The mountain lion
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 1,153
- 418
Nasoma Advance nataka nikaanzishe biashara ya kuchezesha games PS2 mkoani. Nina mtaji wa kuanza na console
Naombeni ushauri, mwongozo, changamoto n.k juu ya biashara hii.
Asanteni
Sorry naomba kujifunza. Hiyo ndio biashara gani?Wana JF naombeni ushauri apa jijini dar n maali gani pazur kwa kufungua biashara ya PlayStation2
Nipe basi maujuz rafiki angu?Mtaji wa video game inategemea na wewe ungependa uanzaje,niliwahi kufanya hii kitu unaweza nitafuta nikakuelekeza
Wadau niaje ningependa kujua ni mtaji kiasi gani unaitajika kuchezesha video games na faida na hasara zake karibu tuchanganue hii fursa
Nahitaji ps 3, kama 4.Mtaji wa video game inategemea na wewe ungependa uanzaje,niliwahi kufanya hii kitu unaweza nitafuta nikakuelekeza
Nitafute nikuuzie.Nahitaji ps 3, kama 4
Poa ni inboxNitafute nikuuzie.
Mkuu hiyo biashara ni nzuri sana changamoto zipo ila za kawaida tu.Habari za mda huu wanajukwaa wa JF
Kwanza kabisa tusiache kumwombea mwanzilishi wa JF ili aweze kushinda kesi yake .Twende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu.
Ninampango wa kufungua biashara ya kuchezesha magemu yaani playstation.Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ningepanda wanijuze kama nitakuwa nimewekeza pesa yangu mahali sahihi au nitakuwa nimekosea maana katika biashara hatukatai suala la hasara lipo lakini inapokuja nakuzidi inakuwa ni tatizo.
Naombeni mawazo yenu wana jukwaa hili nategemea mawazo yenu.
Sawa mkuu nashukuru kwa maoni yako.Mkuu hiyo biashara ni nzuri sana changamoto zipo ila za kawaid tu
Changamoto kama zipi? Faida na hasara zikoje?Mkuu hiyo biashara ni nzuri sana changamoto zipo ila za kawaid tu
Ni biashara nziri hasa sehemu za uswazi kulikochangamka ila pia upate kijana mzuri wa kusimamia.changamoto kama zipi?
Faida na hasara zikoje?
Playstation inalipa sana mitaa ya uswazi na msimamizi mzuri ukiwa nae utafurahi pia kwa sababu ya vumbi usitumie CD tumia flash pia uwe na na pad za kutosha ni vema ukatenga maalumu kwa ajili ya mpira na nyingine kwa michezo mingine.Habari za mda huu wanajukwaa wa JF
Kwanza kabisa tusiache kumwombea mwanzilishi wa JF ili aweze kushinda kesi yake .Twende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu.
Ninampango wa kufungua biashara ya kuchezesha magemu yaani playstation.Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ningepanda wanijuze kama nitakuwa nimewekeza pesa yangu mahali sahihi au nitakuwa nimekosea maana katika biashara hatukatai suala la hasara lipo lakini inapokuja nakuzidi inakuwa ni tatizo.
Naombeni mawazo yenu wana jukwaa hili nategemea mawazo yenu..