Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

Hizo ni ndogo sana huwezifanya biashara ya Mbao. Mfano gharama ya usafiri/ Lorry La mbao kutoka Sao Hill - Mwanza ni zaidi ya 4 M. Thamani ya mzigo unaobebwa ni 19M - 20M.Aliyependekeza 50M yuko sahihi.
Huyo mwenye million hamsini, si alianza kwa mtaji mdogo.
 
Nimejifunza kitu kutoka kwako Mkuu thanks alot!

Ni watu wachache wenye kusema ukweli vijana wengi wanaogopa Sana Risks!

Ahsante sana Mkuuu!
 
Mbona mtaji unatosha Sana kwa kuanzia mkuu. Fanya HV kamata msumeno wa duara,bench na engine no total 3ml
Kama msitu wa kwanza mdogo kwa 1m. Operation 500k

Wateja watafwata mbao huko huko ukiwa serious ndan ya miez kadhaa utapata mtaji wa kufungua site yako

By the way nauza machine mkuu
 
Mkuu,

Mtaji wa 5m ni mkubwa au mdogo kulingana na namna ya ambavyo umeamua kufanya biashara hii. Kwanza sikushauri uanze kwa kusafirusha na kuuza mikoa mingine, nadhani ni vyema zaidi ukanunua mashine kama wadau wengine walivyoshauri ukaingia porini Mufindi watu huwa wanauza miti kwa hekari kwa bei rahisi sana (hasa mwezi wa kwanza na wa saba) watoto wanapofungua shule.

Tumia hiyo gap tafuta vijana, ingia porini,chana mbao wanunuzi watazifuata huko huko. baada ya kama miezi 6 kama utakuwa serious naamini utakuwa umepata hiyo 50m+uzoefu, hapo ndio unaweza kuanza kusafirisha.

Its very possible mkuu,
All the best.
 
Hiyo biashara Mufindi, Njombe na Makete inalipa sana. Kule Njombe vijijini kwa sasa mti mmoja wa kupasua mbao ukiuza jumla unakwenda kwa bei kati 10,000 mpaka 15,000 kutemegea na size yake na wateja wapo sio wakutafuta wanakufuata wenyewe, sasa ukiwa na miti 100,000 tayari milionea. mwenye nimenunua mashamba huko kwaajili ya kupanda Pines .

Miti 100,000 inachukua eneo la ukubwa gani?

Na bei ya eneo kama hilo huko ulikokutaja ni Tshs ngapi?
 
Mm nafanja hiyo biashara natoa mbao mzigo wa semi(3500-4000pc) kutoka makambako, njombe, matembwe. Na deal na mbao fupi(12ft) kufunga mzigo wa semi ina cost 10-15 million inategemea mchangajiko wako wa mbao. Usafiri una cost 2.7-3.3 million kutegemea na wapi unapakia mbao. Ushuru una cost 200000-800000inategemea wapi unapakia mbao.

Kibali 100000, wapakiaji 120000, risiti ya tra 300,000. So bila 16-20 million uwezi leta mbao dar. Mm nauza semi 1 kila wiki so kwa mwenzi semi 4 yani kila wiki nashusha mbao. Naweza uza hivyo coz mm niko kati ya top three ya wauza mbao buguruni weje bei ya chini. Wateja wangu wengi ni wauza mbao kwenye maduka madogo so wateja wa 5-8 mzigo umeisha. Pia na mashine ya kuchana na ya kuranda na pipa la kutreat mbao.

So mteja kwangu hanausumbufu. Kingine mm na semi trailer yangu 124L 420 scania so kutoka dar napakia mbolea naenda kushusha njombe then napakia mbao zangu kuja dar every wk. The trick ni kuuza mbao njingi kwa bei chee than kuuza mbao chache kwa bei ya juu. Sikosi 3.5 million kwa kila mzigo jani per wk. kwa mwezi na 14.

Biashara hii inaitaji moyo coz its risky nakujituma. Bila 30 million uwezi hii biashara. Mtaji wangu uko kweje 200 million na nina rejesho la 4 million kila mnth crdb bank for three year its not a joke. Nikujituma, kuomba mungu wako na shule kichwani.
Safii mkuu. Nitakucheki na neno na wewe
 
Mm nafanja hiyo biashara natoa mbao mzigo wa semi(3500-4000pc) kutoka makambako, njombe, matembwe. Na deal na mbao fupi(12ft) kufunga mzigo wa semi ina cost 10-15 million inategemea mchangajiko wako wa mbao.

Usafiri una cost 2.7-3.3 million kutegemea na wapi unapakia mbao. Ushuru una cost 200000-800000inategemea wapi unapakia mbao. Kibali 100000, wapakiaji 120000, risiti ya tra 300,000. So bila 16-20 million uwezi leta mbao dar. Mm nauza semi 1 kila wiki so kwa mwenzi semi 4 yani kila wiki nashusha mbao. Naweza uza hivyo coz mm niko kati ya top three ya wauza mbao buguruni weje bei ya chini. Wateja wangu wengi ni wauza mbao kwenye maduka madogo so wateja wa 5-8 mzigo umeisha.

Pia na mashine ya kuchana na ya kuranda na pipa la kutreat mbao. So mteja kwangu hanausumbufu. Kingine mm na semi trailer yangu 124L 420 scania so kutoka dar napakia mbolea naenda kushusha njombe then napakia mbao zangu kuja dar every wk. The trick ni kuuza mbao njingi kwa bei chee than kuuza mbao chache kwa bei ya juu.

Sikosi 3.5 million kwa kila mzigo jani per wk. kwa mwezi na 14. Biashara hii inaitaji moyo coz its risky nakujituma. Bila 30 million uwezi hii biashara. Mtaji wangu uko kweje 200 million na nina rejesho la 4 million kila mnth crdb bank for three year its not a joke. Nikujituma, kuomba mungu wako na shule kichwani.
Asante Braza umefafanua vyema
 
Kazi ya kupanda miti inachukua muda mrefu kidogo. Hesabia siyo chini ya miaka kumi na mbili hivi toka upande ndiyo unaanza kuvuna. Unatakiwa kwenda nayo taratibu. Kila mwaka panda miti kiasi fulani ili utakapoanza kuvuna uendelee kuvuna kila mwaka na kupanda ulikovuna.

Kuhusu gharama za kupanda zinatofautiana kufuatana na kijiji. Kijijini kwangu kwa sasa nadhani ni aghali kidogo kwani ni watu wengi wanopanda miti. Muamko umekuwa mkubwa sana. Ni mimi niliwastua baada ya kuona kazi niliyokuwa naifanya. Kwa sasa nadhani mche mmoja upo chini ya Sh 100 nakuupanda ni Shs 30.

Mimi nilianza kwa kununua mche Shs 30 na kupanda Shs 20. Hiyo ilikuwa miaka kumi iliyopita lakini leo mti huo naweza kuuza siyo chini ya Shs 10,000 mpaka 20,000.

Kiasi cha mbao utakazopata inategemea na aina ya miti, matunzo,umri wa mti, na ulipanda kwa nafasi gani (distance between trees). Mazungumzo yangu hapa yanahusu zaidi miti aina ya Pines.

Kwa kawaida tegemea kupata kati ya mbao tano za 2x6 kama ukiharakisha kuvuna lakini mti huo kama umekomaa (miaka 25 hivi) umetunzwa vizuri na ulipandwa kwa nafasi nzuri unaweza kutoa hadi mbao 30. Wengi wetu ikifika miaka 12 tunavuna, na kinachopatikana siyo haba lakini nadhani ni nzuri zaidi kuvuna kuanzia miaka 15 au 16 hivi kwani utakuwa na uhakika wa kupata pingili siyo chini ya mbili na mbao ndefu za 2x6 angalau 6 nakwenda juu . Ubao mmoja wa 2x6 uliopakwa dawa hapo DSM unauzwa siyo chini ya Shs 17,000 na kule Mafinga kiwandani bila dawa ni Shs 10,000
bila kupungua senti tano.

Maeneo Mazuri za Kupanda Miti

Miti ninayozungumzia hapa ni Pines, Cypress na Eucalyptus. Miti hii inaota na kustawi vizuri sana nyanda za juu kusini. Ukitaka kupanda miti nakushauri uende Njombe halafu kutoka hapo fuata barabara nne: Kwenda Makete, Kwenda Ludewa, Kwenda Songea na Kwenda Lupembe. Utakapopita sehemu hizo zote utaoona maeneo mazuri sana ya kupanda miti. Kupata eneo unaweza kununua kijijini au kwa wananchi.

Nakushauri usikubali kukodishiwa. Bei inategemea na eneo. Kuna sehemu upandaji wa miti umeshika kasi sana kwa hiyo maeneo hayo ardhi itakuwa aghali kidogo japokuwa ndiyo sehemu nzuri kwani wananchi wake watakuwa na uzoefu wa upandaji miti na hutakuwa peke yako kwenye kuhangaika kudhibiti moto.

Matunzo ya Miti

Baada ya kupanda unaweza kufyekelea mara moja au mbili mpaka mti ukomae. Pruning nayo unaweza kufanya
mara mbili. Njia za kuzuia moto (Fire Lines) unatakiwa utengeneze kila mwaka bila kukosa. Kwa vile mimi nimepanda eneo kubwa basi niliamua kununua ng'ombe ambao wananisaidia kupunguza majani pembezoni mwa shamba.

Ili uweze kumudu vizuri upandaji wa miti mingi, hasa kama utapanda kila mwaka, na nakushauri upande kila mwaka kwa kweli inabidi uajiri kijana, kama siyo mwanzoni basi baada ya miaka kadhaa kupita.

Yeye ndiye atakayekuwa ndiyo wa kwanza kujua shamba linakabiliwa na matatizo gani na namna ya kuyatatua haraka iwezekanavyo. Mimi shamba langu ni kubwa (siyo chini ya ekari 1500) nimeajiri vijana watatu. Mmoja wao anaishi ndani ya shamba na ndiye anayetunza ng'ombe. Pamoja na ukubwa wa shamba lakini nimelipanda polepole kwa miaka kama kumi hivi.

Nimeamua kuambatanisha picha chache za mradi wangu nashindwa kuleta nyingi zaidi kwa vile zinatumia muda mrefu mno kuload.
Mkuu, maendeleo kwasasa yakoje? Naweza kupata ardhi huko kwa bei gani?
 
Mm nafanja hiyo biashara natoa mbao mzigo wa semi(3500-4000pc) kutoka makambako, njombe, matembwe. Na deal na mbao fupi(12ft) kufunga mzigo wa semi ina cost 10-15 million inategemea mchangajiko wako wa mbao. Usafiri una cost 2.7-3.3 million kutegemea na wapi unapakia mbao. Ushuru una cost 200000-800000inategemea wapi unapakia mbao.

Kibali 100000, wapakiaji 120000, risiti ya tra 300,000. So bila 16-20 million uwezi leta mbao dar. Mm nauza semi 1 kila wiki so kwa mwenzi semi 4 yani kila wiki nashusha mbao. Naweza uza hivyo coz mm niko kati ya top three ya wauza mbao buguruni weje bei ya chini. Wateja wangu wengi ni wauza mbao kwenye maduka madogo so wateja wa 5-8 mzigo umeisha. Pia na mashine ya kuchana na ya kuranda na pipa la kutreat mbao.

So mteja kwangu hanausumbufu. Kingine mm na semi trailer yangu 124L 420 scania so kutoka dar napakia mbolea naenda kushusha njombe then napakia mbao zangu kuja dar every wk. The trick ni kuuza mbao njingi kwa bei chee than kuuza mbao chache kwa bei ya juu. Sikosi 3.5 million kwa kila mzigo jani per wk. kwa mwezi na 14.

Biashara hii inaitaji moyo coz its risky nakujituma. Bila 30 million uwezi hii biashara. Mtaji wangu uko kweje 200 million na nina rejesho la 4 million kila mnth crdb bank for three year its not a joke. Nikujituma, kuomba mungu wako na shule kichwani.
Mkuu, semi moja ni tani ngapi za mbao? Hizo ni aina gani za mbao? Vipimo vyake vikoje?
 
Mkuu, semi moja ni tani ngapi za mbao? Hizo ni aina gani za mbao? Vipimo vyake vikoje?
kama hiyo mkuu
IMG_20190606_170134.jpg
 
Mkumbuke kuleta mirejesho basi, watu tunajitaidi kutoa mawazo alafu mnaondoka kimya kimya bwana.
 
Wasikukatishe tamaa hao wasioijua hii biashara.

M5 inatosha sana inategemeana unataka kuanza biashara hii katika level ipi?

M5 ukiwa nayo na kununua chainsaw mbili mpya husqvarna 272 series @3M, ni suala la muda mchache sana uta accumulate mtaji huo wa 50M wanayokutisha nayo.

Nakupa mbinu ya mchezo;
Umesema upo Dodoma sio? sasa hama hapo kwa muda tu, sogea Mlali au Kilosa jifiche hapo na Chainsaw zako mbili, waweke sawa viongozi then ingia mzigoni na maopareta wako uchane mbao za kupaulia 2*3*12&2*4*15&2*2*12 (blandering)&1*8*12 (fisherboard) utauza kila ubao kwa sh4000 minimum. Daily tengeneza shehena ya piece200 tu na kwa wiki piga kazi siku5. Utafanya kazi hiyo chini ya miezi6 utakuwa na M50.

Au; chukua hiyo 5M yako nunua msumeno wa duara @1M, mashine ya kusaga size24 kwa@1M meza ya ku mount hiyo mashine(utaipata mafinga au makambako) @1M. Kisha zama navyo wilaya ya Rungwe kakite kambi huko then tenga 0.5M ku accomodate urasimu wa kazi na 1.5M nunua miti kwa raia na mengineyo... kisha anza kazi.
[emoji114][emoji114]
 
Back
Top Bottom