Hashimu lwenje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 415
- 361
- Thread starter
- #41
Jaribu kuingia kwenye website ya CAGWapi Mkuu naweza pata ripoti ya CAG?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kuingia kwenye website ya CAGWapi Mkuu naweza pata ripoti ya CAG?
Yeye kazi yake ni kukagua na kutoa info wapi penye uozo, hilo swala la nani awajibishwe lipo nje ya majukumu yake.Report ya Cag ina utata mwingi sana mfano kama hasara ni bil 60 mbona hajasema nani awajibishwe na hasara lkn bil 3 mtu kachukuliwa hatua iwe wazi kama msomi hapa kachemka sana
Nimekuelewa mkuu ila huyu mleta mada naona anataka kutulisha viaz pori kulingana na report ya CAG shirika la ATCL achilia mbali kuzalisha faida lakini hata gharama za kujiendesha bado zinaghalamiwa na serikali atlest tungeambiwa kwamba shirika linajiendesha lenyewe lakin bado halijaanza kuzalisha faida correct me if am wrong!!!Tofautisha vitu viwili..
1. Return of Investment
Yaani kurudisha mtaji uliouwekeza kwenye biashara na biashara ikaendelea kuwepo.
2. Return on Investment
Yaani hapa sasa faida inaanza kuingia baadaya mtaji kurudi.
Hili la ATCL kujiendesha kwa hasara maana yake ni kuwa kwa trend inayoenda nayo, yaani operating income kuwa juu kuliko revenues(mapato) maana yake hiyo biashara haiwezi kamwe kurudisha mtaji(return of Investment)...achilia mbali kuleta faida(return on Investment)...itaenda kufa tu.
Mfano...kwa mwaka shirika litumie bilioni 100 ktk uendeshaji wa shughuli zake...kama ku service ndege..kulipa wafanyakazi n.k...baada ya kufanya kazi kwa mwaka mzima likapata mapato ya bilioni 40....hapo kuna hasara ya bilioni 60...yaani hata gharama za matumizi hazijarudi zote. Negative growth.
Hiki ndicho kinacholikumba shirika letu...linatumia costs nyingi kujiendesha..lakini mapato yanakuwa madogo kuliko matumizi. Hivyo financial statements zikiandaliwa lazima kuwe na loss...hakuna faida.
Hii ni tofauti na endapo kama ATCL ingekuwa inajiendesha kwa faida for the past 5 years...mfano kama kwa mwaka shirika limetumia bilioni 100 kujiendesha na likapata mapato ya bilioni 140 kwa mwaka...hapa litakuwa na faida ya 40 billion..positive growth.
Kuhusu kurudisha mtaji..
Biashara ambayo ina positive growth...ndiyo inaweza kurudisha mtaji na baadaye kuanza kuleta faida. Na hili linaonekana ktk hesabu za shirika za kila robo au mwaka....kuwa kuna ukuaji chanya unaoelekea kurudisha mtaji wa hela ya ndege zote na other costs
Kukiwa na profit..basi ni rahisi kupiga hesabu kuwa baada ya muda fulani mtaji uliowekezwa utarudi. Lakini hata kujiendesha kwenyewe tu ni kwa hasara...hapo sahau kurudi kwa mtaji....hela zetu za kodi ndizo zitazidi kuumia.
Hiki ndio nacho kitafuta mkuu, sasa kama ni hivyo kumbe ndege hazina makosa, sasa hapo ndege zina makosa gani. Wenye makosa waendeshaji wa shirika, kuanzia mkurugenzi hao ndio wenye makosa.Kukusaidia tu mleta mada, fahamu haya.
-Mpaka sasa ATCL haijapewa mtaji wa pesa wa kujiendesha, ndege inazotumia ambazo zimenunuliwa na Magufuli ni mali ya wakala mkuu wa ndege za serikali, ATCL wamekodishwa kwa mkataba wa siri (bure!).
-Mpaka leo hii ATCL inaendeshwa kwa ruzuku ya pesa za serikali.
-Mtaji wa ATCL uko hasi, kutokana na mzigo wa madeni ilionao. Ukiwapa leo mtaji, mtaji wote unakwenda kuzama kufidia madeni.
-Faida/Hasara inayosemwa na CAG kwa ATCL, ni kile ambacho ATCL wanakipata baada kuchukua Mapato yao (Total income) halafu wakatoa gharama za uendeshaji (Operation cost) kwa mwaka.
Payback period inakuja baada ya prediction ya mapato kwa biashara/investment husika.Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla pay back period haijafika
ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia pay back period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania utawachanganya.
Mimi nadhani tungepewa hesabu nzima, tusiandikiwe tu hasara.
Tupewe pesa iliyotumika kufanya investiment ni kiasi gani kwa ndege zote.
Alafu tuambiwe kila ndege zinaingiza kiasi gani kwa mwaka.
Hiyo ndio hesabu tunayoitaka,
Mimi nacho kijua na kukielewa hiyo ni long term business ambayo inatumia higher investiment. Hivyo haiwezi kuleta faida kabla haijafikia payback period.
Twambie kwanza pay back period ilikua ni ya miaka mingapi ndipo uje na hiyo hesabu ya hasara.
Ukitwambia tu hasara hatuwezi kuelewa vizuri.
Maana bado siijui payaback period
Ipo miradi mingi mikubwa ambayo ikiianza usitegemee kupata faida ndani miaka minne, it's impossible. Tuna mradi wa LNG, huo mradi payback period yake ni ndefu sana. Tusitegemee kuja kuanza kupata faida ndani ya muda mfupi. Katika Biashara kubwa lazima uwe mvumilivu.
Mimi kiukweli ningependa kusikia tu return of investiment imefikia kiasi gani basi. Hapo ningechakachua kichwa na kujua wapi tunaelekea.
Plz naomba link /pdf ya annual reports za ATCL.Tofautisha vitu viwili..
1. Return of Investment
Yaani kurudisha mtaji uliouwekeza kwenye biashara na biashara ikaendelea kuwepo.
2. Return on Investment
Yaani hapa sasa faida inaanza kuingia baadaya mtaji kurudi.
Hili la ATCL kujiendesha kwa hasara maana yake ni kuwa kwa trend inayoenda nayo, yaani operating income kuwa juu kuliko revenues(mapato) maana yake hiyo biashara haiwezi kamwe kurudisha mtaji(return of Investment)...achilia mbali kuleta faida(return on Investment)...itaenda kufa tu.
Mfano...kwa mwaka shirika litumie bilioni 100 ktk uendeshaji wa shughuli zake...kama ku service ndege..kulipa wafanyakazi n.k...baada ya kufanya kazi kwa mwaka mzima likapata mapato ya bilioni 40....hapo kuna hasara ya bilioni 60...yaani hata gharama za matumizi hazijarudi zote. Negative growth.
Hiki ndicho kinacholikumba shirika letu...linatumia costs nyingi kujiendesha..lakini mapato yanakuwa madogo kuliko matumizi. Hivyo financial statements zikiandaliwa lazima kuwe na loss...hakuna faida.
Hii ni tofauti na endapo kama ATCL ingekuwa inajiendesha kwa faida for the past 5 years...mfano kama kwa mwaka shirika limetumia bilioni 100 kujiendesha na likapata mapato ya bilioni 140 kwa mwaka...hapa litakuwa na faida ya 40 billion..positive growth.
Kuhusu kurudisha mtaji..
Biashara ambayo ina positive growth...ndiyo inaweza kurudisha mtaji na baadaye kuanza kuleta faida. Na hili linaonekana ktk hesabu za shirika za kila robo au mwaka....kuwa kuna ukuaji chanya unaoelekea kurudisha mtaji wa hela ya ndege zote na other costs
Kukiwa na profit..basi ni rahisi kupiga hesabu kuwa baada ya muda fulani mtaji uliowekezwa utarudi. Lakini hata kujiendesha kwenyewe tu ni kwa hasara...hapo sahau kurudi kwa mtaji....hela zetu za kodi ndizo zitazidi kuumia.
Hayo maelezo aliyoyatoa ndio ambayo yalitakiwa sasa yaelezwe ili mtanzania aelewe, kwa mantiki hiyo tatizo halipo kwenye ndege tatizo lipo kwenye uongozi wa shirika, hapo ndio kwenye tatizo.Nimekuelewa mkuu ila huyu mleta mada naona anataka kutulisha viaz pori kulingana na report ya CAG shirika la ATCL achilia mbali kuzalisha faida lakini hata gharama za kujiendesha bado zinaghalamiwa na serikali atlest tungeambiwa kwamba shirika linajiendesha lenyewe lakin bado halijaanza kuzalisha faida correct me if am wrong!!!
Ahsante Mkuu kwa ushauri, ila tovuti yao haifunguki kwa sasa.Jaribu kuingia kwenye website ya CAG
Information is power na kama una informations zozote leta hapa tufanye sharing, for the information that i have Ethiopian airline bado ipo vizuri on sky achilia mbali mashirika mengine ambayo yapo hoi bin taabani kama kq, sa, rwandan air. Acha kutuaminisha kwamba mashirika yote yanafanya vibaya kiasi cha kuifikia ATCL stop joking!!!!!Wakati wanakujibu watutajie shirika gani la ndege hapa Africa lililoingiza faida katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita
Internal Rate of Return (IRR).Pay back period ndo nn?
Kwa mujibubwa CAG leo...ile ripoti ni mpaka ipelekwe bungeni kuwa tabled ndipo inakuwa public document.Plz naomba link /pdf ya annual report ya ATCL.
Tatizo la wasomo wa kitanzania ni ujinga wa kutokuja na solution katika kila tatizo wanaloligundua.Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika
ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania utawachanganya.
Mimi nadhani tungepewa hesabu nzima, tusiandikiwe tu hasara.
Tupewe pesa iliyotumika kufanya investiment ni kiasi gani kwa ndege zote.
Alafu tuambiwe kila ndege zinaingiza kiasi gani kwa mwaka.
Hiyo ndio hesabu tunayoitaka,
Mimi nacho kijua na kukielewa hiyo ni long term business ambayo inatumia higher investiment. Hivyo haiwezi kuleta faida kabla haijafikia payback period.
Twambie kwanza pay back period ilikua ni ya miaka mingapi ndipo uje na hiyo hesabu ya hasara.
Ukitwambia tu hasara hatuwezi kuelewa vizuri.
Maana bado siijui payaback period
Ipo miradi mingi mikubwa ambayo ikiianza usitegemee kupata faida ndani miaka minne, it's impossible. Tuna mradi wa LNG, huo mradi payback period yake ni ndefu sana. Tusitegemee kuja kuanza kupata faida ndani ya muda mfupi. Katika Biashara kubwa lazima uwe mvumilivu.
Mimi kiukweli ningependa kusikia tu return of investiment imefikia kiasi gani basi. Hapo ningechakachua kichwa na kujua wapi tunaelekea.
Hapo umemaliza kila kitu.Tofautisha vitu viwili..