Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Ni bora kununua hizo PS3 ni rahisi sana kuliko kununua Desktop za Games mana Computer za gemes ni garama kubwa sana ndio maana Chief-Mkwawa amebakia na mshangao hiyo desktop moja ya games inaweza kufika bei ya hizo PS 3 zote tatu
mtaani naona bado games ni zile zile za mortal kombat 4, virtual cop, need for speed 2 na demorash, kwa haraka haraka i think pc zinzorun hizo games ni way too cheap, Ila kama ni kuchezesha fifa 18 hapo budget ya cpu nzuri na gpu za maana haikwepeki
makadirio ya chini
-gpu ya amd rx 550 kwa 250,000 ($80 online)
-desktop ya i5 3rd gen kwa 300,000
-monitor angalau 24" 1080p used ukihangaika 100,000
labda kwa hio 650,000 utapata desktop ya maana ya games.