Trick mirik
JF-Expert Member
- May 5, 2019
- 555
- 1,290
Mbona unasema mtaji ulirudi baada ya 13 mnths maana 15k x26 x13 =5,070,000Hapana nilinunu kwa mtu !! ILA KWA USHAURI KAMA NDIO UNAANZA HII BIASHARA ANZA NA PS3 utajifunza mengi sana ukirudisha hela yako ya mtaji .... mapato unayo fata anza kununua PS4 taratibu ... ni pasua kichwa kwenye upande wa PADS .. watoto hawaelewi wanabonyeza tuu hawajali ... sasa pad moja ya ps3 mchina inakaa mwezi mmoja nanunua 15k .. pad moja ya ps4 mchina bei 85k na inaweza isimalize miezi miwili unajikuta unachezea hasara!!
Ps3 mpya bei 400k ( ukiuziwa zaidi ya hapo umepigwa budda DAI VICHELE VYAKO AKURUDISHIE) na sidhani kama mpya kwenye box lake ziko maana ni za muda sanaShukran kwa mchanganuo ..vp ps3 na ps4 mpya bei gani ?
Mapato ya mwezi wa kwanza yote nilitoa sadaka kwa Mungu ... ikaja ikatokea CORONA nilifunga miezi kadhaa kwa woga ... ila nilivyo fungua ndio walete mpaka leoMbona unasema mtaji ulirudi baada ya 13 mnths maana 15k x26 x13 =5,070,000
Ushauri umepokelewaHapana nilinunu kwa mtu !! ILA KWA USHAURI KAMA NDIO UNAANZA HII BIASHARA ANZA NA PS3 utajifunza mengi sana ukirudisha hela yako ya mtaji .... mapato unayo fata anza kununua PS4 taratibu ... ni pasua kichwa kwenye upande wa PADS .. watoto hawaelewi wanabonyeza tuu hawajali ... sasa pad moja ya ps3 mchina inakaa mwezi mmoja nanunua 15k .. pad moja ya ps4 mchina bei 85k na inaweza isimalize miezi miwili unajikuta unachezea hasara!!
Kuna utofaut gani kati ya PS3 na PS4 ..?Hapana nilinunu kwa mtu !! ILA KWA USHAURI KAMA NDIO UNAANZA HII BIASHARA ANZA NA PS3 utajifunza mengi sana ukirudisha hela yako ya mtaji .... mapato unayo fata anza kununua PS4 taratibu ... ni pasua kichwa kwenye upande wa PADS .. watoto hawaelewi wanabonyeza tuu hawajali ... sasa pad moja ya ps3 mchina inakaa mwezi mmoja nanunua 15k .. pad moja ya ps4 mchina bei 85k na inaweza isimalize miezi miwili unajikuta unachezea hasara!!
Ps4 zipo tatu
Ps3 zipo mbili
Ps2 niliachana nazo zinajaza watoto.
Na watu pesa wanayotaja hapa kama constant is a total lie.
View attachment 1725443
Buddah acha kuulemaza ubongo wako .... kuna youtube kuna google zimewekwa kwa ajili ya maswali kama hayo ...Kuna utofaut gani kati ya PS3 na PS4 ..?
Mkuu kwa kuwa unafaham utofauti sio mbaya ukaeleza ndio maana kuna hii platform...Buddah acha kuulemaza ubongo wako .... kuna youtube kuna google zimewekwa kwa ajili ya maswali kama hayo ...
Nina mpango wa kuweka huu mladi.
Ila nataka kuanza na pes3.
Kwa pes3 inatakiwa uchezeshe bei gani kwa muda upi?
TV inch ngapi inapendeza?
Na mzunguko wake kwa siku ni shingapi(mapato)?
Legends kwenye hii biashara tupeni madini
[emoji122][emoji122][emoji122], watu wanashindwa kuelewa hicho kituANAJITAHIDI SANA .. HAZINGUI HATA KIDOGO !! Kwa mwezi namlipa 70k usiwe mbinafsi kumbana sana maana riziki hutoi wewe anatoa MUNGU ... mtaji wangu nilisha rudisha ndani ya miezi 13 hata zikilipuka zote saivi sina hasara ... kama biashara inajiendesha bila uwepo wako na unapata 15k kila siku inabidi umuheshimu sana anae simamia biashara yako ...
Bosi halafu nasikia sikia mashine zilochipiwa ndiyo nzuri, inakuaje hii kama unajua kuchipiwa ndio nini, na inafaida zipi[emoji122][emoji122][emoji122], watu wanashindwa kuelewa hicho kitu
Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
Nina Ps2 mbili tu huku kijijini nafungua goli saa 2 asubuhi hadi mida ya jioni nikiona nimeipata 15K namuacha dogo hadi saa 4 usiku ananilete 5k had 7k.Mkuu unamaana kwamba ipo kinadharia zaidi, lakini kivitendo haitekelezeki kama ilivyokusudiwa?
Nashukuru kwa majibu,Nina Ps2 mbili tu huku kijijini nafungua goli saa 2 asubuhi hadi mida ya jioni nikiona nimeipata 15K namuacha dogo hadi saa 4 usiku ananilete 5k had 7k.
Siku za weekend siganduki hadi saa 6 usiku, kwa siku hizo mbili nakuwa na uhakika wa 65K hadi 80K madogo wanagombaniana Pads[emoji23]
Mkuu ngoja nimsaidie jamaa kwa ninavyoelewa, kuchip ps3 ni kama kuflash simu na kuipa uwezo PS3 kuweza kuwa na magame ndani kwenye HDD yake....hivyo unakuwa hautumii CD tena ila unaingiza magame kwa kutumia HDD iliyopo ndani ya PS3......Bosi halafu nasikia sikia mashine zilochipiwa ndiyo nzuri, inakuaje hii kama unajua kuchipiwa ndio nini, na inafaida zipi
Hamna shida mkuu, ukiwa na swali niulize tu kuhusu hii biashara japo najua machache.Shukrani Kaka, funzo limeeleweka haswa