Trick mirik
JF-Expert Member
- May 5, 2019
- 555
- 1,290
Mbona unasema mtaji ulirudi baada ya 13 mnths maana 15k x26 x13 =5,070,000Hapana nilinunu kwa mtu !! ILA KWA USHAURI KAMA NDIO UNAANZA HII BIASHARA ANZA NA PS3 utajifunza mengi sana ukirudisha hela yako ya mtaji .... mapato unayo fata anza kununua PS4 taratibu ... ni pasua kichwa kwenye upande wa PADS .. watoto hawaelewi wanabonyeza tuu hawajali ... sasa pad moja ya ps3 mchina inakaa mwezi mmoja nanunua 15k .. pad moja ya ps4 mchina bei 85k na inaweza isimalize miezi miwili unajikuta unachezea hasara!!