Loveeness78
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 280
- 294
Njooni Musoma vijijini wakati wa kiangazi, ng'ombe ni laki 2 hadi 2 na nusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhi ngosha wamakonde wamekuelewa kweli?Tuwasiliane na mimi just PM. Nafanya hiyo biashara sana tu, nachinja na "kugalagaja" pale pugu mnadani. Tuwasiliane twaweza fanya kitu kizuri zaidi.
Duu hii ni hatarimkuu salama kabisa mambo yamebana sana kwa sasa,
hela za laana mimi huwa sizitaki kabisa ndio maana tunajaribu kumuelewesha ndugu yetu hapa kuhusu hizi biashara za kitapeli, huko kongwa, mpwapwa vijijini kuna wahuni huwa wanapeleka mafuta ya taa kubadili na mahindi daaa yani lita moja inabadilishwa kwa debe la mahindi. Wenye matractor nao huwa wanayapeleka huko kipindi cha kilimo then hekari moja inalimwa kwa gunia kadhaa za mahindi au maharage na wanakijiji hawana 30,000 ya kulimia hk 1 so inawabidi tu wakubali... itatuchukua muda sana kuja kuibadili tz yetu kwa mitindo ya namna hii
Siungi mkono hili suala na sio usanii maana mnakubaliana na muuzaji, unasemaje ni usanii? Kwani ukienda kununua simu dukani ukaomba upunguziwe bei itakuwa ni usanii?? Ukiendekeza hizo mambo za usanii ufiki popote ..mkuu mimi ningekushauri ufanye jambomoja.
- Umefika wakati tuwe tunafanyabiashara zenye tija, biashara zenye faida na biashara ambzao hazina usanii.
- Biashara kama hizi zina usaniimwingi sana
1. Kununua mazao na kwenda kuyauzasehemu nyingine
2. Kununa kuku na kwenda kuziuzasehemu nyingine
3. Kununua ng'ombe na kwenda kuziuzasehemu nyingine
HIZI BIASHARA LAZIMA UWE MSANII WAHALI YA JUU KUWEZA KUZIFANYA NA SI KWAMBA ZINAHITAJI AKILI BALI ZINAHITAJIUSANII.
MFANO:
1. KUNUNUA KUKU NA KUJA KUZIUZA SEHEMUNYINGINE- HAPA HAKUNA ULICHO ONGEZA ZAIDI YA KUWALILIA WANAO KUZIA WAKUZIE BEIYA CHINI NA WEWE UKAUZE BEI YA JUU. HAUJAONGEZA THAMANI YOYOTE ILE KWENYE HAWAKUKU
2. UNANUNUA MAGUNIA YA MAHINDI KUTOKADODOMA NA KUPELEKA DAR- HAPA HAKUNA CHA MAANA ULICHO FANYA ILA USANIIUTAFANYIKA WAKATI WA KUNUNUA UTUMIE NDOO KUBWA ILIYO FANYIWA MODFICATION, NAWEWE WAKATI WA KUUZA LAZIMA UCHANGANYE MAHINDI MAZURI NA MABAYA ULIO NUNUA KWABEI YA CHINI. BILA KUCHANGANYA HAYA MAHINDI HUWEZI PATA FAIDA
- Hapa unakuwa hujaongezea hayamahindi thamani yoyute ile
3. Kwenye swala la ng'ombe nalolinahitaji usanii tu, ukawalilie wanao kuzia il wakupunguzie na wewe upatekafaida.
UMEFIKA WAKATI WA KUFANYA BIASHARA ZAKUONGEZA THANANI
1. Nunua ng'ombe chinja na supplynyama hapa unakuwa umeongeza thamani
-Au fungua kiwanda cha kupaki kabisana kuuzia watu wa supermarket, hapa unakuwa umefanya biashara ya maana sana
2. Nunua mahindi saga na paki unga,hapa unakuwa umeyaongezea hayo mahindi thamani kubwa mno na utapata faida
3. Nunua kuku chinja, pack na uza-
Hii ndo biashara ya kuad value, lakinihii ya kununua mchele kutoka morogoro na kuja kuuza dar inahitaji usanii wakuchanganya mchele wa morogoro na ule wa thailandla sivyo hakuna chachote kile utakacho faidi
NDO MAANA HII BIASHARA HAIHITAJI AKILIBALI USANII WA KUIBIA WATEJA, NA SI ENDELEVU
Mpaka leo bado unanunua nikuletee??Mimi ninayo bucha iko kitumbini dsm inafanya kazi tangu 1978 natafuta mtu anaye weza kuniletea nyama ya n'gombe isiyo kua na mafuta sana nyama nzuri na bei iwe kwa kilo 4200 maanake anaye niletea kafariki na mtoto wake kapandesha bei sana
mimi nauza kuku aina zote ya samaki mbuzi soseji kwahiyo atakaye taka kufanya kazi daima na mie just pm me
Mkuu nipe connection na huyo jamaa nimuuzie mifugo.Mi nna jamaa yangu ananunua ng,ombe usukumani kipindi cha ukame hadi ng,ombe mmoja kwa laki anawanenepesha kwa miezi mitatu then anawapeleka visiwani kuanzia zanzibar,comoro na kwingineko yeye ana protection ya wakubwa so huwa ananenepeshea huku rufiji kwenye mbuga ya serous anapiga pesa balaa na wakubwa wana ng,ombe zao humo humo na anasema ng,ombe comoro anauzwa milioni nne mmoja
Upo wapi na idadi ya mifugo yako ni kiasi ganiNaomba mrejesho kwa yeyote mwenye soko la mbuzi la uhakika tafadhali. Msaada
Mbuzi size ya kati wengi tu hata mia unapata Dodoma.Upo wapi na idadi ya mifugo yako ni kiasi gani
Mbuzi size ya kati wengi tu hata mia unapata Dodoma.
Habari ndugu..je bado unauza mifugo?Habari ndugu, marafiki na jamaa!!, naomben ushauri juu ya biashara hii ya ng'ombe, mbuzi au kondoo kuhusu soko na gharama za usafiri kutoka Ruvu(pwani) hadi sokoni!!, lakin si mbaya kama kuna mfanyabiashara hiyo akashirkiana nami!!!. huwa mm nanunua kwa wafugaji na kuuza kwenye masoko ya huku porini ambayo hayana bei!!.
Kama bado tunaweza wasilianaHabari ndugu..je bado unauza mifugo?
kila biashara inahitaji usanii ndugu yangu,hakuna biashara isiyo hitaji msanii maana kukubaliana na mteja inahitaji uwe na ujanja mwingimkuu mimi ningekushauri ufanye jambomoja.
- Umefika wakati tuwe tunafanyabiashara zenye tija, biashara zenye faida na biashara ambzao hazina usanii.
- Biashara kama hizi zina usaniimwingi sana
1. Kununua mazao na kwenda kuyauzasehemu nyingine
2. Kununa kuku na kwenda kuziuzasehemu nyingine
3. Kununua ng'ombe na kwenda kuziuzasehemu nyingine
HIZI BIASHARA LAZIMA UWE MSANII WAHALI YA JUU KUWEZA KUZIFANYA NA SI KWAMBA ZINAHITAJI AKILI BALI ZINAHITAJIUSANII.
MFANO:
1. KUNUNUA KUKU NA KUJA KUZIUZA SEHEMUNYINGINE- HAPA HAKUNA ULICHO ONGEZA ZAIDI YA KUWALILIA WANAO KUZIA WAKUZIE BEIYA CHINI NA WEWE UKAUZE BEI YA JUU. HAUJAONGEZA THAMANI YOYOTE ILE KWENYE HAWAKUKU
2. UNANUNUA MAGUNIA YA MAHINDI KUTOKADODOMA NA KUPELEKA DAR- HAPA HAKUNA CHA MAANA ULICHO FANYA ILA USANIIUTAFANYIKA WAKATI WA KUNUNUA UTUMIE NDOO KUBWA ILIYO FANYIWA MODFICATION, NAWEWE WAKATI WA KUUZA LAZIMA UCHANGANYE MAHINDI MAZURI NA MABAYA ULIO NUNUA KWABEI YA CHINI. BILA KUCHANGANYA HAYA MAHINDI HUWEZI PATA FAIDA
- Hapa unakuwa hujaongezea hayamahindi thamani yoyute ile
3. Kwenye swala la ng'ombe nalolinahitaji usanii tu, ukawalilie wanao kuzia il wakupunguzie na wewe upatekafaida.
UMEFIKA WAKATI WA KUFANYA BIASHARA ZAKUONGEZA THANANI
1. Nunua ng'ombe chinja na supplynyama hapa unakuwa umeongeza thamani
-Au fungua kiwanda cha kupaki kabisana kuuzia watu wa supermarket, hapa unakuwa umefanya biashara ya maana sana
2. Nunua mahindi saga na paki unga,hapa unakuwa umeyaongezea hayo mahindi thamani kubwa mno na utapata faida
3. Nunua kuku chinja, pack na uza-
Hii ndo biashara ya kuad value, lakinihii ya kununua mchele kutoka morogoro na kuja kuuza dar inahitaji usanii wakuchanganya mchele wa morogoro na ule wa thailandla sivyo hakuna chachote kile utakacho faidi
NDO MAANA HII BIASHARA HAIHITAJI AKILIBALI USANII WA KUIBIA WATEJA, NA SI ENDELEVU
Kwa makisio wanaweza kufika uzito gani hao mbuzi? Na unauza kwa shingapi bei ya juu (maximum price)Mbuzi size ya kati wengi tu hata mia unapata Dodoma.