george kassian
Member
- Mar 6, 2017
- 10
- 3
Ohhh naitaj ps3 nakupatajeUki hitaji playstation nauza ps3 na cd zake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohhh naitaj ps3 nakupatajeUki hitaji playstation nauza ps3 na cd zake...
Vipi xbox 360 yangu inatumia CD unaweza rekebisha itumie Hard disksina uzoefu wa kuchezesha games ila na deal na kuuza hvo vitu... Nicheck Ukihtaji hzo console ps2&3., game pads na accesory zake zote
Jamani habari zenu wadau.
Najaribu kutoa maujanja juu ya biashara amabayo nimeifanya kwa almost miaka mitatu mfululizo na nimepata mafanikio makubwa...biashara ya kuchezesha GAMES inahitaji mambo yafuatayo
Console za playstation 3 au xbox 360 ni bora zaidi kwani wachezeshaji wengi wanatumia hizi za kizamani za ps2 ambazo zishapitwa na wakati..na kama ukiongezea na TV zako zikawa ni flat screen inches 21 (hata kama ni za Used) itakuwa bora zaidi kwani itaboresha ubora zaidi wa picha...yaani high definition, pia unahitaji mtu wa kusimamia mradi huo we ukija jioni wakamilisha mahesabu tu
- Eneo lenye watu wengi hasa kando ya barabara au makazi ya watu wengi..
- frame yenye upana wenye hewa kiasi cha kutosha
- console (hasa za playstation 3 au xbox 360) kuanzia 3 na zaidi na Televisheni 3
- unahitaji pia kuwa maeneo ambayo yana mlinzi wa duka hilo au kama frame iko karibu na nyumbani haina haja ya mlinzi unaweza kuhamisha console kila jioni hasa mida ya kufunga saa mbili usiku...
- mtaji wake ni kama mil 2.5 cash..
- generator la mchina (in case ya mgao kama sasa hivi)
Mradi huu unalipa vipi? kwa kawaida sie huchezesha kwa mtindo wa saa na nusu saa..kwa saa ni 1000 na nusu saa ni 500...na kufungua game center ni kuanzia saa 5 asubuhi wakati watoto wamekwenda shule siku za shule na mpaka saa mbili usiku..na weekend ni saa 3 mpaka saa mbili usiku...ukiwa mahali pazuri na unafikisha mpaka 25,000 kwa siku na inategemea una games nzuri kiasi gani inaongezeka hadi 30,000 (huu ni uzoefu wangu)
Ukija kutoa gharama ya umeme+ gharama ya ulinzi na mengine unabakia na aproximately 750,000 kwa mwezi...assuming umeme haukatiki katiki...
Console moja ya ps3 inapatikana kwa laki 3 mpaka 3 na nusu zanzibar...na xbox 360 zenyewe ni laki 3 ukiagiza kupitia mtandao wa EBAY na hiyo ni pamoja na gharama ya TRA..
CD za games best way ni kuziagiza nje (used kutoka EBAY ambazo ni gharama ndogo sana ya elf 20 mpaka 25) huku Bongo ni elf 70 mpaka laki na nusu madukani...mwenye kutaka kujua zaidi ani PM
WAP naweza nunua psJamani habari zenu wadau...
Najaribu kutoa maujanja juu ya biashara amabayo nimeifanya kwa almost miaka mitatu mfululizo na nimepata mafanikio makubwa...biashara ya kuchezesha GAMES inahitaji mambo yafuatayo
- Eneo lenye watu wengi hasa kando ya barabara au makazi ya watu wengi..
- frame yenye upana wenye hewa kiasi cha kutosha
- console (hasa za playstation 3 au xbox 360) kuanzia 3 na zaidi na Televisheni 3
- unahitaji pia kuwa maeneo ambayo yana mlinzi wa duka hilo au kama frame iko karibu na nyumbani haina haja ya mlinzi unaweza kuhamisha console kila jioni hasa mida ya kufunga saa mbili usiku...
- mtaji wake ni kama mil 2.5 cash..
- generator la mchina (in case ya mgao kama sasa hivi)
console za playstation 3 au xbox 360 ni bora zaidi kwani wachezeshaji wengi wanatumia hizi za kizamani za ps2 ambazo zishapitwa na wakati..na kama ukiongezea na TV zako zikawa ni flat screen inches 21 (hata kama ni za Used) itakuwa bora zaidi kwani itaboresha ubora zaidi wa picha...yaani high definition, pia unahitaji mtu wa kusimamia mradi huo we ukija jioni wakamilisha mahesabu tu
mradi huu unalipa vipi? kwa kawaida sie huchezesha kwa mtindo wa saa na nusu saa..kwa saa ni 1000 na nusu saa ni 500...na kufungua game center ni kuanzia saa 5 asubuhi wakati watoto wamekwenda shule siku za shule na mpaka saa mbili usiku..na weekend ni saa 3 mpaka saa mbili usiku...ukiwa mahali pazuri na unafikisha mpaka 25,000 kwa siku na inategemea una games nzuri kiasi gani inaongezeka hadi 30,000 (huu ni uzoefu wangu)
ukija kutoa gharama ya umeme+ gharama ya ulinzi na mengine unabakia na aproximately 750,000 kwa mwezi...assuming umeme haukatiki katiki...
console moja ya ps3 inapatikana kwa laki 3 mpaka 3 na nusu zanzibar...na xbox 360 zenyewe ni laki 3 ukiagiza kupitia mtandao wa EBAY na hiyo ni pamoja na gharama ya TRA..
CD za games best way ni kuziagiza nje (used kutoka EBAY ambazo ni gharama ndogo sana ya elf 20 mpaka 25) huku bongo ni elf 70 mpaka laki na nusu madukani...mwenye kutaka kujua zaidi ani PM
Sorry sijaelewa hapo
ps3 na tv 3
ps ni nini?
stabillizer ni nn??
Naongezea na watoto pia..yaan unalenga wanachuo wawe wanacheza magemu?
Yeah, kwan wanachuo hawachez video game? Niko chuo na nimeona wengi tu wakicheza.yaan unalenga wanachuo wawe wanacheza magemu?
Unauita upuuzi kwa kigezo kipi kaka ? Tatz unakariri biashara zile zile ambazo watu wameshsarundikana , jaribu kuwa creative ndg yangu.Fungua stationery achana na huo upuuzi, au Fungua duka la nguo hapo upige hela, vile vile unaweza fungua mgahawa achana na hizo biashara za kitoto.
Pole sana mkuu umeongea kwa uchungu mno. Kabla hawajabadili heading ilisomekaje?Alaf nyie mods wa jf tuheshimiane , mnajua nawekeza tsh ngap kwenye hii biashara mpk mnabadilisha post yangu mnasema ni kibanda? Mnajua hata sehm niliyopanga kufungua ina size gan na hali gani?Acheni dharau na kukariri !
"Ushaur kuhusu hii biashara " mkuu ,Pole sana mkuu umeongea kwa uchungu mno. Kabla hawajabadili heading ilisomekaje?
Hawajakutendea haki!"Ushaur kuhusu hii biashara " mkuu ,