Pilato 007
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 447
- 470
Ungemuuliza kwanza ni mbao za aina gani!?Wewe bila seed capital ya 50million hujauza mbao ....labda mtaji huo uuze kuni
Sawa mkuu, naomba share nasi uzoefu wako ktk hili.Mkuu nafanya hii biashara...najua nyeupe na nyeusi..
Tupe uzoefu wako ndugu.Mkuu nafanya hii biashara...najua nyeupe na nyeusi..
Duu mkuu wazo zuri sana ntalifanyia kazi haraka iwezekanavyo asante mkuuWasikukatishe tamaa hao wasioijua hii biashara.
M5 inatosha sana inategemeana unataka kuanza biashara hii katika level ipi?
M5 ukiwa nayo na kununua chainsaw mbili mpya husqvarna 272 series @3M, ni suala la muda mchache sana uta accumulate mtaji huo wa 50M wanayokutisha nayo.
Nakupa mbinu ya mchezo;
Umesema upo Dodoma sio? sasa hama hapo kwa muda tu, sogea Mlali au Kilosa jifiche hapo na Chainsaw zako mbili, waweke sawa viongozi then ingia mzigoni na maopareta wako uchane mbao za kupaulia 2*3*12&2*4*15&2*2*12 (blandering)&1*8*12 (fisherboard) utauza kila ubao kwa sh4000 minimum. Daily tengeneza shehena ya piece200 tu na kwa wiki piga kazi siku5. Utafanya kazi hiyo chini ya miezi6 utakuwa na M50.
Au; chukua hiyo 5M yako nunua msumeno wa duara @1M, mashine ya kusaga size24 kwa@1M meza ya ku mount hiyo mashine(utaipata mafinga au makambako) @1M. Kisha zama navyo wilaya ya Rungwe kakite kambi huko then tenga 0.5M ku accomodate urasimu wa kazi na 1.5M nunua miti kwa raia na mengineyo... kisha anza kazi.
Hapo umenena mkuu acha niku Pm watu wapo kwa kukatisha tamaa tu.Kwa maelekezo zaidi, mkuu commernder nicheki PM nikuchoree ramani.
Usikubali kushindwa ndg yangu ila kinachotakiwa ni kwenda mdogo mdogo na kuamini kwamba utashinda.
Hata hiyo 5M naamini hukuipata overnight.
Achana na walio karirishwa na kujazwa matango pori vichwani.
Swali zuri.Sawa mkuu, naomba share nasi uzoefu wako ktk hili.
Je, ni lazima kila anaetaka kuanza biashara hii awe na startup capital ya 50M?
Ina maana hii biashara haina dealers wanao chipukia kwa mtaji mdogo chini ya hapo?
Ntashukuru ukinipa uzoefu wako mkuu.Mkuu nafanya hii biashara. Najua nyeupe na nyeusi..
Ntakucheki mkuu huo ndo moyo.Kwa maelekezo zaidi, mkuu commernder nicheki PM nikuchoree ramani.
Usikubali kushindwa ndg yangu ila kinachotakiwa ni kwenda mdogo mdogo na kuamini kwamba utashinda.
Hata hiyo 5M naamini hukuipata overnight.
Achana na walio karirishwa na kujazwa matango pori vichwani.
Mmmh majibu mengine sawa mkuu.Huo mtaji wa kufugia kuku wa kienyeji mkuu!
Ndo hapo.Tatizo lipo, akija mteja wa tatu atamwambia mbao zimeisha njoo kesho kutwa na mteja atarud nyumban kusubir mbao wakat kuna sehem nyingine zinapatikana?
Kwa uzoefu wangu mdogo nadhani huo mtaji kwa mbao haitoshi labda uongeze au ufungue biashara nyingine.Ndugu zangu nisaidieni nina million 5 za biashara ya mbao, mtaji huu unatosha? Na niuzeje rejareja au jumla ipi inalipa. Asanten
Ndo kwanza naanza,mbao nataka nifate mafinga ndo maana nkajua ntapata wanaojua biashara hii vizuri wanielekeze.Ungemuuliza kwanza ni mbao za aina gani?
Je soko lake amengea wapi na wakina nani!? Mbao atachukulia wapi!?
Hapo ungeweza kujua je mtaji wake unatosha au laah
Nashangaa kama kutakuwa na ubaya wowote ati.Halafu wakimaliza mbao zote dukani kuna tatizo gani?
We ungependa kulala na mimbao inaremba duka?
Umepanga soko lako uuzie wapi mkuu!?Ndo kwanza naanza,mbao nataka nifate mafinga ndo maana nkajua ntapata wanaojua biashara hii vzr wanielekeze