Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Kwa sasa ps4 ndio ina deal. Game pendwa ni fifa. (Unaweza kuwa pia na ps3 ukaweka pes)
Ps4 unaipata around laki 4.5 hadi 7 kwa mtu. Dukani fat au slim ni 800k hadi mil1+.
Tv inch 32 ni laki 350k unapata.

So jumla tuseme:-
Frame 300k
Ps4 1 jumla lak 7+
Ps3 2 jumla lak 70k
Tv 32" 3 jumla laki 9 hadi mil 1+
Cd za games jumla 400k (au kama console zimechipiwa utaweza kuwekewa games kwa gharama nafuu)
Viti na meza laki 150000

Mapato:-
Ps4 dkk 10 mpira tsh 1000 au 500 kutegemeana na location yako.
Ps3 mpira 500

Kwa nusu saa unaweza toza 1000 au 2000 kutegemeana na location yako.

Mapato waweza ingiza 20000+ per day kama mzunguko upo.
So kwa kuanza mtaji hapo utaitajika kama mil 3 - 3.5 unaweza kuanza biashara
(Ingekuwa mimi kwa mil 3.5 ningeanzisha biashara ya kuonyesha mpira kwanza ambapo kwa baadae ndani pia ningefanya hiyo biashara ya games)

Kila la heri.
Roughly kama laki 6 kwa mwezi 600-300k( kodi ya pango) =300K. Hapo hujakata bill ya umeme
Maintenance cost za hapa na pale. Possibile unapata 200k per month [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu punguza uwongo na ushabiki. Yaani unaingiza 600k/month halafu hayo sijui umeme, kodi, mainta. Ndo ifike 200k/month! Hapana.
 
Roughly kama laki 6 kwa mwezi 600-300k( kodi ya pango) =300K. Hapo hujakata bill ya umeme
Maintenance cost za hapa na pale. Possibile unapata 200k per month [emoji23]
Kutegemeana na location kodi frem huanzia 50k hadi 100k kwa mwezi. So anaweza lipia miezi 3-6. (Sikumaanisha hiyo lak3 ndio kodi ya mwezi mmoja)

Akitumia wazo la kwenye mabano ni zuri zaidi kama atapata eneo zuri hasa uswazi. Ili asitegemee sehemu moja.
 
Roughly kama laki 6 kwa mwezi 600-300k( kodi ya pango) =300K. Hapo hujakata bill ya umeme
Maintenance cost za hapa na pale. Possibile unapata 200k per month [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Muache kucomment kwenye vitu msivyokuwa na uelewa navyo, frame laki tatu kwani umeambiwa frame ya game lazima ikakae katikati ya jiji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa ps4 ndio ina deal. Game pendwa ni fifa. (Unaweza kuwa pia na ps3 ukaweka pes)
Ps4 unaipata around laki 4.5 hadi 7 kwa mtu. Dukani fat au slim ni 800k hadi mil1+.
Tv inch 32 ni laki 350k unapata.

So jumla tuseme:-
Frame 300k
Ps4 1 jumla lak 7+
Ps3 2 jumla lak 70k
Tv 32" 3 jumla laki 9 hadi mil 1+
Cd za games jumla 400k (au kama console zimechipiwa utaweza kuwekewa games kwa gharama nafuu)
Viti na meza laki 150000

Mapato:-
Ps4 dkk 10 mpira tsh 1000 au 500 kutegemeana na location yako.
Ps3 mpira 500

Kwa nusu saa unaweza toza 1000 au 2000 kutegemeana na location yako.

Mapato waweza ingiza 20000+ per day kama mzunguko upo.
So kwa kuanza mtaji hapo utaitajika kama mil 3 - 3.5 unaweza kuanza biashara
(Ingekuwa mimi kwa mil 3.5 ningeanzisha biashara ya kuonyesha mpira kwanza ambapo kwa baadae ndani pia ningefanya hiyo biashara ya games)

Kila la heri.
Shukrani kaka sema nilikua nataka nianze na PS 2 na P3 hiyo Ps 2 kwa ajili ha watoto na iyo PS 3 kwa lika zote ad wakubwa na biashara ikienda vizur ndo nafikilia kufika ad kwenye P4.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ok, anza tu mkuu ila ningekushauri ujitahidi upate 4 hata moja tu.
Mkuu wazo la 4 n zuri lakini kama anaona mtaji kwa sasa unamkaba sio mbaya akaanza na hizo ps3 ili zimpe uzoefu na ajue zaidi kuhusu bussines, huo mdude wa 4 ni shida sana kwenye suala zima la management maana vitu zake ni ghali kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu punguza uwongo na ushabiki. Yaani unaingiza 600k/month halafu hayo sijui umeme, kodi, mainta ndo ifike 200k/month!!! Hapana.
Nimemshabikia nani? Nimetoa analysis yangu according to data alizotoa mdau hapo. Kasema frame laki 3. Tumia akili ukiwa unamjibu mtu. Kama umeona analysis yangu haipo sawa una counter na wewe yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la kheri ni biashara nzuri endapo utapata eneo zuri.
 
Nimemshabikia nani? Nimetoa analysis yangu according to data alizotoa mdau hapo. Kasema frame laki 3. Tumia akili ukiwa unamjibu mtu. Kama umeona analysis yangu haipo sawa una counter na wewe yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujikuta much know wewe. Frame ya game 300k yaani kwa mwaka 3.6M frame ya game hiyo. Sidhani hata kama unafahamu ukubwa frame unatakiwa uweje. Eti maintenance na umeme 100k. Hiyo biashara unaweza kaa miezi usifanye maintenance yoyote. Huo umeme wa 100k gemu na TV tu. Ninyi ndo mnakatisha tamaa wenzenu.
 
Mkuu hivi ps4 washaanza kuzichip kama ilivyo wa ps 2 na 3?maana cd game zake bei yake iko juu mno
Kwa sasa ps4 ndio ina deal. Game pendwa ni fifa. (Unaweza kuwa pia na ps3 ukaweka pes)
Ps4 unaipata around laki 4.5 hadi 7 kwa mtu. Dukani fat au slim ni 800k hadi mil1+

Back
Top Bottom