KUNA HII BIASHARA YA GAMES CENTRE
Kuna vijana wanapiga hela sana siku izi hasa izi PS4 iko hivi
Ps4 moja complete ni 550K mpk 650k Tv inch 40
Hapo una wastani wa kuingiza elfu 10 mpk elfu 20 kwa siku
Ukiwa nazo Ps4 mbili na Tv 2 una weza piga elfu 20 mpk 30 kwa siku
Je, ukiwa nazo Ps4 na Tv 4?
Hapo sawa sawa na mtaji wa kununua bodaboda 2 yaani m2.5 ambazo kwa siku ni elfu20
Lakini GAMES center mtaji wa m2.5 kwa siku ni elfu elfu 40
Unachotakiwa ni kujua tu eneo zuri la kuweka biashara yako wachezaji wengi na wanachuo vijana wa umri wa Kati Generator muhimu kama sehemu ulipo kuna shida ya umemen Kibali cha bodi ya game
Ukipata pata hivyo vitu unapiga hela tu kila siku elfu 40 kwa mtaji wa m2.5 na hakuna mkataba hapo hata miaka 20 unapiga tu hela