Safi mkuu, mimi kidogo kishwahili nimeanza kukisahau.Kwanza Nielezee kidogo "Pay back period".Kwa faida ya wengi hii ni njia ya kubajeti mtaji (Capital Budgetting Method),inayo eleza muda utakaotumika kurejesha kiasi cha mtaji uliowekezwa katika mradi (Katika miaka).
Mfano. Kama Pay back period ni 1 Maana yake kwa mwaka mmoja tayari,kiasi cha mtaji kilichowekezwa kitakuwa kimerudi.
Na kumbuka ATCL inakodi ndege kutoka kwa serikali hivyo uwekezaji wa kununua ndege haumhusu bali kinachomhusu ni uendeshaji, sasa payback ya investment ya kununua ndege huenda pia haimhusu. Huenda hasara yake ni ya kuendesha biashara ya kukodi ndege pasipo kupata faida. Yani gharama za uendeshaji ni kubwa kuliko anachoingiza hivyo ndiyo maana ikaitwa hasara.ni kweli mkuu, sasa hapo anawaogopesha watanzania ni vyema angetuorozoshea kwanza zile fedha zilizowekezwa kama tayari zimesharudi then atupatie na kipindi cha Kurudisha kilikua ni miaka mingapi alafu atwambie sasa hizo ndege zinaingiza fedha kiasi gani kwa kila mwaka kabla ya kukokotoa hasara au faida.
Kwasababu kwa mtaji ulizowekezwa kwa kila ndege sitegemei shirika kuanza kupata faida haraka kiasi hicho.
Payback period refers to the time required to recoup the funds expended in an investment, or to reach the break-even point. For example, a $1000 investment made at the start of year 1 which returned $500 at the end of year 1 and year 2 respectively would have a two-year payback periodPay back period ndo nn?
Sasa kama ni hivyo wakuwajibishwa ni hizo ndege au ATCL?Na kumbuka ATCL inakodi ndege kutoka kwa serikali hivyo uwekezaji wa kununua ndege haumhusu bali kinachomhusu ni uendeshaji, sasa payback ya investment ya kununua ndege huenda pia haimhusu. Huenda hasara yake ni ya kuendesha biashara ya kukodi ndege pasipo kupata faida. Yani gharama za uendeshaji ni kubwa kuliko anachoingiza hivyo ndiyo maana ikaitwa hasara.
Report ya Cag ina utata mwingi sana mfano kama hasara ni bil 60 mbona hajasema nani awajibishwe na hasara lkn bil 3 mtu kachukuliwa hatua iwe wazi kama msomi hapa kachemka sanaBiashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla pay back period haijafika...
Swali lako halijaeleweka, ila kwa kifupi ni biashara kichaa ambayo matumizi yanazidi mapato. Yani hii ina maanisha shirika haliwezi kujiendesha.Sasa kama ni hivyo wakuwajibishwa ni hizo ndege au ATCL?
Huo muda usiuweke katika pattern usieleweke ni muda gani. Muda ambao ni target ili urudishe pesa zako ni muda kiasi gani?Ni ule muda ambao biashara yako inakurudishia fedha na gharama zote ulizowekeza wakati unaanzisha hiyo biashara. Hapo kuna gharama nyingi tu. Gharama za kununua ndege, gharama za kununulia mafuta wakati unakwenda kuzichukua, gharama za kuwalipa wafanyakazi wakati unaanza, n.k
Mnamtafuta mchawi, biashara ya ndege ngumu sana sasa utamwajbisha mtu kwa cost za uendeshaji kuwa kubwa kuliko mapato. Huyo wa bilioni tatu zimepigwa kwa uzembe au kqa ushirika wake, anastahili adhabu kabisa.Report ya Cag ina utata mwingi sana mfano kama hasara ni bil 60 mbona hajasema nani awajibishwe na hasara lkn bil 3 mtu kachukuliwa hatua iwe wazi kama msomi hapa kachemka sana
Payback period kwa Ndege alizonunua Magufuli ni miaka mingap?Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika...
Kama hakuna faida basi kusiwe na hasaraWeanzako wataka kuona faida tangia siku ya kwanza ndege kununuliwa wala hawataki kureason kisa ati hawakumpenda Magufuli.
Kwasababu kwa mtaji ulizowekezwa kwa kila ndege sitegemei shirika kuanza kupata faida haraka kiasi hich
Wewe na CAG nani CAG?? tumuamini acha kupotosha umma
Hapo sawa jombaa kama maelezo yako ni ya kweli! Je ikafika mwaka ambapo gharama ikawa kubwa kuliko gharama walizojipangia! Hapo tunapaitaje kitaalamu??? Au ikafika mwaka gharama ikawa ndogo kuliko kiasi walichojipangia! Na hapo kitaalamu tunaitaje?? Please naomba ufafanuzi.Hapana any investment lazima iwe na plan yake na ijue ni lini pesa iliyowekezwa itakuwa imerudi kabla ya kupata faida. Hali hiyo tunaita PAY BACK PERIOD. Lkn ikiwa mwaka husika kampuni gharama ilizotumia na kile kilichopatikana kikiwa sawa hapo ndio tunasema BEP
Kukusaidia tu mleta mada, fahamu haya.Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla pay back period haijafika
ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia pay back period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania utawachanganya.
Mimi nadhani tungepewa hesabu nzima, tusiandikiwe tu hasara.
Tupewe pesa iliyotumika kufanya investiment ni kiasi gani kwa ndege zote.
Alafu tuambiwe kila ndege zinaingiza kiasi gani kwa mwaka.
Hiyo ndio hesabu tunayoitaka,
Mimi nacho kijua na kukielewa hiyo ni long term business ambayo inatumia higher investiment. Hivyo haiwezi kuleta faida kabla haijafikia payback period.
Twambie kwanza pay back period ilikua ni ya miaka mingapi ndipo uje na hiyo hesabu ya hasara.
Ukitwambia tu hasara hatuwezi kuelewa vizuri.
Maana bado siijui payaback period
Ipo miradi mingi mikubwa ambayo ikiianza usitegemee kupata faida ndani miaka minne, it's impossible. Tuna mradi wa LNG, huo mradi payback period yake ni ndefu sana. Tusitegemee kuja kuanza kupata faida ndani ya muda mfupi. Katika Biashara kubwa lazima uwe mvumilivu.
Mimi kiukweli ningependa kusikia tu return of investiment imefikia kiasi gani basi. Hapo ningechakachua kichwa na kujua wapi tunaelekea.