Mchopeko ni mchele unaotokana na mpunga uliochemshwa, kuanikwa na kukobolewa, zamani ilikuwa inafanywa sana hiyo lakini siku hizi sio sana watu hawana muda ndio maana hata pepeta sio nyingi kama zamani.Ukifika ifakara nunua mchele unaoitwa mchopeko,,ni ndio balaa haswa,,ladha,haruf ila bei nadhan ipo juu kiliko aina nyingine...kila la heri
Kama unataka kununua mpunga gunia la kilo 50 kwahyo bei unaweza pata mpunga!!Nahitaji kununua mpunga popote Tanzania ila uwe na bei ndogo yaani chini ya 40,000 gunia
Mpunga haupimwi kwa kiloKama unataka kununua mpunga gunia la kilo 50 kwahyo bei unaweza pata mpunga!!
Lakini kwa gunia la kilo 100 hadi 120 SAHAU
Mpunga ndo nataka zaidi maana nasikia ni cheep kidogo kuliko mcheleWakulima wa mpunga waskuma
Hao hao ndo wamenda ifakara kuwaamsha hao wavivu huko
Best mchele ni shinyanga
UNATAKA MCHELE AMA MPUNGA?
Mpunga lazma ufaham kua kuna majina ya mbegu
Mchele wenye mchanga. Ni mambo ya kale hayo mkuu walikua wakivunia mpunga chini pili mashine zilikua sio
Sasa hivi kuna mashine best mchele hauzwi hadi upigwe na polish
Ukiwepo chini ya bei hii mm nahitaji kuanzia gunia 200
Mkuu ukijibiwa na mm nahtaji mchele mzur kilo 300nahitaji mchele kilo200 wa 1400 nipo dar km upo moro na utakuwa mwaminifu niko tayar kununua sijui lkn usafir huwa inakuaje
nahitaji mchele kilo200 wa 1400 nipo dar km upo moro na utakuwa mwaminifu niko tayar kununua sijui lkn usafir huwa inakuaje
Na mmwait kias sku kadhaa,,,nitakupm
Na mm
Kwann usikoboe uko uko Moro usafirishe Michele?hiv wadau, naweza safirisha mpunga toka ifakala Mpaka arusha? Je ntatumia. usafiri gan? na shi ngap kwa gunia?
kwa sababu nataka ni nunue wa matumizi ya nyumbani Sasa naona nkinunua mchele ukikaa kwa muda mrefu utapoteza ubora. hiyo ndo sababu mkuu. ila kama kuna njia mbadala naweza koboa mpungaKwann usikoboe uko uko Moro usafirishe Michele?
Ila inawezekana nagari mengi ela yako tu
Ata ukitoa mbeya utasafirisha tu mpaka arusha.
Halo arusha Luna bidhaa za mpanda,mbeya,songea n.k
Usafiri upon mkuu