Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

KUNA HII BIASHARA YA GAMES CENTRE kuna vijana wanapiga hela sana siku izi hasa izi PS4 iko hivi

Ps4 moja complete ni 550K mpk 650k Tv inch 40
Hapo una wastani wa kuingiza elfu 10 mpk elfu 20 kwa siku

Ukiwa nazo Ps4 mbili na Tv 2 una weza piga elfu 20 mpk 30 kwa siku

Je ukiwa nazo Ps4 na Tv 4 ?
Hapo sawa sawa na mtaji wa kununua bodaboda 2 yaani m2.5 ambazo kwa siku ni elfu20
Lakini GAMES center mtaji wa m2.5 kwa siku ni elfu elfu 40

Unachotakiwa ni kujua tu eneo zuri la kuweka biashara yako wachezaji wengi na wanachuo vijana wa umri wa Kati
Generator muhimu kama sehemu ulipo kuna shida ya umeme
Kibali cha bodi ya game

Ukipata pata hivyo vitu unapiga hela tu kila siku elfu 40 kwa mtaji wa m2.5 na hakuna mkataba hapo hata miaka 20 unapiga tu hela
Hii haina tofauti na ile ya kilimo cha matikiti maji kwamba baada ya miezi mitatu unakuwa milionea ila nenda field sasa utatupa mrejesho
 
Niliwahi kufikiria kuwekeza 2.6mil kwenye hii biashara wakuu... lakini sina uzoefu nayo wala taarifa sahihi inalipa vipi...ningependa siku moja nimpate mtu anayeifanya au aliyewahi kuifanya anipe muongozo... Asante
 
Ushawahi kufanya biashara hii au kwa kuwa unakaa kwa shemeji hujui biashra ni nini.
Huu mwaka wa 7 nafanya hii biashara.
Nilianza na ps2 pekee badae nika upgrade kwa ps3 na ps4. Ps5 zikipoa nachukua.
Na kazi iendelee.
Niliwahi kufikiria kuwekeza 2.6mil (je itatosha)kwenye hii biashara wakuu... lakini sina uzoefu nayo wala taarifa sahihi inalipa vipi...ningependa siku moja nimpate mtu anayeifanya au aliyewahi kuifanya anipe muongozo... Asante

2.6 mil hii ni kwa kodi, ps4 mbili ps3 moja, tv flat 3, viti na n.k
 
Ushawahi kufanya biashara hii au kwa kuwa unakaa kwa shemeji hujui biashra ni nini.
Huu mwaka wa 7 nafanya hii biashara.
Nilianza na ps2 pekee badae nika upgrade kwa ps3 na ps4. Ps5 zikipoa nachukua.
Na kazi iendelee.
Shida watu wa humu huwa hamtaki kusikia nje ya mnachokiamini ukisikia kitu tofauti unakimbilia kuandika kashfa utafikiri ndiyo zitaonyesha unachokisema ni sahihi.

Nimesema hesabu hazina uhalisia. Sijasema ni uongo. Hii ni kwakua kuna factors nyingi zinazosababisha makadirio yako yafikiwe au yasifikiwe. Location, ushindani n.k.

And yes naifanya hiyo biashara. Nilianza na PS2 moja now nipo kwenye PS3 & 4, 2 zinajaza watoto nimeachana nazo. Nimeuza sana used PS2 consoles humu, nimeuza sana games za PS2 kisha wewe unakuja unaleta maneno ya jikoni eti shemeji.
 
Bonyeza start window button
Type Run, click enter

The Type, dxdiag
Select yes

Itafunguka windows ina tab kadha

Screenshot hiyo tab ya kwanza na ya Display
Tuma humu tuone specs za Graphics
Ooh ngoja nifanye hivyo

Kwani graphics gan zinaitajika maana mi mnavyojua zinakuja na window

Natumia windows 10 pro
 
Niliwahi kufikiria kuwekeza 2.6mil ( je itatosha)kwenye hii biashara wakuu... lakini sina uzoefu nayo wala taarifa sahihi inalipa vipi...ningependa siku moja nimpate mtu anayeifanya au aliyewahi kuifanya anipe muongozo... Asante

2.6 mil hii ni kwa kodi ,ps4 mbili ps3 moja, tv flat 3, viti na n.k
Sikia.
*Ps4 chukua moja ni 650k. Chukua iliyochipiwa ndo inafaa kwa biashara.

*ps3 chukua 2 kwa 320k kwa kila moja.
*ps2 chukua 2 kwa 130k kwa kila moja.

* tv chukua 2 za inch 32 kwajili ya ps3 na moja ya inch 42 kwaajili ya ps4. Nenda kwa wapemba mbweni utapata inch 32 kwa 300k na inch 42 kwa 450k za mtumba. Za mtumba zitadumu muda mrefu sana. Nasisitiza usinunue za dukani ni hasara.
*chukua inch 22 kwaajili ya ps2. Vilevile za mtumba.

* nunua gaming pc used kwa 350k. Tafuta hawa jamaa wanaitwa camara huwa wanazo. Chukua na monitor ya inch 22 au tv yenye hdmi au vga port. Hii itakusaidia kuweka games zenye kuharibu pad mf. Mortal kombat x au xl au 11. Pad za pc ni ngumu na gharama yake ni 8k pad moja k.koo.

*ps4 na ps3 weka games za mpira na mission ambazo haziharibu pad. Pc tia game za ngumi na zenye kuharibu pad.

BEI

*Ps3 na ps4 mpira ni 500 kwa dakika 10
Ps2 mpira mechi 2 500 na ni dakika 10

*games zingn za mission ni dakika 15 kwa 500 kwa ps3 na ps4 na dakika 30 kwa ps2.

LOCATION*

tafuta sehemu yenye watu wengi hasa vijana na yenye usalama. Fremu ni kati ya 50k hadi 70k. Usiogope itakulipa tu.

* dumisha usafi na kama unamweka mtu basi mlipe kwa siku elf 5 mpaka elf 7 kwa siku kutegemea na mahesabu anayokuletea.

* fanya mwenyewe kama mwezi hivi ndo umpe kijana. Na uwe muda mwingi unapiga jicho maana wakizoea huwa wana tabia ya udokozi.

* biashara ikikubali weka cctv camera ni kama 450k kila kitu. Itasaidia usalama na pia kum monitor kijana.

*VIFAA VINGINE

*stabilizor ni muhimu sana kwaajili ya kulinda vifaa vyako.
*pads ni za kuchunga hasa za ps4 maana ndo kikwazo kikubwa cha biashara hii.
*kibali toka serikali za mtaa ni 20k tu na hakuna kenge atakaye kusumbua

●muda wa kufungua ni saa 3 asubuhi hadi saa 5 usiku. Ila siku za shule hakikisha madogo hawaingii chini ya saa 7 mchana.

● kwenye ps4 jaribu kuweka hata kijisofa itaongeza hadhi.

****** FAIDA ********

* ukifikia hayo juu jiandae kula kuanzia 20k hadi 30k kwa siku za kawaida na 40k kwa siku za weekend.

KUNA WATU WANAPENDA KUONGEA VITU WASIVYO VIJUA. KAMA HUJUI KITU NI BORA KUKAA KIMYA
 
Mkuu naskuhukuru sana kwa muda wako na kwa maelezo ya kina na mazuri.
Naamini wengi tutanufaika
 
Mkuu umesahau ac sababu hivo vifaa vya umeme vinapata moto sana na ni daily ac inasaidia kupunguza joto la vifaa na comfortability ya watu pia
 
Hapana mkuu Graphics card ni hadware sio software.. ni kama ilivyo cpu (processor)mfano intel corei5, amd n.k, hivyo hivyo kuna GPU mfano za Radeon, Nvidia na intel

So ukifata hayo maelekezo hapi juu utapata kujua machine yako ina GPU ya ukubwa kiasi gani na ita support Games gani /programs
Ooh ngoja nifanye hivyo

Kwani graphics gan zinaitajika maana mi mnavyojua zinakuja na window

Natumia windows 10 pro
 
Ac ukiiwasha kuanzia muda wa kufungua saa 3 hadi usiku itatumia umeme wa kiasi gani..? Tyrex
 
Unit 2-3 kumbuka hii inasaidia vifaa visiungue,, hasa maeneo ya joto
Bila shaka hii itakuwa ni ac mpya, je btu inakuwaje yenye matumizi mazuri ni ndogo au kubwa..

Nina jamaa yangu anafanya biashara ya movies, kwa siku anatumia umeme mwingi sana akiwasha AC yani ile unit Checker ya anesco kila ukichek umeme unapungua kama sekunde zinavyotembea.
 
Mkuu umesahau ac sababu hivo vifaa vya umeme vinapata moto sana na ni daily ac inasaidia kupunguza joto la vifaa na comfortability ya watu pia
Hapana mkuu. Kwa biashara inayoleta turnover ya 20k -40k kuweka a.c ni kama kuongeza running cost unnecessary. Feni za juu 2 zinatosha kwaajili ya comfartability.
Kwa kulinda vifaa weka stabilizer genuine na nunua vifaa og.
 
Ac ukiiwasha kuanzia muda wa kufungua saa 3 hadi usiku itatumia umeme wa kiasi gani..? Tyrex
A.c ni kipengele achana nayo.
Umeme unaotakiwa kutumia uwe chini ya unit 5.7 yaan umeme wa elfu 2. Hapo faida utaiona. Pia kama ps haitumiki muda huo izime ili ipoe na pia kupunguza matumizi ya umeme yasiyokuwa na lazima.
 
Kupata 30K au 40K kwa siku inawezekana ila HAINA HUALISIA ... Tokea nianze hiyo biashara sijawahi kuletewa 40K kwa siku .... wastani ni 15K mpaka 25K kwa siku.
Zipo ngapi?
 
Sikia.
*Ps4 chukua moja ni 650k. Chukua iliyochipiwa ndo inafaa kwa biashara.

*ps3 chukua 2 kwa 320k kwa kila moja.
*ps2 chukua 2 kwa 130k kwa kila moja.

* tv chukua 2 za inch 32 kwajili ya ps3 na moja ya inch 42 kwaajili ya ps4. Nenda kwa wapemba mbweni utapata inch 32 kwa 300k na inch 42 kwa 450k za mtumba. Za mtumba zitadumu muda mrefu sana. Nasisitiza usinunue za dukani ni hasara.
*chukua inch 22 kwaajili ya ps2. Vilevile za mtumba.

* nunua gaming pc used kwa 350k. Tafuta hawa jamaa wanaitwa camara huwa wanazo. Chukua na monitor ya inch 22 au tv yenye hdmi au vga port. Hii itakusaidia kuweka games zenye kuharibu pad mf. Mortal kombat x au xl au 11. Pad za pc ni ngumu na gharama yake ni 8k pad moja k.koo.

*ps4 na ps3 weka games za mpira na mission ambazo haziharibu pad. Pc tia game za ngumi na zenye kuharibu pad.

BEI

*Ps3 na ps4 mpira ni 500 kwa dakika 10
Ps2 mpira mechi 2 500 na ni dakika 10

*games zingn za mission ni dakika 15 kwa 500 kwa ps3 na ps4 na dakika 30 kwa ps2.

LOCATION*

tafuta sehemu yenye watu wengi hasa vijana na yenye usalama. Fremu ni kati ya 50k hadi 70k. Usiogope itakulipa tu.

* dumisha usafi na kama unamweka mtu basi mlipe kwa siku elf 5 mpaka elf 7 kwa siku kutegemea na mahesabu anayokuletea.

* fanya mwenyewe kama mwezi hivi ndo umpe kijana. Na uwe muda mwingi unapiga jicho maana wakizoea huwa wana tabia ya udokozi.

* biashara ikikubali weka cctv camera ni kama 450k kila kitu. Itasaidia usalama na pia kum monitor kijana.

*VIFAA VINGINE

*stabilizor ni muhimu sana kwaajili ya kulinda vifaa vyako.
*pads ni za kuchunga hasa za ps4 maana ndo kikwazo kikubwa cha biashara hii.
*kibali toka serikali za mtaa ni 20k tu na hakuna kenge atakaye kusumbua

●muda wa kufungua ni saa 3 asubuhi hadi saa 5 usiku. Ila siku za shule hakikisha madogo hawaingii chini ya saa 7 mchana.

● kwenye ps4 jaribu kuweka hata kijisofa itaongeza hadhi.

****** FAIDA ********

* ukifikia hayo juu jiandae kula kuanzia 20k hadi 30k kwa siku za kawaida na 40k kwa siku za weekend.

KUNA WATU WANAPENDA KUONGEA VITU WASIVYO VIJUA. KAMA HUJUI KITU NI BORA KUKAA KIMYA
Shukran kwa mchanganuo murua.
Kwann zisitumike tv mpya? Nn changamoto yake?
 
Zinawahi kuzingua. Isipochora mistari itaungua. Tv mpya nikiwa namaaanisha akina aborder, mr.uk na zenye kufanana na hzo. Ila kama unaweza ku afford brand kama samsung, lg, sony bravia toka shop ni poa zaidi. Mtumba kwa kuwa huwa ni cheap na zina quality kali kinyama
 
Back
Top Bottom