Nilipitia page flan ya Instagram kumbe magari ya maji yanasajiliwa kwa Tsh 100,000? Yaani hili ni janga. Maskini atakufa tu atake asitake..maana serikali isingetgubutu kuruhusu huu ujinga
Halafu eti kuna watu wanawaza bongo ikaisadie congo kupigana na M23 na Rwanda wakati hata kusolve issue ya maji haiwezi licha ya kuwa na vyanzo vya maji kuliko nchi zote Afrika