Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,404
Dodoma!U
Upo wapi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dodoma!U
Upo wapi mkuu
Ps2 mdau kasema NDO INABAMBA KICHIZI. Unauza shingap mwanandugu?Uki hitaji playstation nauza ps3 na cd zake...
Mkuu shingap nikutengee?Ukitaka ufanikiwe kibiashara uwe na passion nayo na uijue vizuri...
Mara nyingi ukiiga biashara kutoka ni ngumu sana... Good luck
Usisahau ukitaka playstation 3 nitafute nikuuzie na cd zake.. Maana umri umenitupa mikono, mishe za maisha nyingi sana nakosa muda wa kuicheza
Mtoto kama hana akili hana akili,nenda kwny shule za international watoto wanacheza michezo kibao, computer games,playstation, tatzo watoto wenu uswahilini wana ulimbukeni navyo, na sio wanaotooka shule ndo wanaenda game, wapo wanaoenda mabondeni kucheza kamali,wapo wanaoenda kwenye mabanda ya picha, pooltable, na kuna ambao wenye akili mbovu km wewe wanaosema huo mchezo ni kamali.Mkuu kama wewe ni great thinker usifanye hii biashara, naichukia sana, inafanya watoto wawe wajinga sana, Huu utandawazi unawaathiri sana watoto, make wanatoroka shule na kwenda kucheza hizo game, usiangalie tu pesa, au uweke sheria kwamba masaa ya shule hakuna mtoto kusogea hapo,
kama ni ps2 zile kubwa unatumia flash,au kama ni zile ndogo zinazotumia adapta unatumia flash piaWakuu mimi nina ps2 nafaanya biashara tatizo cd hazichezi nadhani lens ndo tatizo msaada kwa anaejua kurekebisha
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁Ha ha habhabh ha ha ha ha ha ha ha ha h
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Q...............e!!!!
ebhana ume tisha mdau
Oyi...Nahitaji namba yako mkuu, Kuna mdogo wangu anataka kufanya iyo biashara...Mkuu. Hope sijachelewa kukujibu hapa. Mimi binafsi nafanya hii biashara na ki ukweli inalipa kama uko makini na unajua kuhusiana na games za watoto. Binafsi nilianza na mtaji wa TZS 2 milion. Mimi ninachezesha Play Station 3 na Xbox One. NIna Play Station 3 tatu na X box 1. MAuzo kwa siku ni kati ya TZS 25,000 mpaka 35,000 (weekend ndio kunakuwa na hela zaidi). Play Stations zangu nimezi 'chip' kule kariakoo..zina games ndani, games latest na nilipata hii service kariakoo. Biashara hii inategemea na maeneo ila all in all, inalipa sana ukichukulia watoto wanapenda video games na wengi wao hawawezi ku afford kununua. Changamoto pia zipo ila ndio part ya biashara. Ukitaka maelezo zaidi nitakupatia..all the best mkuu, karibu kwenye ujasiliamali
Mkuu, you can text me through 0686477879, anytimeOyi...Nahitaji namba yako mkuu, Kuna mdogo wangu anataka kufanya iyo biashara...
Ps 3ni nzur me ninayo ps 4
Na kuhusu swala lakodi likoje mkuu?Mimi nina ofisi ya PlayStation so kipindi cha likizo hichi, kama kuna MTU anaP3 imekamilika,aje aweke kwenye ofisi tukubaliane kwa wiki nampa buku kumi.Pia kwa upande wa mchango wangu juu ya hii biashara inalipa ukipata maeneo mazuri,ila kwa Swazi bei ni chini,ila kwa maeneo ya kishua kwa mechi inafika jero au buku, mtaji ni mkubwa kwa maama uwe na PS,TV, angalau 2 n na kuendelea