Shareef Conscious
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 522
- 343
ule wa Plastic nao soko lake ni wap?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha polish mkuu!Wakulima wa mpunga waskuma
Hao hao ndo wamenda ifakara kuwaamsha hao wavivu huko
Best mchele ni shinyanga
UNATAKA MCHELE AMA MPUNGA?
Mpunga lazma ufaham kua kuna majina ya mbegu
Mchele wenye mchanga. Ni mambo ya kale hayo mkuu walikua wakivunia mpunga chini pili mashine zilikua sio
Sasa hivi kuna mashine best mchele hauzwi hadi upigwe na polish
Hahaha polish mkuu!
Michele unapakwa mafuta ya kula ili usipauke
Wakulima wa mpunga waskuma
Hao hao ndo wamenda ifakara kuwaamsha hao wavivu huko
Best mchele ni shinyanga
UNATAKA MCHELE AMA MPUNGA?
Mpunga lazma ufaham kua kuna majina ya mbegu
Mchele wenye mchanga. Ni mambo ya kale hayo mkuu walikua wakivunia mpunga chini pili mashine zilikua sio
Sasa hivi kuna mashine best mchele hauzwi hadi upigwe na polish
Kwa uandishi huu,I hope we ndo kilazaDoohhh...pole kumbe na humu kuna vilaza
Mashine za kisasa haziukobowi mpunga
Isipokua zinumenya mpunga sasa ili mchele usikatikekatike huo mpunga unalowanishwa kwa maji (water vapour)ndio unamenywa baada ya hapo lazma upite ktk Polishing machines bada ya hapo ndo unatofautishwa mchele grade one na two
Mashine za zamani mpunga lazma uwanikwe kwanza ktk jua ili ukauke zaidi ndo ukobolewe vingenevyo utavunjikavunjika na kua chenga
KAMA UNA SWALI MKUU ULIZA
mimi nahitaji mchele wa wa shy vipi bei zzipoje???
Ukifika ifakara nunua mchele unaoitwa mchopeko,,ni ndio balaa haswa,,ladha,haruf ila bei nadhan ipo juu kiliko aina nyingine...kila la heriUbarikiwe sana na ujaaliwe kila la kheri
moshi,,Sasa mkuu ww unahitaji kununua mchele
Je utaupeleka wapi kuuza?
Mbona ghali wakati huu ni msimu wa mavuno?ifakara jana mchele mzuri kilo 1 inaenda 1400-1500 nitauliza bei ya gunia ni sh ngap,ifakara nw wanavuna
Hata hivyo mwambie mpunga wa mbeya haupati mpunga wa kyela kwa radha na uboraSijafananisha na mpunga wa mbeya,
Alafu kauliza kati morogoro na shinyanga wapi kuna mpunga mzuri mm nimejibu morogoro kuna mpunga mzuri
Kosa langu hapo lipo wapi hapo?
hizo mashine za kumenya mpunga ndo nazitafuta hizo,naweza kuipata Sido?Doohhh...pole kumbe na humu kuna vilaza
Mashine za kisasa haziukobowi mpunga
Isipokua zinumenya mpunga sasa ili mchele usikatikekatike huo mpunga unalowanishwa kwa maji (water vapour)ndio unamenywa baada ya hapo lazma upite ktk Polishing machines bada ya hapo ndo unatofautishwa mchele grade one na two
Mashine za zamani mpunga lazma uwanikwe kwanza ktk jua ili ukauke zaidi ndo ukobolewe vingenevyo utavunjikavunjika na kua chenga
KAMA UNA SWALI MKUU ULIZA
Mbona ghali wakati huu ni msimu wa mavuno?
Sawa mkuuhyo ni bei ya jana huenda nxt week ikawa buku,,ndo wameanza kuvuna...ila had wa buku upo ila sio mzuri
Mbona ghali wakati huu ni msimu wa mavuno?
Nipo Kilombero lakini sidhani kama mchele utashuka chini ya elfu 50 gunia, jipange Mkuu.Nahitaji kununua mpunga popote Tanzania ila uwe na bei ndogo yaani chini ya 40,000 gunia