Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

Tupatie njia za kuanza nazo katika korosho
Hahaha mi nilienda ila jamaa yenu wa 'panapo Magogo' akanifanya vibaya baada ya kuwatuma wazee wa baka baka na ku impose sheria za kuumiza kangomba.
 
Vipi kuhusu biashara ya mbao ngumu (hardwood)? Hasa mbao kutoka mahenge Morogoro.
 
Good day good citizens!

Nafikiria kuanzisha biashara ya Mbao kwa Dar es salaam especially Buguruni

Naomba kufahamishwa kuhusu:
  • Mchanganuo Minimum Wa mtaji
  • Gharama za uendeshaji
  • Risk(s) zilizopo katika hii biashara
  • Sehemu nzuri ya kupatia mbao na mirunda mizuri na bei rahisi
  • Masoko mazuri zaidi ya Mbao kwa hapa Dar
Natanguliza shukrani.
 
Good day good citizens!
Nafikiria kuanzisha biashara ya Mbao kwa Dar es salaam especially Buguruni
Naomba kufahamishwa kuhusu:

- Mchanganuo Minimum Wa mtaji
- Gharama za uendeshaji
- Risk(s) zilizopo katika hii biashara
- Sehemu nzuri ya kupatia mbao na mirunda mizuri na bei rahisi
- Masoko mazuri zaidi ya Mbao kwa hapa dar

Natanguliza shukrani.
Mtaji inategemea na mtaji ulionao.
Mbao zinapatikana Mafinga , Makambako Njombe na Makete.
Risk ni kuuziwa mbao zenye kasoro Kama kupinda, kuchanika nk.
Kama una swali lingine uliza.
 
WaTz wachoyo wa mawazo wengi wanafanya biashara ya mbao humu ila wameususa huu uzi.Nyuzi za nilivyomla afisa misitu kiutani utani ndo utakuta wanatoa mawazo yao huko.
Kuna mtu humu nna mwaka wa4 namuomba connection ya kitu fulan Wala hajibu...! 😛😛!
Bahati nzuri nikajiambia nitafika napotak...yumo balaa humu...yaan ndo naposema wabongo ni watu wakuogopwa Kama sumu!.
 
Kuna mtu humu nna mwaka wa4 namuomba connection ya kitu fulan Wala hajibu...! 😛😛!
Bahati nzuri nikajiambia nitafika napotak...yumo balaa humu...yaan ndo naposema wabongo ni watu wakuogopwa Kama sumu!.
Nilikuwa nina mpango wa kwenda nchi fulani jamaa mmoja nikamuuliza kuhusu mambo ya huko maana ningekuwa mgeni,akaniambia tafuta wabongo wanaoishi huko.Nikapokea hilo wazo kwa mikono miwili.Ila kuna mdau mwingine nikamueleza kuhusu hiyo ishu.Akajibu 'wabongo! usijaribu'.Sasa ndo naanza kumuelewa.
 
Ukifika tushituane🤭!
 
Back
Top Bottom