Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Umenunua tv na game utashindwa kodi na hivyo viti na feni mkuu
 
Mim nataka kufungua hii biashara nipe ushauri vipi nianze na pes3 tatu? Au pes3 moja na pes4 moja bajet Ipo kam 2.5 m
 
Ni nzuri, mimi nikipata hata 10,000 inanitosha.


Jamani ebu nifafanulieni hapa, kwanini huwa hawatumii laptop au desktop ili kupunguza gharama au game la laptop halinogi?
 
Mkuu huyu jamaa Yuko Kigamboni lakini jioni madogo wanavyojaa, huwezi amini anakusanya 20-25k kwa siku na vifaa vyake hivyo
 
Mkuu umeongea point muhimu, biashara kama hzi kufanya wengi wanafikri kuwa hazina faida
 
Mkuu umecomment kwa kujikatisha tamaa sana
!
Vitu vingine hapo naona unaweza kupunguza au kufanya maarifa ya ku minimize cost.. mfano hauo makochi u aweza tafuta bench etc
 
Ni nzur,mim nikpata hata 10,000 inanitosha.


Jaman ebu nifafanulien hapa,kwann huwa hawatumii laptop au desktop ili kupunguza gharama au game la laptop halinogi?
Mkuu ili uweze kuplay Games latest kiasi na nzuri unahitaji Gaming Pc ambazo pia ni gharama sana hiyo Laptop/desktop inabidi iwe na specifications kubwa kuanzia RAM, GPU ~video Graphics card (nvidia/radeon), CPU ~ corei(x)... nimeorodhesha hivi tu kwa mfano ili upate picha kuwa pia sio gharama nafuu.. labda waje wenye uzoefu kutujuza zaidi as kwanini tutumie play staion badala ya gaming pc.
 
Mkuu pc yangu ya del latitude E 6400 nimeweka pes 2021 naona kama ina scratch kwa mbali shida ni nini?

Specifications zake

Ram 4

Processor 2.56

Rom 250
 
Mkuu nasikia PS5 imetoka je unayo..?
 
Nia yangu ulikuwa kuvumbua vitu vidogo ukivifanya kwa umakini vitakuletea faida kubwa ili kuweza kupambana na maisha ya sasa
Mtu anaweza kupata m2.5 akanunua bodaboda akampa mtu amletee 10k kila siku ..kumbe hiyo hiyo m2.5 inaweza muingizia 30k kwa kila siku bila mkataba.

Sasa mtaji wa bodaboda 2 ukiingiza kwenye hii biashara utakuwa umeyapatia maisha kama sio kupunguza ugumu wa maisha
Muhimu fanya utafiti wa kutosha ujiridhishe, ukiona huwezi acha usilazimishe ukiona unaweza kufanya au kujaribu wewe fanya
 
Nimepata picha mkuu, asante
 
Mkuu pc yangu ya del latitude E 6400 nimeweka pes 2021 naona kama ina scratch kwa mbali shida ni nini ?

Specifications zake

Ram 4

Processor 2.56

Rom 250
Bonyeza start window button
Type Run, click enter

The Type, dxdiag
Select yes

Itafunguka windows ina tab kadha

Screenshot hiyo tab ya kwanza na ya Display
Tuma humu tuone specs za Graphics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…