plan z
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 1,394
- 1,434
HawatakujaAkisema asubiri mtu aje kumshauri atasubiri Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HawatakujaAkisema asubiri mtu aje kumshauri atasubiri Sana
Nicheki mkuu 0753439374 uniunganishe naeUkiweza kumtafuta tiger itakuwa vizuri, tiger ni member humu JF na amekuwa akihangaikia hiyo biashara. Na yeye anatoa mzigo toka nchi jirani na kuleta Bongo. Yeye ni mbao ngumu. Jaribu kumtafuta kwa pm na kama hapatikani nitakupa namba zake mobile phone.
Tuwasiliane namba yangu ya watsapp ni 255784577757Habari yako bwana, mimi niko China.
Huku kuna soko zuri sana la mbao, zote hardwood au softwood. Hii mimi nimekua nikijaribu kuifanya ila nikawa na matatizo ya supply chain nikashidhwa kuingia mikataba nao. Kama wewe uko serious, na uko tayari kufanya biashara basi wasiliana nami ili tuendelee na mazungumzo.
So hata kwa muanzaji lazima aingie na mtaji wa 16-20 million????
Jamani mimi nina chaneli ya high quality mbao (zilizokatwa na ambazo bado hazijakatwa) for export toka nchi jirani. Documents na leseni zote zipo. Nafikiria masoko ya Far East na Middle East. Hivyo UAE, SAUDIA, IRAN na kule Malaysia, Vietnam na kadhalika ndio nakutaka.
Je, kuna mtu anaweza kunipa links au ushauri?
MAULIZO YA WADAU WENGINE
MICHANGO WA WADAU KUHUSU BIASHARA HII
Njoo Mkoani kagera kuna mazao mawili miti na vanilla tumekosa soko la uhakika,tunauza bei za chini kabisa mti tsh 10,000-15,000 hukosi pc 5 za "2"*"6" na vanilla soko halipo kabisa nipo naunda umoja wa Wakulima tutafute soko la uhakika maana haya mashirika na kampuni zilizopo zimetupiga mno mpaka hela ya msimu jana hatujapewa.
Jamani mimi nina chaneli ya high quality mbao (zilizokatwa na ambazo bado hazijakatwa) for export toka nchi jirani. Documents na leseni zote zipo. Nafikiria masoko ya Far East na Middle East. Hivyo UAE, SAUDIA, IRAN na kule Malaysia, Vietnam na kadhalika ndio nakutaka.
Je, kuna mtu anaweza kunipa links au ushauri?
MAULIZO YA WADAU WENGINE
MICHANGO WA WADAU KUHUSU BIASHARA HII
Nami nahitaji sana kufahamu kuhusu hilimkuu nenda jukwaa la fursa na biashara,utakutana na wazoefu kirahisi zaidi kule.
Bosi mi nipo Makambako biashara ya Mbao ipo na ni nzuri sana kama unahitaji kweli kufanya biashara hii karibu Boss mi nipo hapa na soko liko hapa Contact 0737263867Mimi ningependa kujua kutoka kwenu kuhusiana na biashara ya mbao nataka kufanya hii biashara je mbao zinapatikana mkoa gani kwa bei ya jumla mimi naishi kahama
Asanteni
MduguGood day good citizens!
Nafikiria kuanzisha biashara ya Mbao kwa Dar es salaam especially Buguruni
Naomba kufahamishwa kuhusu:
- Mchanganuo Minimum Wa mtaji
- Gharama za uendeshaji
- Risk(s) zilizopo katika hii biashara
- Sehemu nzuri ya kupatia mbao na mirunda mizuri na bei rahisi
- Masoko mazuri zaidi ya Mbao kwa hapa dar
Natanguliza shukrani.
Ni biashara tamu sana lakini ni yenye risk kubwa usipotimiza taratibu hasa za maliasili kiongozi karibu tuwasiliane 0737263867