Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla pay back period haijafika

Payback period kwa Ndege alizonunua Magufuli ni miaka mingap?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Wataalamu wanasema ikiwa ATCL wakiweza kutengeneza wastani wa 28bilioni kila mwaka kama faida basi itawachukua miaka mia moja na uchee kuweza kufikia break through period.

Kwa vipi?
Mpaka sasa huenda zimeshatumika almost 3trilions kununua zile ndege, hivyo kwa miaka 100 tutakuwa tumerudisha 2.8Trilion ikiwa ATCL itapata wastani wa 28bilioni kila mwaka.
 
Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika
ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania utawachanganya.

Mimi nadhani tungepewa hesabu nzima, tusiandikiwe tu hasara.

Tupewe pesa iliyotumika kufanya investiment ni kiasi gani kwa ndege zote.

Alafu tuambiwe kila ndege zinaingiza kiasi gani kwa mwaka.

Hiyo ndio hesabu tunayoitaka,
Mimi nacho kijua na kukielewa hiyo ni long term business ambayo inatumia higher investiment. Hivyo haiwezi kuleta faida kabla haijafikia payback period.

Twambie kwanza pay back period ilikua ni ya miaka mingapi ndipo uje na hiyo hesabu ya hasara.

Ukitwambia tu hasara hatuwezi kuelewa vizuri.

Maana bado siijui payaback period

Ipo miradi mingi mikubwa ambayo ikiianza usitegemee kupata faida ndani miaka minne, it's impossible. Tuna mradi wa LNG, huo mradi payback period yake ni ndefu sana. Tusitegemee kuja kuanza kupata faida ndani ya muda mfupi. Katika Biashara kubwa lazima uwe mvumilivu.

Mimi kiukweli ningependa kusikia tu return of investiment imefikia kiasi gani basi. Hapo ningechakachua kichwa na kujua wapi tunaelekea.
Hata kabla Ya payback period kufika , pindi unapoanza biashara na kumaliza investment zote ,na kuanza kufanya biashara, hiyo biashara inatakiwa ijiendeshe yenyewe , inatakiwa ijilipie operations cost zote , mfano ilipe mishahara Ya wafanyakazi , ununuzi Wa mafuta ,service n.k
Baada Ya kutoa operation cost zote kutoka kwenye kiasi kilichoingia kwa mwezi au kwa mwaka,kiasi sasa kitakachobaki hicho Hua ndio kinaitwa faida Sasa .hata kabla Ya payback period , return of investment (mtaji) hupatikana kwenye faida inayopatikana.
Lakini kama biashara haijiendeshi yenyewe, yaani operation cost ni kubwa kuliko kiasi kinachoingia hata mishahara inakua inategemea pesa kutoka kwenye vyanzo vingine ,
Hapana hiyo Sio biashara ni pasua kichwa mkuu , tena zaidi Ya miaka mitano bado tu haiwez kujiendesha , Hapo tu lažima iwe ni hasara mkuu .
 
Wakat wa ku invest (unakuw na investment cost)
Ukianz operate business yako inatakiw aanze kukupa return hata Kama Kuna hasar iwe ndogo kwa kpnd kfup sio more than 2years+
Labda biashara ya mgahawa...ulizia mtu aliyejenga nyumba ya kupangusha baada ya miaka mingapi ataanza kupata faida!
 
Acha bana , nikwambie faida hupatikana hata kabla Ya mtaji haujarudi, mtaji hurudi kutokana na faida unayoipata kila Siku , au kila mwezi au kila mwaka ,
Kanuni Ya biashara ni moja mkuu, iwe biashara ni ndogo au kubwa ,kanun zinafanana ,
 
Tofautisha vitu viwili..
1. Return of Investment
Yaani kurudisha mtaji uliouwekeza kwenye biashara na biashara ikaendelea kuwepo.
2. Return on Investment
Yaani hapa sasa faida inaanza kuingia baadaya mtaji kurudi.

Hili la ATCL kujiendesha kwa hasara maana yake ni kuwa kwa trend inayoenda nayo, yaani operating income kuwa juu kuliko revenues(mapato) maana yake hiyo biashara haiwezi kamwe kurudisha mtaji(return of Investment)...achilia mbali kuleta faida(return on Investment)...itaenda kufa tu.

Mfano...kwa mwaka shirika litumie bilioni 100 ktk uendeshaji wa shughuli zake...kama ku service ndege..kulipa wafanyakazi n.k...baada ya kufanya kazi kwa mwaka mzima likapata mapato ya bilioni 40....hapo kuna hasara ya bilioni 60...yaani hata gharama za matumizi hazijarudi zote. Negative growth.

Hiki ndicho kinacholikumba shirika letu...linatumia costs nyingi kujiendesha..lakini mapato yanakuwa madogo kuliko matumizi. Hivyo financial statements zikiandaliwa lazima kuwe na loss...hakuna faida.

Hii ni tofauti na endapo kama ATCL ingekuwa inajiendesha kwa faida for the past 5 years...mfano kama kwa mwaka shirika limetumia bilioni 100 kujiendesha na likapata mapato ya bilioni 140 kwa mwaka...hapa litakuwa na faida ya 40 billion..positive growth.

Kuhusu kurudisha mtaji..
Biashara ambayo ina positive growth...ndiyo inaweza kurudisha mtaji na baadaye kuanza kuleta faida. Na hili linaonekana ktk hesabu za shirika za kila robo au mwaka....kuwa kuna ukuaji chanya unaoelekea kurudisha mtaji wa hela ya ndege zote na other costs

Kukiwa na profit..basi ni rahisi kupiga hesabu kuwa baada ya muda fulani mtaji uliowekezwa utarudi. Lakini hata kujiendesha kwenyewe tu ni kwa hasara...hapo sahau kurudi kwa mtaji....hela zetu za kodi ndizo zitazidi kuumia.
Maelezo mazuri haya kwa mleta mada
 
Ni ule muda ambao biashara yako inakurudishia fedha na gharama zote ulizowekeza wakati unaanzisha hiyo biashara. Hapo kuna gharama nyingi tu. Gharama za kununua ndege, gharama za kununulia mafuta wakati unakwenda kuzichukua, gharama za kuwalipa wafanyakazi wakati unaanza, n.k
Nadhani kwa lugha nyingine ni breakeven time. Investment nyingi unaanza kuangalia profits kuanzia breakeven point.
 
Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika
ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania utawachanganya.

Mimi nadhani tungepewa hesabu nzima, tusiandikiwe tu hasara.

Tupewe pesa iliyotumika kufanya investiment ni kiasi gani kwa ndege zote.

Alafu tuambiwe kila ndege zinaingiza kiasi gani kwa mwaka.

Hiyo ndio hesabu tunayoitaka,
Mimi nacho kijua na kukielewa hiyo ni long term business ambayo inatumia higher investiment. Hivyo haiwezi kuleta faida kabla haijafikia payback period.

Twambie kwanza pay back period ilikua ni ya miaka mingapi ndipo uje na hiyo hesabu ya hasara.

Ukitwambia tu hasara hatuwezi kuelewa vizuri.

Maana bado siijui payaback period

Ipo miradi mingi mikubwa ambayo ikiianza usitegemee kupata faida ndani miaka minne, it's impossible. Tuna mradi wa LNG, huo mradi payback period yake ni ndefu sana. Tusitegemee kuja kuanza kupata faida ndani ya muda mfupi. Katika Biashara kubwa lazima uwe mvumilivu.

Mimi kiukweli ningependa kusikia tu return of investiment imefikia kiasi gani basi. Hapo ningechakachua kichwa na kujua wapi tunaelekea.

Kwa mfano mm nimennua gari kwa ajili ya biashara tuseme milion 15 kwaio payback period iwe miaka mitatu hivo hesabu zangu inabidi kila mwaka nikisanye milion 5 ndio nitimize malengo ila ikitokea mwaka wa mwnzo na wa pili au yote nimekusanya million 2, 1,3 basi kwa mimi nitasema nimekula hasara japo pay back period haijamaliza sabbu ili iwe Faida kwngu basi nipate milion 15 kila mwaka ila nimepata milion 2 pia naweza kupanga milion 5 ila kila mwaka nikapata milion 6 million 4 million 6 nitakua nimerudsha mtaji na faida ya milion moja

kwahiyo nafkir na kwenye ndege inawezkana hakijapatkana kile kwango ambacho kinategemewa ili kurudsha mtaji kama kimgefkiwa kiwango basi kusingekua na hasara kama wamepanga payback period 10 years kwa mwaka wakusanye milion mbili badala ya milion 3 hapo ndio tunaita hasara labda wamekusudia hivo sabbu lazima wazidi break even point kama ilitegemewa iwe miaka 10 itafika miaka 20 kurudsha mtaji

Anyway mimi ndio mana sio mfanyabiashara sababu kikubwa ninachoangalia itachkua muda gani kurudisha pesa yangu yote nikiona muda ni mrefu basi narudi nyuma sabbu Sina pesa ya kuinvest muda mrefu nachotaka niweke pesa nipate pesa bila kusubiri muda mrefu[emoji18]
 
Labda biashara ya mgahawa...ulizia mtu aliyejenga nyumba ya kupangusha baada ya miaka mingapi ataanza kupata faida!
Kuwa muelewa na wewe unachoekezwa ni Kuendesha kwa faida hiyo Biashara sio kupata faida ya uwekezaji.

Huwezi rudisha faida kama huendeshi kwa faida.
 
Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika
ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania utawachanganya.

Mimi nadhani tungepewa hesabu nzima, tusiandikiwe tu hasara.

Tupewe pesa iliyotumika kufanya investiment ni kiasi gani kwa ndege zote.

Alafu tuambiwe kila ndege zinaingiza kiasi gani kwa mwaka.

Hiyo ndio hesabu tunayoitaka,
Mimi nacho kijua na kukielewa hiyo ni long term business ambayo inatumia higher investiment. Hivyo haiwezi kuleta faida kabla haijafikia payback period.

Twambie kwanza pay back period ilikua ni ya miaka mingapi ndipo uje na hiyo hesabu ya hasara.

Ukitwambia tu hasara hatuwezi kuelewa vizuri.

Maana bado siijui payaback period

Ipo miradi mingi mikubwa ambayo ikiianza usitegemee kupata faida ndani miaka minne, it's impossible. Tuna mradi wa LNG, huo mradi payback period yake ni ndefu sana. Tusitegemee kuja kuanza kupata faida ndani ya muda mfupi. Katika Biashara kubwa lazima uwe mvumilivu.

Mimi kiukweli ningependa kusikia tu return of investiment imefikia kiasi gani basi. Hapo ningechakachua kichwa na kujua wapi tunaelekea.
Miaka mitano na wewe debe kutika usijifanye una akili kuliko CAG
 
Serikali ya Tanzania haijawai tengeneza faida
 
Tuliambiwa tunanunua ndege kwa fedha za ndani yaan za walipa kodi. Nasubiri nipate jibu kwenye ilo kwanza maaana deni la nje linazidi kupaaa kila uchwao na walipa deni ni walipa kodi wa ndani.
 
Achilia mbali kurudisha cost za manunuzi.
Atcl hakuna mwaka itakuja tengeneza faida hata shilingi 10
Running cost zitaendelea kuwa juu miaka yote hadi lifetime ya hizo ndege ifike ziwe screpa.
Route zenyewe ndio hizo za kwenda chato, unadhani gharama za kulipa wafanyakazi, service, mafuta etc zitarudi
 
Labda biashara ya mgahawa...ulizia mtu aliyejenga nyumba ya kupangusha baada ya miaka mingapi ataanza kupata faida!

Kama ni nyumba mfano umejenga milion 40 unakodisha kwa mwez 500K kwa mwaka una 6M itachkua miaka 7 kurudsha hizo 40M ukishaingza cost zote hapo ila imetokea miaka mitatu hujapata yeyote wa kumpa hisabu yako hapo tayar imeshakua ya ovyo hasa kama umechukua mkopo bank kwa kutegemea return ya kodi ndio irudishe mkopo
 
Ivi unadhani CAG halijui hilo na kwamba we ndo umeliona...

HONGERA....

Tanzania kununua ndege ni kama uwekezaji wa nyumba za kupanga za gharama kijinini kwenu..... Umetumia Mill.200 ili upate 80K kwa mwezi kwa wananchi wasio na uhakika wa kipato.

Alithubutu akaweza pasi mipango.
 
Atcl ilishajifia na madeni yakutosha Magufuri kapambana kuirudisha atcl kwa kiasi alichoweza tuangalie namna Bora ya kulipeleka shirika mbele badala ya hizi blaa blaa za kumlaumu na chuki.
 
Back
Top Bottom