Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Hii biashara nimeifunga kama miezi 2 iliopita haikunilipa kama nilivyotarajia.
Nimepata challenges kibao kutoka kwa wazazi na walimu maana ilikua karibu na shule ya msingi na sekondari,ila nashkuru mtaji wangu umerudi wote.
 
HA Ha ha ,, Umenifanya ni edit posti kwa kuongeza kipengele cha tahadhari hii, Hizi game mtu akicheza kwa wiki zima zinamfanya awe teja, Haipiti siku bila kuja kushtua game, Kuna watoto huwa wanatoroka shule wanakuja kucheza game, wengine wanaiba pesa ama kuuza vitu vya majumbani kwao iki wapate pesa ya kucheza fifa, Fanya biashara hii kiungwana, ukiona kuna madogo game zinawaharibu unawapa limit ya masaa mawili kucheza na sio zaidi ya hapo
 
Ndio yalionikuta mkuu,
Nashkuru mtaji wangu umerudi nimeuzungushia kwenye biashara nyingine na TV pamoja na game nmeuza kwa mshkaji kaenda kufungua goli mkoa.
 
Na ndio mana nikagusia gharama ya chumba iwe laki kwa mwezi, vyumba vya laki vinakuaga maeneo ya biashara lakini vyumba bya elf 50 mara nyingi vinakuaga vya ndani ndani maeneo wanayoishi familia za watu, Ukipata frem maeneo ya biashara huwa husumbuliwikama ilivyo ukipangisha chumba maeneo ya majumbani.
 
Hii biashara nimeifunga kama miezi 2 iliopita haikunilipa kama nilivyotarajia.
Nimepata challenges kibao kutoka kwa wazazi na walimu maana ilikua karibu na shule ya msingi na sekondari,ila nashkuru mtaji wangu umerudi wote.
Mzee hebu tushikishane changamoto kwa kina
 
View attachment 577189
mchanganuo wa mtaji wa biashara ya gaming centre

ps3 tatu 1,200,000
cd tatu (FIFA 18) 300,000
tv tatu 500,000
stabilizer 100,000
meza na viti 200,000
leseni 100,000
Chumba miez minne 400,000
usafiri, mchoraji, feni, extension n.k 100,000
JUMLA YA MTAJI 2,900,000

UTOZAJI =
MTEJA ITABIDI ALIPIE 2,000 ACHEZE SAA ZIMA AU 500 KWA MECHI MOJA

Faida = mapato - matumizi

Ni muhimu kujua ya kwamba makadirio haya nimefanya kwa dhana ya kwamba matumizi yatakuwa makubwa sana na mapato yatakuwa ya kawaida sana

MAKADIRIO YA KAWIDA KWA MAPATO KILA MWEZI
Masaa 5 * tv 3 * 2,000 kwa saa * siku 30 = 900,000

TOA: MATUMIZI KILA MWEZI
Mshahara wa muhudumu 100,000
matumizi ya mhudumu(chakula,vocha,usafiri) 100,000
tra + ulinzi 100,000
umeme+kubadilisha pads mbovu 100,000
savings ya kodi ya pango 100,000
JUMLA YA MATUMIZI 500,000

FAIDA 400,000/= kwa mwezi
4,800,000/= kwa mwaka

Hela yako itarudi ndani ya miezi 8

N.B: HIZI GAMES NI ADDICTIVE SANA KAMA MADAWA YA KULEVYA, WATOTO WENGI HUDIRIKI KUTOROKA MASHULENI, KUIBA PESA NYUMBANI KWAO AU KUUZA VITU VYA NYUMBANI ILI WAJE KUCHEZA GAME, PANGISHA FREMU MAENEO YA BIASHARA, USIPANGISHA FREMU ZA BEI RAHISI MAENEO YA MAJUMBANI AMBAKO UTAKUWA ADUI WA FAMILIA ZINAZOKUZUNGUKA
Sorry sijaelewa hapo
ps3 na tv 3

ps ni nini?
 
stabillizer ni nn??
 
safi kabisa.
hii biashara inalipa sana....ila sijajua kipindi hiki.
 
unawezaje kusimamia mapato kwa ufasaha endapo unamuachia mtu... naomba unipe uzoefu
stabillizer ni nn??
 
km hutojali naomba tuwasiliane 0767 565917
Mkuu kwanini usiulize hapa hapa na ukapata majibu hapa hapa ili na wengine ambao tunafuatilia kimya kimya tukajifunza? Pia huoni hatari sana kuiweka namba yako hapo? La mwisho unaonekana hauna siku nyingii humu JF Naomba nikushauri kuwa makini sana usije kutapeliwa mana wengi sana wamelia humu. Sina mana ya kwamba huyo uliemuuliza swali ni tapeli, hapana. Kuwa makini Mkuu narudia tena Kuwa makini afu kuwa makini tena.
 
Mkuu kwanini usiulize hapa hapa na ukapata majibu hapa hapa ili na wengine ambao tunafuatilia kimya kimya tukajifunza? Pia huoni hatari sana kuiweka namba yako hapo? La mwisho unaonekana hauna siku nyingii humu JF Naomba nikushauri kuwa makini sana usije kutapeliwa mana wengi sana wamelia humu. Sina mana ya kwamba huyo uliemuuliza swali ni tapeli, hapana. Kuwa makini Mkuu narudia tena Kuwa makini afu kuwa makini tena. .
Asante kwa ushauri.
 
Macho ya simba napenda kufahamu... kinachotumika ni computer au tv? na inatakiwa km pc iwe na uwezo gani?

halafu hiyo ps mbn bei ghali ni kitu gan na kinapatkana wapi?
Kinachotumika ni play station 3 inaoingiza cd ya game ambayo unaiunganisha kwenye tv kwa kutumia nyaya, kuhusu bei hiyo bei ni ya kawaida tena ya kujumua kariakoo kwa kuzichukue tatu kwa mpigo (400,000 x 3 = 1,200,000 ukinunua tatu), ukishanunua inabidi tena ukanunue cd ya game la mpira ziwe tatu, cd moja ya mpira yaweza kuwa 130,000 ila ukijumua tatu utafanyiwa laki kwa kila cd.
 
Back
Top Bottom