Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Ishu ni mzunguko wa pesa afu inategemea location ya kijij mkuu sa uende ukute ad msimu wa mavuno ndo watu wanakuwa na pesa c utakuwa umelost direction ishu ni kupambana apa apa mjini kikubwa ubunifu mkuu ndo unaitajika kazin na so kukimbea eneo ety kisa wapo wengi wa Aina hiyo ya biashara
 
Poa
 
hii biashara inalipa sana ukiwa eneo lenye mwingiliano wa watu sema mimi wakuda walinicheza ps na tv zangu
 
KUNA HII BIASHARA YA GAMES CENTRE

Kuna vijana wanapiga hela sana siku izi hasa izi PS4 iko hivi

Ps4 moja complete ni 550K mpk 650k Tv inch 40

Hapo una wastani wa kuingiza elfu 10 mpk elfu 20 kwa siku

Ukiwa nazo Ps4 mbili na Tv 2 una weza piga elfu 20 mpk 30 kwa siku

Je, ukiwa nazo Ps4 na Tv 4?
Hapo sawa sawa na mtaji wa kununua bodaboda 2 yaani m2.5 ambazo kwa siku ni elfu20

Lakini GAMES center mtaji wa m2.5 kwa siku ni elfu elfu 40

Unachotakiwa ni kujua tu eneo zuri la kuweka biashara yako wachezaji wengi na wanachuo vijana wa umri wa Kati Generator muhimu kama sehemu ulipo kuna shida ya umemen Kibali cha bodi ya game

Ukipata pata hivyo vitu unapiga hela tu kila siku elfu 40 kwa mtaji wa m2.5 na hakuna mkataba hapo hata miaka 20 unapiga tu hela


 
Hii biashara nzuri sana changamoto zake sio kubwa sana ukilinganisha na baadhi ya biashara nyingine mambo yakibuma unasubiri kodi iishe unakusanya vifaa vyako unaenda fungua pengine maisha yanasonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…