Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa unaifanya wewe bila kumuajiri mtu ingefika walau kiasi gani kwa siku? Au jamaa alikuwa pesa yote anayoipata alikuwa anakupa yote bila kukata cha juu?Kupata 30K au 40K kwa siku inawezekana ila HAINA HUALISIA ... Tokea nianze hiyo biashara sijawahi kuletewa 40K kwa siku .... wastani ni 15K mpaka 25K kwa siku.
Kumbe hujawahi kuletewa.Kupata 30K au 40K kwa siku inawezekana ila HAINA HUALISIA ... Tokea nianze hiyo biashara sijawahi kuletewa 40K kwa siku .... wastani ni 15K mpaka 25K kwa siku.
Hapa kwenye wizi umeongea aisee ukiwa unachelewa kufunga kuna watu wanakulia mingo tena kama unalaza tv na ps kwenye chumba cha fremu hapo kazi unayo.Siyo deal mbaya.
Changamoto ni pad kuharibika mara kwa mara.
Zinahitajika Fifa na Pes kila mwaka au miezi sita.
Umeme.
Wizi.
Ila kama ni mitaa unayojulikana wizi siyo changamoto kubwa, huwa tatizo kama hilo eneo wewe ni mgeni na ni uswahilini.Hapa kwenye wizi umeongea aisee ukiwa unachelewa kufunga kuna watu wanakulia mingo tena kama unalaza tv na ps kwenye chumba cha fremu hapo kazi unayo.
Mahesabu yanajulikana ukikaa mwenyewe ni bora zaidi!!Ungekuwa unaifanya wewe bila kumuajiri mtu ingefika walau kiasi gani kwa siku? Au jamaa alikuwa pesa yote anayoipata alikuwa anakupa yote bila kukata cha juu?
Haina uhalisia buddah!! Kumbuka WATEJA WAKO WENGI NI WATU WASIO NA KAZI ... kupata 20 kwa SIKU SI MCHEZO ... naongelea uzoefu ... hahahha eti 50k hahahahhahaha haya fungua uanzeBiashara moja ya kiboss sana.
Tafuta ps3 tatu na ps4 moja na ps2 moja. Then tv 4 za inch 32 kwaajili ya ps3 nanps4 na tv moja inch 22 flat kwaajili ya ps2.
Chukua kibali ambacho ni 20k kwq miaka miwili. Anza kula faida ya 20k j3 hadi j5 then 30k to 40k alhamisi na ijumaa. 50k jmos na jpili.
Kama umesha ifanya utaelewa naongelea nini WASHAURI VIZURI!! Hata ukae mwenyewe kupata 40k si kirahisi ...Kumbe hujawahi kuletewa.
Wazee wa defender uwa wasumbufu sana pia kwenye hii biasharaHii biashara nzuri sana changamoto zake sio kubwa sana ukilinganisha na baadhi ya biashara nyingine mambo yakibuma unasubiri kodi iishe unakusanya vifaa vyako unaenda fungua pengine maisha yanasonga...
Mtu aliekua anakusimamia nae mzinguajiKupata 30K au 40K kwa siku inawezekana ila HAINA HUALISIA ... Tokea nianze hiyo biashara sijawahi kuletewa 40K kwa siku .... wastani ni 15K mpaka 25K kwa siku.
Mwaka wa pili huu KODI INAYO NIHUSU NI KODI YA FRAME TUUU ... naongelea uhalisia!! Frame inafunguliwa saa tisa inafungwa saa 2 au saa 3 usiku ... hiyo bodi ya game hata siijui ..sina kibali chochote ... WALIKUJA SERIKALI ZA MTAA NIKAWAPA 20K WAKAONDOKA NA BIASHARA INAENDELEA MIAKA MIWILI SASA ... utasumbuliwa na baadhi ya wazazi lakini haina maana usikilize maneno yao..kuwa mwepesi kuwasikiliza ila puuzia ..maana ni wajibu wao kulinda watoto wao!!Kibali cha bodi ya game gharama zake ziko vipi?