Biashara ya mifugo (ng'ombe, mbuzi, kondoo n.k)

Njooni Musoma vijijini wakati wa kiangazi, ng'ombe ni laki 2 hadi 2 na nusu
 
Duu hii ni hatari
 
Anaejua bei ya kuuza mbuzi kwenye soko la mashariki ya kati anijuze
 
Siungi mkono hili suala na sio usanii maana mnakubaliana na muuzaji, unasemaje ni usanii? Kwani ukienda kununua simu dukani ukaomba upunguziwe bei itakuwa ni usanii?? Ukiendekeza hizo mambo za usanii ufiki popote ..
 
Mpaka leo bado unanunua nikuletee??
 
Mkuu nipe connection na huyo jamaa nimuuzie mifugo.
 
Naomba mrejesho kwa yeyote mwenye soko la mbuzi la uhakika tafadhali. Msaada
 
Wakuu, kuna wadau wale wa halal wananunua nyama carcass ya mbuzi kwenda uarabuni n.k, vipi masoko ya hao wajuba kwa anayejua msaada jameni.
 
Habari ndugu..je bado unauza mifugo?
 
kila biashara inahitaji usanii ndugu yangu,hakuna biashara isiyo hitaji msanii maana kukubaliana na mteja inahitaji uwe na ujanja mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…