Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Hujaongelea meza, viti, makochi, fan, kodi ya pango, ulinzi, umeme na mshahara wa msimamizi. Bila kusahau bei ya kila game la playstation ambapo unatakiwa uwe na ma game kama mawili au matatu tofauti kwa kila tv.
Ingekua ni kuweka tv na ps tuu ata mm nngekua nayo.
Umenunua tv na game utashindwa kodi na hivyo viti na feni mkuu
 
Ps2 ikiwa complete ni 150k tu yaani pads 2 memorycard na flash yenye game zaidi 5+ waya wa power

Ps3 ikiwa complete ni 300k pads zake 2 waya wa power na game 5+ zenyewe zinakaa ndani kwa ndani haitaji memory card wala flash

Ps4 ikiwa complete ni 650k pads 2 waya wa power na game 5+ zenyewe zinakaa ndani kwa ndani haitaji memory card wala flash =ukiwa na accounts utaweka GAMES ndani kwa ndani ukiwa hauna utatumia CD kila mchezo yaani CD ya game ina bei yake kulingana na ukubwa na ubora mda wake au kupendwa na watu kama fifa21 zinafika mpaka 120k CD tu.ila kuna game mpaka za 15k 30k 50k 60k

HII NI MTUMBA TU

BEI ZA DUKANI YAANI MPYA
PS2 =250K-280K
PS3=350K-380K
PS4=750K-900K
HIZI MPYA KWENYE BOKSI

0783231177
Mim nataka kufungua hii biashara nipe ushauri vipi nianze na pes3 tatu? Au pes3 moja na pes4 moja bajet Ipo kam 2.5 m
 
Ni nzuri, mimi nikipata hata 10,000 inanitosha.

Jamani ebu nifafanulieni hapa, kwanini huwa hawatumii laptop au desktop ili kupunguza gharama au game la laptop halinogi?
 
NINA MIAKA 10 KWENYE HII BIASHARA KUTOKA KWENYE PS1 MPAKA SASA TUPO PS5 NAJUA CHINI NA JUU KUHUSU HII BIASHARA KAMA UNA SWALI AU JAMBO LOLOTE UNATAKA KUJUA NIULIZE

NTAKUPA MFANO MDOGO
IST 10M IKIWA USED KUTOKA JAPAN
UNAMPA MTU MKATABA UBER LABDA 20K 30K KWA SIKU

ICHUKUE HIYO M1

Jamaa ana tv na game 2 kiwango cha chini ni kiasi gani kwa siku mkuu tujuze labda utawafumbua watu macho
Mkuu huyu jamaa Yuko Kigamboni lakini jioni madogo wanavyojaa, huwezi amini anakusanya 20-25k kwa siku na vifaa vyake hivyo
 
NINA MIAKA 10 KWENYE HII BIASHARA KUTOKA KWENYE PS1 MPAKA SASA TUPO PS5 NAJUA CHINI NA JUU KUHUSU HII BIASHARA KAMA UNA SWALI AU JAMBO LOLOTE UNATAKA KUJUA NIULIZE

NTAKUPA MFANO MDOGO
IST 10M IKIWA USED KUTOKA JAPAN
UNAMPA MTU MKATABA UBER LABDA 20K 30K KWA SIKU

ICHUKUE HIYO M1

Jamaa ana tv na game 2 kiwango cha chini ni kiasi gani kwa siku mkuu tujuze labda utawafumbua watu macho
Mkuu umeongea point muhimu, biashara kama hzi kufanya wengi wanafikri kuwa hazina faida
 
Hujaongelea meza, viti, makochi, fan, kodi ya pango, ulinzi, umeme na mshahara wa msimamizi. Bila kusahau bei ya kila game la playstation ambapo unatakiwa uwe na ma game kama mawili au matatu tofauti kwa kila tv.
Ingekua ni kuweka tv na ps tuu ata mm nngekua nayo.
Mkuu umecomment kwa kujikatisha tamaa sana
!
Vitu vingine hapo naona unaweza kupunguza au kufanya maarifa ya ku minimize cost.. mfano hauo makochi u aweza tafuta bench etc
 
Ni nzur,mim nikpata hata 10,000 inanitosha.

Jaman ebu nifafanulien hapa,kwann huwa hawatumii laptop au desktop ili kupunguza gharama au game la laptop halinogi?
Mkuu ili uweze kuplay Games latest kiasi na nzuri unahitaji Gaming Pc ambazo pia ni gharama sana hiyo Laptop/desktop inabidi iwe na specifications kubwa kuanzia RAM, GPU ~video Graphics card (nvidia/radeon), CPU ~ corei(x)... nimeorodhesha hivi tu kwa mfano ili upate picha kuwa pia sio gharama nafuu.. labda waje wenye uzoefu kutujuza zaidi as kwanini tutumie play staion badala ya gaming pc.
 
Mkuu ili weze kuplay Games latest kiasi na nziri unahitaji Gaming Pc ambazo pia ni gharama sana hiyo Laptop/desktop inabdi iwe na specifications kubwa kuanzia RAM, GPU ~video Graphics card (nvidia/radeon), CPU ~ corei(x)... nimeorodhesha hivi tu kwa mfano ili upate picha kuwa pia sio gharama nafuu.. labda waje wenye uzoefu kutujuza zaidi as kwanini tutumie play staion badala ya gaming pc.
Mkuu pc yangu ya del latitude E 6400 nimeweka pes 2021 naona kama ina scratch kwa mbali shida ni nini?

Specifications zake

Ram 4

Processor 2.56

Rom 250
 
Ps2 ikiwa complete ni 150k tu yaani pads 2 memorycard na flash yenye game zaidi 5+ waya wa power

Ps3 ikiwa complete ni 300k pads zake 2 waya wa power na game 5+ zenyewe zinakaa ndani kwa ndani haitaji memory card wala flash

Ps4 ikiwa complete ni 650k pads 2 waya wa power na game 5+ zenyewe zinakaa ndani kwa ndani haitaji memory card wala flash =ukiwa na accounts utaweka GAMES ndani kwa ndani ukiwa hauna utatumia CD kila mchezo yaani CD ya game ina bei yake kulingana na ukubwa na ubora mda wake au kupendwa na watu kama fifa21 zinafika mpaka 120k CD tu.ila kuna game mpaka za 15k 30k 50k 60k

HII NI MTUMBA TU

BEI ZA DUKANI YAANI MPYA
PS2 =250K-280K
PS3=350K-380K
PS4=750K-900K
HIZI MPYA KWENYE BOKSI

0783231177
Mkuu nasikia PS5 imetoka je unayo..?
 
Nia yangu ulikuwa kuvumbua vitu vidogo ukivifanya kwa umakini vitakuletea faida kubwa ili kuweza kupambana na maisha ya sasa
Mtu anaweza kupata m2.5 akanunua bodaboda akampa mtu amletee 10k kila siku ..kumbe hiyo hiyo m2.5 inaweza muingizia 30k kwa kila siku bila mkataba.

Sasa mtaji wa bodaboda 2 ukiingiza kwenye hii biashara utakuwa umeyapatia maisha kama sio kupunguza ugumu wa maisha
Muhimu fanya utafiti wa kutosha ujiridhishe, ukiona huwezi acha usilazimishe ukiona unaweza kufanya au kujaribu wewe fanya
 
Mkuu ili weze kuplay Games latest kiasi na nziri unahitaji Gaming Pc ambazo pia ni gharama sana hiyo Laptop/desktop inabdi iwe na specifications kubwa kuanzia RAM, GPU ~video Graphics card (nvidia/radeon), CPU ~ corei(x)... nimeorodhesha hivi tu kwa mfano ili upate picha kuwa pia sio gharama nafuu.. labda waje wenye uzoefu kutujuza zaidi as kwanini tutumie play staion badala ya gaming pc.
Nimepata picha mkuu, asante
 
Mkuu pc yangu ya del latitude E 6400 nimeweka pes 2021 naona kama ina scratch kwa mbali shida ni nini ?

Specifications zake

Ram 4

Processor 2.56

Rom 250
Bonyeza start window button
Type Run, click enter

The Type, dxdiag
Select yes

Itafunguka windows ina tab kadha

Screenshot hiyo tab ya kwanza na ya Display
Tuma humu tuone specs za Graphics
 
Back
Top Bottom