Biashara ya mchele Morogoro, Shinyanga

Na kama ni kwa matumizi Morogoro unafaa haina haja kumaliza kilomita kibao hadi kyela wakati ifakara unamaliza kesi yote hata ukitaka tani 1000
OK kibiashara unazungumziaje kati ya Michele wa ifakara na kyela UPI unatembea sana sokoni na UPI unalipa zaidi?
 
ifakara jana mchele mzuri kilo 1 inaenda 1400-1500 nitauliza bei ya gunia ni sh ngap,ifakara nw wanavuna
Mimi nahitaji kama kweli ni super nahitaji angalau kg 200 za sample nikiupenda tupige kazi nipo Ikwiriri Rufiji je utanifikiaje
 
Hbr za asubuhi, Nipo interested na hii biashara ya Mpunga, sasa now npo kwe research. Plz mwenye uzoefu kuhusu bei nzuri ya kuupeleka mpunga sokoni ni kipindi gani?
Na je nikihifadhi mpunga kwe godown for 4 months hauwez kuharibika au kupoteza ubora wake???
 
karukia gar kwa mbele uyo, sasa sijui alikuwa anataka nn? Mbeya haijatajwa tunashangaa yeye kakurupuka tu Oooh ! mbeya ndio poa, kwan kuna mtu aliitaja mbeya apa
 
stickvibration! mchele ni Moro bhana acha kumdanganya mwenzio ww, wasukuma kibao wamekimbia uko wapo ifakara apa wanalima, ivyo usimpotoshe mwenzio
 
Ukiwepo chini ya bei hii mm nahitaji kuanzia gunia 200
Ndugu yangu mpunga this year upo juu na wskimaliza kuvuna utapanda sana kanda ya ziwa huku hakuna mpunga,Gunia 70-85,000/=
 
Nami nahitaji kama utapata namba za wauzaji mpunga

Sent from my H1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…