Sio kweliBro Biashara ya Madini Matambiko ni lazima Alafu usichokijua Wazungu na Wahindi Ni watu noma Sana Kwenye Hizo mambo".
Ndio maana Hata uwe kigagula kiasi gani Huwezi kuiba benki,au kuiba Madini Mgodini".
Mkuu amelazwa hospitali gani nije nimpe pole, Rufaa au mkoani?Aisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa Mbeya, aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa.
Huwezi amini nipo hospitali maana broo kama akili zishaanza kuwehuka, vitu anavyoongea havieleweki aisee, haamini kama kafukia milioni 120.
Nawashauri ndugu zangu wana jamiiforums hii sio biashara ya kufanya, ni kama inauchawi fulani hivi!
Aisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa Mbeya, aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa.
Huwezi amini nipo hospitali maana broo kama akili zishaanza kuwehuka, vitu anavyoongea havieleweki aisee, haamini kama kafukia milioni 120.
Nawashauri ndugu zangu wana jamiiforums hii sio biashara ya kufanya, ni kama inauchawi fulani hivi!
Angeingia kwa kuozesha udongo ingemlipa ikiwa angefanya kazi na watu sahihi.
Uchimbaji wengi wanabahatisha na kutapeliwa na waganga.
madini sio kichaa.Ukifanya kwa kutumia waganga na risk za kijinga unakwenda na majiAisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa Mbeya, aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa.
Huwezi amini nipo hospitali maana broo kama akili zishaanza kuwehuka, vitu anavyoongea havieleweki aisee, haamini kama kafukia milioni 120.
Nawashauri ndugu zangu wana jamiiforums hii sio biashara ya kufanya, ni kama inauchawi fulani hivi!
Sasa una uhakika gani kwamba ni sababu kapoteza hela? Huyo kaachwa na hamisa mobeto wake.Ndio nimefika Leo nilipigiwa simu jana kwamba kaka yangu kalazwa sababu ya kupoteza pesa machimboni Kwa kuendesha harakati za uchimbaji Sasa bado sijapata abc sababu ndio nimefika Leo mda huu
Ww sasa unaenda kufanya nn kumtafuta mwizi au mchawi sana ww au umechukua ela unampatia au unahakiba ya dhahabu unaenda kumpatia au unaenda kuongeza tatizo la malazi kula na mahitaji mengine waafrika sijui tukoje hebu jiulize ww unaenda kufanya nn ok kufariji at the end ?????Ndio nimefika Leo nilipigiwa simu jana kwamba kaka yangu kalazwa sababu ya kupoteza pesa machimboni Kwa kuendesha harakati za uchimbaji Sasa bado sijapata abc sababu ndio nimefika Leo mda huu
Ananunua udongo anaenda kuozesha.Kuozesha rudio la nani? Yani mwingine achimbe akuletee wewe uozeshe au you mean kumiliki plant akodishe?
Kuozesha marudio ya watu wengine wengi wametapeliwa kuliko kawaida. Watu wataleta mavumbi tu yalichonganywa na carbon kwa mbali.
Utanunuaje gari ya 500m usiweke bima.Hauna biashara haina risky, the higher the risk, the more the return!
Chukulia mwenzako kanunua Yutong Mil 500 huko, siku ya kwanza imekula mzinga write-off1
Kila kazi ina risk zake acha utoto. Umewauliza wakulima msimu huu kilichowakuta?Aisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa Mbeya, aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa.
Huwezi amini nipo hospitali maana broo kama akili zishaanza kuwehuka, vitu anavyoongea havieleweki aisee, haamini kama kafukia milioni 120.
Nawashauri ndugu zangu wana jamiiforums hii sio biashara ya kufanya, ni kama inauchawi fulani hivi!
HujielewiKila kazi ina risk zake acha utoto. Umewauliza wakulima msimu huu kilichowakuta?
Madini Bila Magendo hutoboi.Aisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa Mbeya, aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa.
Huwezi amini nipo hospitali maana broo kama akili zishaanza kuwehuka, vitu anavyoongea havieleweki aisee, haamini kama kafukia milioni 120.
Nawashauri ndugu zangu wana jamiiforums hii sio biashara ya kufanya, ni kama inauchawi fulani hivi!
Nani hajielewi kati ya mimi na wewe unayesema biashara ya madini ni biashara kichaa kisa mtu kupoteza 120m? Kwamba yeye ndio wa kwanza kupata hasara? Kwamba hakuna waliofanikiwa? Hasara zipo kwenye kila biashara ila inaonekana wewe hujui chochote kuhusu biashara. Huyo aliyepoteza 120m amejifunza jqmbo kubwa sana akiibuka atakushangaza. Baadae usianze kusema amejiunga freemason maana ndio zenu nyie.Hujielewi
HujielewiNani hajielewi kati ya mimi na wewe unayesema biashara ya madini ni biashara kichaa kisa mtu kupoteza 120m? Kwamba yeye ndio wa kwanza kupata hasara? Kwamba hakuna waliofanikiwa? Hasara zipo kwenye kila biashara ila inaonekana wewe hujui chochote kuhusu biashara. Huyo aliyepoteza 120m amejifunza jqmbo kubwa sana akiibuka atakushangaza. Baadae usianze kusema amejiunga freemason maana ndio zenu nyie.
Unauliza naenda kufanya nini hivi akili zako zipo timamu kweli kaka yangu kalazwa hospital unaniuliza naenda kufanya nini au ndio ugumu wa maisha umekutoa akiliWw sasa unaenda kufanya nn kumtafuta mwizi au mchawi sana ww au umechukua ela unampatia au unahakiba ya dhahabu unaenda kumpatia au unaenda kuongeza tatizo la malazi kula na mahitaji mengine waafrika sijui tukoje hebu jiulize ww unaenda kufanya nn ok kufariji at the end ?????