Roughly kama laki 6 kwa mwezi 600-300k( kodi ya pango) =300K. Hapo hujakata bill ya umemeKwa sasa ps4 ndio ina deal. Game pendwa ni fifa. (Unaweza kuwa pia na ps3 ukaweka pes)
Ps4 unaipata around laki 4.5 hadi 7 kwa mtu. Dukani fat au slim ni 800k hadi mil1+.
Tv inch 32 ni laki 350k unapata.
So jumla tuseme:-
Frame 300k
Ps4 1 jumla lak 7+
Ps3 2 jumla lak 70k
Tv 32" 3 jumla laki 9 hadi mil 1+
Cd za games jumla 400k (au kama console zimechipiwa utaweza kuwekewa games kwa gharama nafuu)
Viti na meza laki 150000
Mapato:-
Ps4 dkk 10 mpira tsh 1000 au 500 kutegemeana na location yako.
Ps3 mpira 500
Kwa nusu saa unaweza toza 1000 au 2000 kutegemeana na location yako.
Mapato waweza ingiza 20000+ per day kama mzunguko upo.
So kwa kuanza mtaji hapo utaitajika kama mil 3 - 3.5 unaweza kuanza biashara
(Ingekuwa mimi kwa mil 3.5 ningeanzisha biashara ya kuonyesha mpira kwanza ambapo kwa baadae ndani pia ningefanya hiyo biashara ya games)
Kila la heri.
Maintenance cost za hapa na pale. Possibile unapata 200k per month [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app