Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

Bu'yaka,
Tatizo lipo.akija mteja wa tatu atamwambia mbao zimeisha njoo kesho kutwa na mteja atarud nyumban kusubir mbao wakat kuna sehem nyingine zinapatikana?
 
Wasikukatishe tamaa hao wasioijua hii biashara.

M5 inatosha sana inategemeana unataka kuanza biashara hii katika level ipi?

M5 ukiwa nayo na kununua chainsaw mbili mpya husqvarna 272 series @3M, ni suala la muda mchache sana uta accumulate mtaji huo wa 50M wanayokutisha nayo.

Nakupa mbinu ya mchezo;

Umesema upo Dodoma sio? Sasa hama hapo kwa muda tu, sogea Mlali au Kilosa jifiche hapo na Chainsaw zako mbili, waweke sawa viongozi then ingia mzigoni na maopareta wako uchane mbao za kupaulia 2*3*12&2*4*15&2*2*12 (blandering)&1*8*12 (fisherboard) utauza kila ubao kwa sh4000 minimum. Daily tengeneza shehena ya piece200 tu na kwa wiki piga kazi siku5. Utafanya kazi hiyo chini ya miezi6 utakuwa na M50.

Au; chukua hiyo 5M yako nunua msumeno wa duara @1M, mashine ya kusaga size24 kwa@1M meza ya ku mount hiyo mashine(utaipata mafinga au makambako) @1M. Kisha zama navyo wilaya ya Rungwe kakite kambi huko then tenga 0.5M ku accomodate urasimu wa kazi na 1.5M nunua miti kwa raia na mengineyo, kisha anza kazi.
 
Kwa maelekezo zaidi, mkuu commernder nicheki PM nikuchoree ramani.

Usikubali kushindwa ndg yangu ila kinachotakiwa ni kwenda mdogo mdogo na kuamini kwamba utashinda.
Hata hiyo 5M naamini hukuipata overnight.

Achana na walio karirishwa na kujazwa matango pori vichwani.
 
Ndgu wana JF wenzangu naishi kahama na nnahitaji kufanya biashara ya mbao nna mtaji Wa M 1 je ipi n nzuri na ushauri wake
 
Wasikukatishe tamaa hao wasioijua hii biashara.

M5 inatosha sana inategemeana unataka kuanza biashara hii katika level ipi?

M5 ukiwa nayo na kununua chainsaw mbili mpya husqvarna 272 series @3M, ni suala la muda mchache sana uta accumulate mtaji huo wa 50M wanayokutisha nayo.

Nakupa mbinu ya mchezo;
Umesema upo Dodoma sio? sasa hama hapo kwa muda tu, sogea Mlali au Kilosa jifiche hapo na Chainsaw zako mbili, waweke sawa viongozi then ingia mzigoni na maopareta wako uchane mbao za kupaulia 2*3*12&2*4*15&2*2*12 (blandering)&1*8*12 (fisherboard) utauza kila ubao kwa sh4000 minimum. Daily tengeneza shehena ya piece200 tu na kwa wiki piga kazi siku5. Utafanya kazi hiyo chini ya miezi6 utakuwa na M50.

Au; chukua hiyo 5M yako nunua msumeno wa duara @1M, mashine ya kusaga size24 kwa@1M meza ya ku mount hiyo mashine(utaipata mafinga au makambako) @1M. Kisha zama navyo wilaya ya Rungwe kakite kambi huko then tenga 0.5M ku accomodate urasimu wa kazi na 1.5M nunua miti kwa raia na mengineyo... kisha anza kazi.
Duu mkuu wazo zuri sana ntalifanyia kazi haraka iwezekanavyo asante mkuu
 
Sawa mkuu, naomba share nasi uzoefu wako ktk hili.
Je, ni lazima kila anaetaka kuanza biashara hii awe na startup capital ya 50M?

Ina maana hii biashara haina dealers wanao chipukia kwa mtaji mdogo chini ya hapo?
Swali zuri.
 
Kwa maelekezo zaidi, mkuu commernder nicheki PM nikuchoree ramani.

Usikubali kushindwa ndg yangu ila kinachotakiwa ni kwenda mdogo mdogo na kuamini kwamba utashinda.
Hata hiyo 5M naamini hukuipata overnight.

Achana na walio karirishwa na kujazwa matango pori vichwani.
Ntakucheki mkuu huo ndo moyo.
 
Ndugu zangu nisaidieni nina million 5 za biashara ya mbao, mtaji huu unatosha? Na niuzeje rejareja au jumla ipi inalipa. Asanten
Kwa uzoefu wangu mdogo nadhani huo mtaji kwa mbao haitoshi labda uongeze au ufungue biashara nyingine.
 
Ungemuuliza kwanza ni mbao za aina gani?
Je soko lake amengea wapi na wakina nani!? Mbao atachukulia wapi!?

Hapo ungeweza kujua je mtaji wake unatosha au laah
Ndo kwanza naanza,mbao nataka nifate mafinga ndo maana nkajua ntapata wanaojua biashara hii vizuri wanielekeze.
 
Back
Top Bottom