Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Una uhakika hata trei moja litaisha mkuu?15000,..tuseme kuanzia asubuhi hadi jioni nikauza trey nne,.nitakuwa na faida ya 8500Γ4,..swa na tsh 34000...na hio ni siku moja
Trei nne kwa siku kwani una tenda sehemu? Kwenye utafiti wako umeona inawezekana kweli kuuza trei nne au ndio uko na matarajio makubwa sana.Wakuu nataka niache aibu ...nianze kuuza moyai mjini
Trei 1 ni 6500,,,nikiyachemsha na kuyauza kila trey napata 15000,..tuseme kuanzia asubuhi hadi jioni nikauza trey nne,.nitakuwa na faida ya 8500Γ4,..swa na tsh 34000...na hio ni siku moja ...nikiuza mwezi mzima nitakuwa na tsh 34000 Γ30 =1020000 hapo nikitoa gharama za mkaa,maji,chumvi pilipili tuseme 50000 kwa hio nitabakia na tsh 970000..
Naombeni ushauri ni kipi nizingatie nisije kufeli.
Mayai mbona nasikia hayalipi kama una kuku wasiofika 5000.Nikajua unamaanisha biashara ya mayai kama ya Boni Yai, yaani kuuza mayai kwa jumla
Hilo ningekuunga mkono kwa asimilia 100 yanalipa vizuri
Kuna dogo nilikuwa namuhoji yeye anauza kila siku mbili haifiki sa saba mchanaTrei nne kwa siku kwani una tenda sehemu? Kwenye utafiti wako umeona inawezekana kweli kuuza trei nne au ndio uko na matarajio makubwa sana.
Umeuliza dogo mmoja what if anakudanganya usimuone anapoteza muda au what if yeye ndie anayefanya vizuri zaidi kwenye soko au mwenye bahati. Kila biashara inao watu wanaofanya vizuri sana na wanaofanya vibaya na wenye industrial average. Dar hii kuna bodaboda wanaoingiza 50k kwa siku, na kuna wanaopata 15k wakashukuru Mungu.Kuna dogo nilikuwa namuhoji yeye anauza kila siku mbili haifiki sa saba mchana
Sio uuzaji wa mayai kwa kufuga kuku kununua na kuuza kama wakalaMayai mbona nasikia hayalipi kama una kuku wasiofika 5000.
Hio ngumu kutoboa, Boni pia anamashamba ya kuku ananunua kwa wafugaji wadogo ili aongezee pale alipopungukiwa. Maana kwenye mayai wanaopanga Bei za mayai ni wazalishaji, sasa ukiwa sio mzalishaji kupata faida nikazi.Sio uuzaji wa mayai kwa kufuga kuku kununua na kuuza kama wakala
Wengi hawana mashamba ya kuku na wanapiga hiyo biashara kikubwa ni mzunguko wa biashara mkuuHio ngumu kutoboa, Boni pia anamashamba ya kuku ananunua kwa wafugaji wadogo ili aongezee pale alipopungukiwa. Maana kwenye mayai wanaopanga Bei za mayai ni wazalishaji, sasa ukiwa sio mzalishaji kupata faida nikazi.
Labda uagize kutoka Kenya.
Umeelezea vizuri sanaUmeuliza dogo mmoja what if anakudanganya usimuone anapoteza muda au what if yeye ndie anayefanya vizuri zaidi kwenye soko au mwenye bahati. Kila biashara inao watu wanaofanya vizuri sana na wanaofanya vibaya na wenye industrial average. Dar hii kuna bodaboda wanaoingiza 50k kwa siku, na kuna wanaopata 15k wakashukuru Mungu.
Bado hujafanya utafiti na wala hautopata majibu sahihi humu JF. Rudi mtaani chunguza zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23] wahitimu bhana
labda atajiuzia mwenyewTrey zote unamuuzia nani!?
Mkuu unalijua chimbo la hayo mayai?Nikajua unamaanisha biashara ya mayai kama ya Boni Yai, yaani kuuza mayai kwa jumla
Hilo ningekuunga mkono kwa asimilia 100 yanalipa vizuri