Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

Ni vzr ufike site,mm Niko Geita kama uko tiari njoo ujifunze zaidi.

Asante mkuu. Kabla ya kuja nilitaka kupata japo muhtasari, kwa uzoefu wako, ni upande gani hasa unalipa elution plants au uuzaji vifaa kazi. Japo muhtasari kwa faida ya wote jukwani.
 
Asante mkuu. Kabla ya kuja nilitaka kupata japo muhtasari, kwa uzoefu wako, ni upande gani hasa unalipa elution plants au uuzaji vifaa kazi. Japo muhtasari kwa faida ya wote jukwani.
Biashara ya elution plants ni brand Kama unavyosikia ITV, CLOUDS etc....yaani Kama huna jina hamna biashara....elewa huku ni wasukuma wakisikia zile mashine wanaweka steel wire Kwny pipe ,yaani wanakukimbia Mara moja hata uwaambie unachoma mzigo bure.....walioanza wametangulia waache wazipige...ila ni biashara yenye kula hell kirahisi sijawahi kuona...fikiria Kuna mtu Ana mashine 5 na zote zinakula mzgo Kila siku kwa wiki,each mashine ni 1.2-1.5mil
Kwa siku anaingiza 6mil kwa wiki 42mil
 

Hapa Manzese Kuna elusion tunajazana balaa😛😛..but naamini ukitoa majibu murua utapata wateja tu
 

Nimekupata mkuu. Asante sana
 
Mkuu fafanua hapa ktk Crusher ,ndugu yako akianza 14th kazi anauza 14 july hii ni baada ya muda gani anauza lundo, na mgodi/maeneo yapi?
 
duh! anasaga mifuko mingapi per day, na anaopoa kila baada ya muda gani? ninmevutiwa kujifunza, kwani nataamani kongeza nguvu ktk mwalo. Na lundo la mwezi anauzaje?
Zaidi ya 15 per day
Anaopoa every 4-5dys
Mara ya mwisho alitengenza Cha 8m aliuza 19m!na hajawahi fikiria kwenda plant hata siku moja!
 
Plant
Smelter
Mwalo
Crusher

Ufafanuzi tafadhali.
 
🎤🎤🎤JAMANI MALINYI MISEGESE KUMEHILA,(KUMELIPUKA DHAHABU)
wale wenye kusimika Gest mpooo...
Wenye mpesa..
Kuweka plant..
Makota
Mama lishe. ! Huu ndo wakati wa kutengeneza pesa wakati mgodi wa motomoto...😋😋! Mie soon nafika huko ntawapa mrejesho...lols!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…