MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
mkuu huku tutaenda sawa, kule kwingine tukubaliane kutokubaliana tu
alafu mimi pande hizi ndo nazipenda kule mie hakunifai! salute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu huku tutaenda sawa, kule kwingine tukubaliane kutokubaliana tu
pole kwa yaliyokukuta kule. mambo ya michele tutazungumza vzr aiseealafu mimi pande hizi ndo nazipenda kule mie hakunifai! salute
Ha ha ha umeona ulivyo mzuri? Nasafiri mwisho wa mwez nadhan nitaubeba mwngi nikiukutaIla wanafanya wachache nimepata kilo 40 last week aseeh sitak hata uishe kiukwel
pole kwa yaliyokukuta kule. mambo ya michele tutazungumza vzr aisee
OK mkuuIkiisha ramadhani naja
OK kibiashara unazungumziaje kati ya Michele wa ifakara na kyela UPI unatembea sana sokoni na UPI unalipa zaidi?Na kama ni kwa matumizi Morogoro unafaa haina haja kumaliza kilomita kibao hadi kyela wakati ifakara unamaliza kesi yote hata ukitaka tani 1000
utashuka kufikia 3500 kikomo...leo ifakara bei ya debe 1, 5000/-
Mimi nahitaji kama kweli ni super nahitaji angalau kg 200 za sample nikiupenda tupige kazi nipo Ikwiriri Rufiji je utanifikiajeifakara jana mchele mzuri kilo 1 inaenda 1400-1500 nitauliza bei ya gunia ni sh ngap,ifakara nw wanavuna
Mimi nahitaji kama kweli ni super nahitaji angalau kg 200 za sample nikiupenda tupige kazi nipo Ikwiriri Rufiji je utanifikiaje
Ndugu yangu mpunga this year upo juu na wskimaliza kuvuna utapanda sana kanda ya ziwa huku hakuna mpunga,Gunia 70-85,000/=Ukiwepo chini ya bei hii mm nahitaji kuanzia gunia 200
Mimi nataka mpunga kama gunia 300 hivi nafanya survey kujua ni wapi nitapata,wait kias sku kadhaa,,,nitakupm
Mimi nataka mpunga kama gunia 300 hivi nafanya survey kujua ni wapi nitapata,
Nitafute nikuunganishe na mtuMimi nataka mpunga kama gunia 300 hivi nafanya survey kujua ni wapi nitapata,