Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

sina uzoefu wa kuchezesha games ila na deal na kuuza hvo vitu... Nicheck Ukihtaji hzo console ps2&3., game pads na accesory zake zote
Vipi xbox 360 yangu inatumia CD unaweza rekebisha itumie Hard disk
 

Wap naweza nunua Ps, msaada?
 
WAP naweza nunua ps
 
Wakuu mie naomba kupata website ya kupakuwa magem ya mpila wa miguu [emoji106]
 
Habar zenu wanaJF,

Nina wazo la biashara ambayo nataka nianzishe lakini bado nashikwa na wasiwasi kama itanilipa.

Nataka kufungua video game centre maeneo ya vyuo hasa saut kwa kuanza, maana mm ni mkazi wa Mwanza.

Nina mpango wa kununua xbox one x 2 ps 4 pro 2 na smart tv na nina pc yenye specification nzr kwa ajili ya video game na monitor yake nzr 1080p 27 inch.

Nimepanga hivyo kwa sababu nalenga wanachuo na watt hawatoruhusiwa ili niweze kufungua kuanzia asubui na kibali cha jiji na tra nta process.

Naombeni mawazo yenu maana nna ka uoga flani ka kuangukia pua.
 
Fungua stationery achana na huo upuuzi, au Fungua duka la nguo hapo upige hela, vile vile unaweza fungua mgahawa achana na hizo biashara za kitoto.
 
Alaf nyie mods wa jf tuheshimiane , mnajua nawekeza tsh ngap kwenye hii biashara mpk mnabadilisha post yangu mnasema ni kibanda? Mnajua hata sehm niliyopanga kufungua ina size gan na hali gani?Acheni dharau na kukariri !
Pole sana mkuu umeongea kwa uchungu mno. Kabla hawajabadili heading ilisomekaje?
 
Jifunze kuwekeza biashara isiyohotaj msim,zwe kwel umelenga zaid wanafunz sawa sikukatalii ila ili uwe mfanya biashara mzur na mwenye mafanikio mbelen weka biashara ambayo haichagui aina fulan ya wanunuz wa bidhaa yako au huduma yako,,lenga wanafunz na wa nje ya wanafunzi..goodmorng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…