudi kwake ni ngumu wengi hufia uko uko
 
Ndio nimefika Leo nilipigiwa simu jana kwamba kaka yangu kalazwa sababu ya kupoteza pesa machimboni Kwa kuendesha harakati za uchimbaji Sasa bado sijapata abc sababu ndio nimefika Leo mda huu
Ww sasa unaenda kufanya nn kumtafuta mwizi au mchawi sana ww au umechukua ela unampatia au unahakiba ya dhahabu unaenda kumpatia au unaenda kuongeza tatizo la malazi kula na mahitaji mengine waafrika sijui tukoje hebu jiulize ww unaenda kufanya nn ok kufariji at the end ?????
 
Kuozesha rudio la nani? Yani mwingine achimbe akuletee wewe uozeshe au you mean kumiliki plant akodishe?

Kuozesha marudio ya watu wengine wengi wametapeliwa kuliko kawaida. Watu wataleta mavumbi tu yalichonganywa na carbon kwa mbali.
Ananunua udongo anaenda kuozesha.
 
Aisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa Mbeya, aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa.

Huwezi amini nipo hospitali maana broo kama akili zishaanza kuwehuka, vitu anavyoongea havieleweki aisee, haamini kama kafukia milioni 120.

Nawashauri ndugu zangu wana jamiiforums hii sio biashara ya kufanya, ni kama inauchawi fulani hivi!
Kila kazi ina risk zake acha utoto. Umewauliza wakulima msimu huu kilichowakuta?
 
Aisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa Mbeya, aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa.

Huwezi amini nipo hospitali maana broo kama akili zishaanza kuwehuka, vitu anavyoongea havieleweki aisee, haamini kama kafukia milioni 120.

Nawashauri ndugu zangu wana jamiiforums hii sio biashara ya kufanya, ni kama inauchawi fulani hivi!
Madini Bila Magendo hutoboi.

Ni kama cypto
 
Hujielewi
Nani hajielewi kati ya mimi na wewe unayesema biashara ya madini ni biashara kichaa kisa mtu kupoteza 120m? Kwamba yeye ndio wa kwanza kupata hasara? Kwamba hakuna waliofanikiwa? Hasara zipo kwenye kila biashara ila inaonekana wewe hujui chochote kuhusu biashara. Huyo aliyepoteza 120m amejifunza jqmbo kubwa sana akiibuka atakushangaza. Baadae usianze kusema amejiunga freemason maana ndio zenu nyie.
 
Nani hajielewi kati ya mimi na wewe unayesema biashara ya madini ni biashara kichaa kisa mtu kupoteza 120m? Kwamba yeye ndio wa kwanza kupata hasara? Kwamba hakuna waliofanikiwa? Hasara zipo kwenye kila biashara ila inaonekana wewe hujui chochote kuhusu biashara. Huyo aliyepoteza 120m amejifunza jqmbo kubwa sana akiibuka atakushangaza. Baadae usianze kusema amejiunga freemason maana ndio zenu nyie.
Hujielewi
 
Ww sasa unaenda kufanya nn kumtafuta mwizi au mchawi sana ww au umechukua ela unampatia au unahakiba ya dhahabu unaenda kumpatia au unaenda kuongeza tatizo la malazi kula na mahitaji mengine waafrika sijui tukoje hebu jiulize ww unaenda kufanya nn ok kufariji at the end ?????
Unauliza naenda kufanya nini hivi akili zako zipo timamu kweli kaka yangu kalazwa hospital unaniuliza naenda kufanya nini au ndio ugumu wa maisha umekutoa akili
 
Back
Top Bottom