Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Mkuu hujaulizia bado
Haya sasa mkuu nikupe mrejesho;kwanza kuna PlayStation 1,2,3 na 4 ila kasema playstation1 haina soko kwa sasa hata playstation2 nayo si kiviile,na zote hizi zinatofautiana bei kwa mfano PlayStation 4 inaweza fika hadi 1million.

So,mtaji ni wewe mfuko wako unasemaje na kuhusu eneo kwa kweli sielewi sana ila uyu dogo hayuko sehemu yenye population kubwa ila ana wateja kiasi chake so,cjajua kama ni lazima mazingira yawe ya watu wengi au vipi...ni hayo tuu kwa uchache.

Mumu.
 
Niulizie yenye soko mkuu
 
Habari zenu wana JF,

Naomba kufahamishwa hapa kwa mwenye ufahamu kuhusu hii biashara ya Play Station Game kuanzia mtaji, vifaa, na maeneo rafiki kwa biashara hii.
Mkuu. Hope sijachelewa kukujibu hapa. Mimi binafsi nafanya hii biashara na ki ukweli inalipa kama uko makini na unajua kuhusiana na games za watoto. Binafsi nilianza na mtaji wa TZS 2 milion. Mimi ninachezesha Play Station 3 na Xbox One. NIna Play Station 3 tatu na X box 1. MAuzo kwa siku ni kati ya TZS 25,000 mpaka 35,000 (weekend ndio kunakuwa na hela zaidi). Play Stations zangu nimezi 'chip' kule kariakoo..zina games ndani, games latest na nilipata hii service kariakoo. Biashara hii inategemea na maeneo ila all in all, inalipa sana ukichukulia watoto wanapenda video games na wengi wao hawawezi ku afford kununua. Changamoto pia zipo ila ndio part ya biashara. Ukitaka maelezo zaidi nitakupatia..all the best mkuu, karibu kwenye ujasiliamali
 
Mkuu uko vizur aisee,
 
Mkuu,me ni mojawapo wa wachezaji PS binafsi napendelea games kama FIFA,ambazo ni PS3,PS4 au Xbox.Ukitaka wateja ya PS tega karibu na shule za secondary au fanya survey upate walau vijana wapenda games.
PS2 hailipi siku izi labda kama mtu ndo anaanza kucheza.
Kuhusu upande wa faida sijui ila naisi faida ipo ,nusu saa Nalipa 2000tsh-3000tsh.
Changamoto kubwa nionayo ni kuharibika kwa Pad sana sana
Nawasilisha

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
wewe kweli player. Uje kwangu, one hour TZS 1,000 tu.
 
Haya sasa mkuu nikupe mrejesho;kwanza kuna PlayStation 1,2,3 na 4 ila kasema playstation1 haina soko kwa sasa hata playstation2 nayo si kiviile,na zote hizi zinatofautiana bei kwa mfano PlayStation 4 inaweza fika hadi 1million.

So,mtaji ni wewe mfuko wako unasemaje na kuhusu eneo kwa kweli sielewi sana ila uyu dogo hayuko sehemu yenye population kubwa ila ana wateja kiasi chake so,cjajua kama ni lazima mazingira yawe ya watu wengi au vipi...ni hayo tuu kwa uchache.

Mumu.
PLAYSTATION ni kitu gani mkuu?
 
Mkuu,me ni mojawapo wa wachezaji PS binafsi napendelea games kama FIFA,ambazo ni PS3,PS4 au Xbox.Ukitaka wateja ya PS tega karibu na shule za secondary au fanya survey upate walau vijana wapenda games.
PS2 hailipi siku izi labda kama mtu ndo anaanza kucheza.
Kuhusu upande wa faida sijui ila naisi faida ipo ,nusu saa Nalipa 2000tsh-3000tsh.
Changamoto kubwa nionayo ni kuharibika kwa Pad sana sana
Nawasilisha

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Vipi wewe mkuu serikali za mitaa hawakusumbui kuhusu muda wa kufungua?
 
Haya sasa mkuu nikupe mrejesho;kwanza kuna PlayStation 1,2,3 na 4 ila kasema playstation1 haina soko kwa sasa hata playstation2 nayo si kiviile,na zote hizi zinatofautiana bei kwa mfano PlayStation 4 inaweza fika hadi 1million.

So,mtaji ni wewe mfuko wako unasemaje na kuhusu eneo kwa kweli sielewi sana ila uyu dogo hayuko sehemu yenye population kubwa ila ana wateja kiasi chake so,cjajua kama ni lazima mazingira yawe ya watu wengi au vipi...ni hayo tuu kwa uchache.

Mumu.
Hajakwambia wastani wa mapato kwa siku, na hizo PS zinapatikana wapi?
 
Haya sasa mkuu nikupe mrejesho;kwanza kuna PlayStation 1,2,3 na 4 ila kasema playstation1 haina soko kwa sasa hata playstation2 nayo si kiviile,na zote hizi zinatofautiana bei kwa mfano PlayStation 4 inaweza fika hadi 1million.

So,mtaji ni wewe mfuko wako unasemaje na kuhusu eneo kwa kweli sielewi sana ila uyu dogo hayuko sehemu yenye population kubwa ila ana wateja kiasi chake so,cjajua kama ni lazima mazingira yawe ya watu wengi au vipi...ni hayo tuu kwa uchache.

Mumu.
Kwa kuweka mtaani kwa ajili ya watoto play station 2 ndo inafaa hata bei yake laki mbili unapata
Playstation 3 ina 1m na point hyo 4 inawez fika hata 2m
 
Back
Top Bottom