Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida


Na kuwa na pant yako na kila kitu ulichoelezea hapa ili baada ya muda mfupi utoke inahitaji uwe na mtaji wa bei gani mkuu?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Umeeeleza vyema sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mkuu umefafanua vyema sana, naomba utaje maeneo ambayo dhahabu inapatikana kwa wingi angalau kwa MTU anayeanza safari ya upambanaji aweze kuendelea vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umempa ushauri mzuri sana, pia ningemshauri hiyo hela bora akanunue mawe aunganishe mtaji kidogo na wa mama wazoefu pale Geita maeneo km Nyaruyeye, Nyarugusu, Katolo ua Makongorosi, Mkwajuni, Matundasi kule Mbeya itamsaidia pia kujifunza biashara ya dhahabu kabla ajaenda kuwa Kota moja kwa moja.

Wa mama waaminifu thus why nime recommend ajiunge na wa kina mama wanaonunua na Ku process mawe na kuuza kwa Makota.
 
Dah!

Huu uzi umenikumbusha mbali mno

Niliingia kwenye hii biashara maeneo ya Rwamgasa - Geita

Nilikuwa nanunua mawe Stamiko nakwenda Kusaga nasafisha nauza.
Kwakweli ukisikia kamari ile ni pure kamari.
Leo unanunua mifuko 5 kwa 1M
Unapata 1,200,000 ( faida 200,000)
Kesho unanunua mawe ya 1M unapata 400,000 ( loss 600,000)

Simkatishi tamaa yeyote anayetaka kufanya hii biashara lakini wazoefu wataungana na mimi kwamba wenye mitaji mikubwa ndio wanaofanikiwa zaidi kwenye hii biashara.

Kama una mtaji mdogo na huna uzoefu, ji-attach kwa wakongwe hata mwaka mzima ujifunze kwanza (kwa vitendo) vinginevyo kuna asilimia kubwa ya kupoteza kuliko kufanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kuingia kwenye hii game kuna vitu vya kuzingatia sana mosi ni soko mana unaweza ukawa na gm ata 100 ila soko kulipata ni mbinde huwa hawanunui ktoka ktika sura ngeni.

Pia kuna namna ya kupandisha asilimia za dhahabu ata ikiwa asilimia 57 uwezo wa kusoma 99 inawezekana ukiwa interst au unadhahbu ni chafu nipm tuipandishe asilimia yan tunaiproses inatoka pure

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilipata nafasi ya kutembelea migodi ya wachimbaji Mpanda. Nikajichanganya nao.. Nikijifunza mengi sana kuhusu dhahabu. Hakuna tofauti kabisa na kilichoelezwa NA wadau kwenye Hii thread

Swali langu ivi Kuna unalazima sana wakununua gram 20 hadi 25 kwa siku.

Mwenyeji wangu alinishauli Ninunuee gram 10 kwa siku Kwanzaa nirahisi kuzipata

Naomba ushauli juu ya hili

Mimi nimepanga niwe NA gramu 25 angalau ndani ya wiki ziwezimekamilika ndio Niuzee
 
Bora ufanye biashara ya kununua mahindi uuze ...achana kabisa na hzo mambo..zna watu wake hzo..kitendo cha kuuliza hyo biashara huku tuu kimenambia wew hii hutoiweza..so bora uachane nayo
 

Gramu 10 faida haizidi 20-30! Ukitaka ufurahie hii mishe atleast kusanya 30-50gms per day..uhakika wa kulaza 200upo...
 

Shida moja inakuja wageni hamuwasikilizi wenyeji! Yaan wewe kila mtu anakuona fursa lazima ucheke, wajanja hawaendi namna hiyo
 

Hakuna watu matapeli kama wamama wa migodini wasio na mtaji...unaweza tamani kumfunga mtu na anachokuelza sasa anakuambia hela nimetuma nyumbani watoto wapate msos unampa 30000/ akuletee mawe mazuri, anatuma hom 25000/ buku 5 ananunua felo na kupiga ukware!
 
Hapo mkuu umefafanua vyema sana, naomba utaje maeneo ambayo dhahabu inapatikana kwa wingi angalau kwa MTU anayeanza safari ya upambanaji aweze kuendelea vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi hivi huwez jua pori gani limeitika..nenda mgod wowotw ule ukatafute marafiki, leo nimeambiwa maeneo ya nyakanazi sijui kuna kitu kinategemea kulipuka. Katafute connection. Nenda hata madibira hapo kwanza ukausome mchezo!
 


Yeah man!
 
Kuna karasha mbili used zipo kakola zinauzwa
Kwa mawasiliano zaid
0713879793
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…