Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Mzee wa lidandasi akazima ndoto zako πŸ˜ƒ,ps 2 ndio mambo ya flash lakini ps 3 na 4 ni mambo ya kuchip tu,ila kwa nyakati ps 2 imepitwa na wakati lakini si mbaya kuwa nayo sababu kuna wengine hawana uwezo wa kutoa jero kwa ps 3 na 4 so wanaweza kucheza ps 2 sbb bei yake ni chini ya 500
 
Wakuu kuna tofauti gani kati ya padi za mtumba na za duka za PS3 na PS2 kimuonekano maana kuna jamaa anadai ni padi za mtumba za ps3 anauza 15,000 na mwingine anauza 35,000
Kama kunatofauti ya kimuonekano weka picha ili nisipigwe wakati wa kununua nina wasiwasi nisije nikauziwa pad ya duka iliyotumika kwa bei ya 35k
 
Za ps4 najua kuzitofautisha ni rahisi sana...ila kwa kwa ps 3 kazi kweli kweli
 
Fifa 22 na pes 22 unaipata kwa bei gani?, vipi kuhusu bei ya pad za ps4??
Fifa 22 nimenunua kutoka psn store kwa laki na nusu..nkatumia bando la 20k kudownload...pes 22 nimeikuta kwenye ps 3 ishawekwa ila wateja wakitaka pes 22 kwa ps 4 ntawawekea maana ni free kudownload...padi og za mtumba nimenunua kwa laki na 60 padi mbili..nataka nione zitakaa sana kuliko za mchina au lah maana za mchina ni 50k ila watakuanzia 70k au 80k
 
Kuna jamaa alidai humu alijaribu kufungua acc ps store lakini kwenye orodha ya nchi Tanzania hakuiona, hii kitu ni kweli?
 
Kuna jamaa alidai humu alijaribu kufungua acc ps store lakini kwenye orodha ya nchi Tanzania akuiona,hii kitu ni kweli?
Kweli..Ps hawajui kama kuna nchi inaitwa Tanzania...watz weng wanafungua akaunt kwa kutumia nchi kama South Afrika n.k ila kwa mie for the sake of having access to services ambazo ni exclusive to 18 countries...nimeopen akaunt ya psn ya Marekan, UK na Canada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…