Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Mkuu hujaulizia badoTupo pamoja mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hujaulizia badoTupo pamoja mkuu
Kaa kimyaHiyo biashara siku hizi hailipi wala nini
Haya sasa mkuu nikupe mrejesho;kwanza kuna PlayStation 1,2,3 na 4 ila kasema playstation1 haina soko kwa sasa hata playstation2 nayo si kiviile,na zote hizi zinatofautiana bei kwa mfano PlayStation 4 inaweza fika hadi 1million.Mkuu hujaulizia bado
Niulizie yenye soko mkuuHaya sasa mkuu nikupe mrejesho;kwanza kuna PlayStation 1,2,3 na 4 ila kasema playstation1 haina soko kwa sasa hata playstation2 nayo si kiviile,na zote hizi zinatofautiana bei kwa mfano PlayStation 4 inaweza fika hadi 1million.
So,mtaji ni wewe mfuko wako unasemaje na kuhusu eneo kwa kweli sielewi sana ila uyu dogo hayuko sehemu yenye population kubwa ila ana wateja kiasi chake so,cjajua kama ni lazima mazingira yawe ya watu wengi au vipi...ni hayo tuu kwa uchache.
Mumu.
Wewe soko lako unalenga watu gani hasa!?vijana,watoto au wote kwa pamoja!?Niulizie yenye soko mkuu
Vijana kwa watotoWewe soko lako unalenga watu gani hasa!?vijana,watoto au wote kwa pamoja!?
Huo ni ushauri wake au anachokijua kuhusu hali ya hiyo biashara kwa sasa. Hautaki maoni ya watu? Huenda ana uzoefu ktk hiyo biashara! ungemuuliza kwa nini hailipi?Kaa kimya
Mkuu. Hope sijachelewa kukujibu hapa. Mimi binafsi nafanya hii biashara na ki ukweli inalipa kama uko makini na unajua kuhusiana na games za watoto. Binafsi nilianza na mtaji wa TZS 2 milion. Mimi ninachezesha Play Station 3 na Xbox One. NIna Play Station 3 tatu na X box 1. MAuzo kwa siku ni kati ya TZS 25,000 mpaka 35,000 (weekend ndio kunakuwa na hela zaidi). Play Stations zangu nimezi 'chip' kule kariakoo..zina games ndani, games latest na nilipata hii service kariakoo. Biashara hii inategemea na maeneo ila all in all, inalipa sana ukichukulia watoto wanapenda video games na wengi wao hawawezi ku afford kununua. Changamoto pia zipo ila ndio part ya biashara. Ukitaka maelezo zaidi nitakupatia..all the best mkuu, karibu kwenye ujasiliamaliHabari zenu wana JF,
Naomba kufahamishwa hapa kwa mwenye ufahamu kuhusu hii biashara ya Play Station Game kuanzia mtaji, vifaa, na maeneo rafiki kwa biashara hii.
Mkuu uko vizur aisee,Mkuu. Hope sijachelewa kukujibu hapa. Mimi binafsi nafanya hii biashara na ki ukweli inalipa kama uko makini na unajua kuhusiana na games za watoto. Binafsi nilianza na mtaji wa TZS 2 milion. Mimi ninachezesha Play Station 3 na Xbox One. NIna Play Station 3 tatu na X box 1. MAuzo kwa siku ni kati ya TZS 25,000 mpaka 35,000 (weekend ndio kunakuwa na hela zaidi). Play Stations zangu nimezi 'chip' kule kariakoo..zina games ndani, games latest na nilipata hii service kariakoo. Biashara hii inategemea na maeneo ila all in all, inalipa sana ukichukulia watoto wanapenda video games na wengi wao hawawezi ku afford kununua. Changamoto pia zipo ila ndio part ya biashara. Ukitaka maelezo zaidi nitakupatia..all the best mkuu, karibu kwenye ujasiliamali
wewe kweli player. Uje kwangu, one hour TZS 1,000 tu.Mkuu,me ni mojawapo wa wachezaji PS binafsi napendelea games kama FIFA,ambazo ni PS3,PS4 au Xbox.Ukitaka wateja ya PS tega karibu na shule za secondary au fanya survey upate walau vijana wapenda games.
PS2 hailipi siku izi labda kama mtu ndo anaanza kucheza.
Kuhusu upande wa faida sijui ila naisi faida ipo ,nusu saa Nalipa 2000tsh-3000tsh.
Changamoto kubwa nionayo ni kuharibika kwa Pad sana sana
Nawasilisha
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
PLAYSTATION ni kitu gani mkuu?Haya sasa mkuu nikupe mrejesho;kwanza kuna PlayStation 1,2,3 na 4 ila kasema playstation1 haina soko kwa sasa hata playstation2 nayo si kiviile,na zote hizi zinatofautiana bei kwa mfano PlayStation 4 inaweza fika hadi 1million.
So,mtaji ni wewe mfuko wako unasemaje na kuhusu eneo kwa kweli sielewi sana ila uyu dogo hayuko sehemu yenye population kubwa ila ana wateja kiasi chake so,cjajua kama ni lazima mazingira yawe ya watu wengi au vipi...ni hayo tuu kwa uchache.
Mumu.
Vipi wewe mkuu serikali za mitaa hawakusumbui kuhusu muda wa kufungua?Mkuu,me ni mojawapo wa wachezaji PS binafsi napendelea games kama FIFA,ambazo ni PS3,PS4 au Xbox.Ukitaka wateja ya PS tega karibu na shule za secondary au fanya survey upate walau vijana wapenda games.
PS2 hailipi siku izi labda kama mtu ndo anaanza kucheza.
Kuhusu upande wa faida sijui ila naisi faida ipo ,nusu saa Nalipa 2000tsh-3000tsh.
Changamoto kubwa nionayo ni kuharibika kwa Pad sana sana
Nawasilisha
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Hajakwambia wastani wa mapato kwa siku, na hizo PS zinapatikana wapi?Haya sasa mkuu nikupe mrejesho;kwanza kuna PlayStation 1,2,3 na 4 ila kasema playstation1 haina soko kwa sasa hata playstation2 nayo si kiviile,na zote hizi zinatofautiana bei kwa mfano PlayStation 4 inaweza fika hadi 1million.
So,mtaji ni wewe mfuko wako unasemaje na kuhusu eneo kwa kweli sielewi sana ila uyu dogo hayuko sehemu yenye population kubwa ila ana wateja kiasi chake so,cjajua kama ni lazima mazingira yawe ya watu wengi au vipi...ni hayo tuu kwa uchache.
Mumu.
Naitaji kujua kuhusu mtaji na vifaa vya hiyo kazwewe kweli player. Uje kwangu, one hour TZS 1,000 tu.
JSure aiseh me niko na mpango kama huo mkuu
Habari zenu wana JF,
Naomba kufahamishwa hapa kwa mwenye ufahamu kuhusu hii biashara ya Play Station Game kuanzia mtaji, vifaa, na maeneo rafiki kwa biashara hii.
Kwa kuweka mtaani kwa ajili ya watoto play station 2 ndo inafaa hata bei yake laki mbili unapataHaya sasa mkuu nikupe mrejesho;kwanza kuna PlayStation 1,2,3 na 4 ila kasema playstation1 haina soko kwa sasa hata playstation2 nayo si kiviile,na zote hizi zinatofautiana bei kwa mfano PlayStation 4 inaweza fika hadi 1million.