Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Biashara ya Maji ilikuwa zaidi ya Mafuta hapa Daaslam. Pale Sinza mitaa ya Super Star sikuhizi sjui mnapaitaje karbia na Mlimani City kulikuwa na Nyumba moja ya mtumishi wa DAWASA ndio ilikuwa kama DEPOT ya Maji malori ya Maji yalikuwa yanapanga foleni kama bandarin malori yanavyofyonza mafuta. Jamaa alikuwa na Ukwasi wa kutisha akilisha Kinondoni nzima. Ahsante JPM ulikata huu mnyororo yule Mhaya akaja kuishi kama shetani. Anyway kukatika kwa UMEME na MAJI ni michongo ya watu wanatafuta namna ya kulamba AsaliNapita Kinyerezi watu na ndoo kichwani. Nauliza vipi naambiwa mara ya mwisho maji yalitoka January hadi Leo tar 5 March 2023 hayajatoka.
Maboza yanakimbizana njiani kupelekea watu maji majumbani kwao, nimeuliza wanauza maji shilingi ngapi? Naambiwa wanaanzia kuuza lita 2,000 kwa shilingi 30,000 wasio na matenki wanachanga 30,000 halafu gari inapita kwa waliochanga wanawekewa maji,
Niwakumbushe tu Hayati Rais Magufuli aliwahi kwenda Segerea kuzindua miradi akaelezwa kero ya maji, akatoa siku saba kero ya maji iwe imeisha,maji yakatoka hadi alivyokufa nayo maji yakakatika.
Hili lipo chini ya Dawasa Kinyerezi, sijui viunga vingine vya jiji la Dar es Salaam.
Suala la maji jakaya alilimaliza kwa zaidi ya 80% dar kupitilia ruvu chini na juuBiashara ya Maji ilikuwa zaidi ya Mafuta hapa Daaslam. Pale Sinza mitaa ya Super Star sikuhizi sjui mnapaitaje karbia na Mlimani City kulikuwa na Nyumba moja ya mtumishi wa DAWASA ndio ilikuwa kama DEPOT ya Maji malori ya Maji yalikuwa yanapanga foleni kama bandarin malori yanavyofyonza mafuta. Jamaa alikuwa na Ukwasi wa kutisha akilisha Kinondoni nzima. Ahsante JPM ulikata huu mnyororo yule Mhaya akaja kuishi kama shetani. Anyway kukatika kwa UMEME na MAJI ni michongo ya watu wanatafuta namna ya kulamba Asali
Huku kimara Wala hatujazi maji kwenye majaba,maana yanatoka 24/7...Napita Kinyerezi watu na ndoo kichwani. Nauliza vipi naambiwa mara ya mwisho maji yalitoka January hadi Leo tar 5 March 2023 hayajatoka.
Maboza yanakimbizana njiani kupelekea watu maji majumbani kwao, nimeuliza wanauza maji shilingi ngapi? Naambiwa wanaanzia kuuza lita 2,000 kwa shilingi 30,000 wasio na matenki wanachanga 30,000 halafu gari inapita kwa waliochanga wanawekewa maji,
Niwakumbushe tu Hayati Rais Magufuli aliwahi kwenda Segerea kuzindua miradi akaelezwa kero ya maji, akatoa siku saba kero ya maji iwe imeisha,maji yakatoka hadi alivyokufa nayo maji yakakatika.
Hili lipo chini ya Dawasa Kinyerezi, sijui viunga vingine vya jiji la Dar es Salaam.
Unalalamika kwa kua hujalamba asali wewe 😂Napita Kinyerezi watu na ndoo kichwani. Nauliza vipi naambiwa mara ya mwisho maji yalitoka January hadi Leo tar 5 March 2023 hayajatoka.
Maboza yanakimbizana njiani kupelekea watu maji majumbani kwao, nimeuliza wanauza maji shilingi ngapi? Naambiwa wanaanzia kuuza lita 2,000 kwa shilingi 30,000 wasio na matenki wanachanga 30,000 halafu gari inapita kwa waliochanga wanawekewa maji,
Niwakumbushe tu Hayati Rais Magufuli aliwahi kwenda Segerea kuzindua miradi akaelezwa kero ya maji, akatoa siku saba kero ya maji iwe imeisha,maji yakatoka hadi alivyokufa nayo maji yakakatika.
Hili lipo chini ya Dawasa Kinyerezi, sijui viunga vingine vya jiji la Dar es Salaam.
Waziri unamwonea tu,utwezaje kusambaza huduma ya maji kwa wananchi kwenye jiji ambalp 80 ni squtter,hakuna miundo mbinu ya majiWaziri wa hii wizara ni mzigo ni basi tu ile kulindana.
Dogo aweso anapiga KAZI SANA na kafanya maboresho makubwa SANA kupitia RUWASAWaziri wa hii wizara ni mzigo ni basi tu ile kulindana.
Hata Sisi yameanza kutokaShukrani Ndugu Aweso,Maji yameanza kutoka muda huu hapa Kinyerezi baada ya mwezi toka January, information is power.
Hiyo shida pia ipo mitaa ya Mbezi Makabe, maji hayatoki, magari ya maji yanapishana tuu kupiga hela. Na magari hayo yanauza maji ya DAWASA. It's weird, watu wanafanya wanavyotaka, hawana utu. Imagine watu wameunganishiwa maji lakini maji hayatoki na wanauziwa maji safi ya DAWASA kwenye magari. This is crazyNapita Kinyerezi watu na ndoo kichwani. Nauliza vipi naambiwa mara ya mwisho maji yalitoka January hadi Leo tar 5 March 2023 hayajatoka.
Maboza yanakimbizana njiani kupelekea watu maji majumbani kwao, nimeuliza wanauza maji shilingi ngapi? Naambiwa wanaanzia kuuza lita 2,000 kwa shilingi 30,000 wasio na matenki wanachanga 30,000 halafu gari inapita kwa waliochanga wanawekewa maji,
Niwakumbushe tu Hayati Rais Magufuli aliwahi kwenda Segerea kuzindua miradi akaelezwa kero ya maji, akatoa siku saba kero ya maji iwe imeisha,maji yakatoka hadi alivyokufa nayo maji yakakatika.
Hili lipo chini ya Dawasa Kinyerezi, sijui viunga vingine vya jiji la Dar es Salaam.
Msukuma anasema kamba nyingine ziatanuka kama mpira kwani zinahama viunga. Makufa walahiKila MTU ale kwa urefu wa kamba yake