Biashara ya mchele Morogoro, Shinyanga

Biashara ya mchele Morogoro, Shinyanga

Wasudi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
226
Reaction score
223
Habari zenu wakuu,

Napenda kuingia katika hii biashara ya mchele kati ya Morogoro na Shinyanga wapi kuna mchele mzuri na wapi kuna unafuu wa bei kipindi cha mavuno? Bei kwa gunia inakuwaje muda wa mavuno? Mavuno yanaanza mwezi gani?

Nisaidieni wakuu.
 
Sijafananisha na mpunga wa mbeya,
Alafu kauliza kati morogoro na shinyanga wapi kuna mpunga mzuri mm nimejibu morogoro kuna mpunga mzuri
Kosa langu hapo lipo wapi hapo?
We vumilia tyuu Mzee baba ndio tulivyo wa bongo
 
We vumilia tyuu Mzee baba ndio tulivyo wa bongo
Ilibidi nicheke maana sikuitaja mbeya wala hata mtoa mada hakuitaja mbeya
Mm nilisema vile najua moro kuna mpunga mzuri sana tofauti na huko shinyanga
 
Back
Top Bottom