Biashara ya mchele Morogoro, Shinyanga

Wakuu tujuzane bei ya kusafirisha mchele kutoka Kyera mpaka Dar (Nauli). Na kiasi cha ushuru wa barabarani ni sh ngapi?
 
niliuliza mtu ijumaa wk hii yupo shinyanga...first class mchele kilo 1800 hio ni kwenye zile machine za kukoboa mpunga...
 
Mimi ni business man wamchele let mi give you advice kwasababu unaaza ningekushauri enda ifakara morogoro mchere its bit cheap en transportation nayo its cheap bt kuwa makini kununua mchele because coz their alot of types rice etc saro,mwendambiyo,mbaombiri en many more so kuwa makini mjomba
Kabla ujaenda can i ask this question
Je umeshapata soko lakuuza mchere wako
Je capital yako inasimamaje at least million 7 kwenda juu
Je wewe nimuzoefu wa mchele
 
Ahsante sana soko ninalo halina shida sana pia wengine walinishauri nikipata wenyeji wa kunielekeza nichukue mpunga ndio ntapata faida iliyonona kidogo kuhusu capital sio ttz hiyo 7 inafika hata mara 2 yake
 
Mchopeko ni mchele unaotokana na mpunga uliochemshwa, kuanikwa na kukobolewa, zamani ilikuwa inafanywa sana hiyo lakini siku hizi sio sana watu hawana muda ndio maana hata pepeta sio nyingi kama zamani.
Ila wanafanya wachache nimepata kilo 40 last week aseeh sitak hata uishe kiukwel
 
easy mkuu.....shy na mor ,mor the best,shy una mawe balaa....PEACE
Na kama ni kwa matumizi Morogoro unafaa haina haja kumaliza kilomita kibao hadi kyela wakati ifakara unamaliza kesi yote hata ukitaka tani 1000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…