Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla pay back period haijafika

Mleta mada una uwezo hafifu wa masuala madogo kabisa ya uchumi
Wewe ndio una uwezo hafifu wa maswala ya kiuchumi na ndio maana hata ukiambiwa utoe ushauri ATCL ifanyeje ili ipate faida utashauri ndege ziuzwe. Mtu mwenye akili ndogo hawezi endeleza asset bali huwaza ziuzwe. Na ndio maana afrika hawana viwanda, afrika hawana makampuni ni kwasababu ya kuwa na waafrika wenye uwezo mdogo kama wewe hapo. Mliuza viwanda vyetu vyote vilivyo jengwa na Nyerere, mliua shirika la ndege lilianzishwa na Nyerere, mliua shirika la reli likawa halifanyi kazi vizuri, mliua kila kitu, ili kila biashara mzishirikirie nyinyi tena hata kodi mkawa hamlipi, mtaka mfanye free business matokeo yake serikali ikakosa hata fedha za Kujenga madaraja na Kujenga na barabara nzuri, huduma za afya zilikua mbaya, kwasababu tu mlijibinafsishia kila kitu.
 
Una uwezo hafifu wa maswala ya kiuchumi na ndio maana hata ukiambiwa utoe ushauri ATCL ifanyeje ili ipate faida utashauri ndege ziuzwe. Mtu mwenye akili ndogo hawezi endeleza asset bali huwaza ziuzwe. Na ndio maana afrika hawana viwanda, afrika hawana makampuni ni kwasababu ya kuwa na waafrika wenye uwezo mdogo kama wewe hapo. Mliuza viwanda vyetu vyote vilivyo jengwa na Nyerere, mliua shirika la ndege lilianzishwa na Nyerere, mliua shirika la reli likawa halifanyi kazi vizuri, mliua kila kitu, ili kila biashara mzishirikirie nyinyi tena hata kodi mkawa hamlipi, mtaka mfanye free business matokeo yake serikali ikakosa hata fedha za Kujenga madaraja na Kujenga na barabara nzuri, huduma za afya zilikua mbaya, kwasababu tu mlijibinafsishia kila kitu.
 
Mada ifutwe tu, kwa sababu mtoa mada hajui chochote kuhusu uchumi, analeta ubishi wa kiCCM hapa nyambafu zake.
Una uwezo hafifu wa maswala ya kiuchumi na ndio maana hata ukiambiwa utoe ushauri ATCL ifanyeje ili ipate faida utashauri ndege ziuzwe. Mtu mwenye akili ndogo hawezi endeleza asset bali huwaza ziuzwe. Na ndio maana afrika hawana viwanda, afrika hawana makampuni ni kwasababu ya kuwa na waafrika wenye uwezo mdogo kama wewe hapo. Mliuza viwanda vyetu vyote vilivyo jengwa na Nyerere, mliua shirika la ndege lilianzishwa na Nyerere, mliua shirika la reli likawa halifanyi kazi vizuri, mliua kila kitu, ili kila biashara mzishirikirie nyinyi tena hata kodi mkawa hamlipi, mtaka mfanye free business matokeo yake serikali ikakosa hata fedha za Kujenga madaraja na Kujenga na barabara nzuri, huduma za afya zilikua mbaya, kwasababu tu mlijibinafsishia kila kitu.
 
sio kwamba napotosha mimi nadhani tuelezwe return of investiment imefika ngapi Mimi hapo ndio nitaelewa.
Mzee unataka kuniambia CAG ajaangalia vyote ivyo. Hata kama payback period haijafika faida ilitakiwa ionekane trend ya biashara kugenerate faida ilitakiwa iwepo , maana yake malengo hayajafika kabisa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi nunua ndege za maonesho kisha unakuja kuleta sera za kijamaa na kusingizia mara Waafrika hawana viwanda mara mabeberu.

Mtu yeyote mwenye elimu kidogo tu ya uchumi hawezi leta uzi wa kijinga kama huu. Soma comments za wenye akili uelewe sina sababu ya kurudia. CAG kataja hasara ya uendeshaji, kama unainject bilioni 100 kutoka mfuko wa serikali ili kuendeshea shirika kisha likifanya kazi mwaka mzima linapata bilioni 40 baada ya kuodoa matumizi, tiyari hiyo ni hasara ya bilioni 60 kwa mwaka. Hii haihitaji hata living certificate kutambua hili nashangaa wewe unakaza kichwa na payback period.

Payback period kabla ya kuifikia, kwanza utengeneze faida ya uendeshaji wa biashara. ATCL haijiendeshi, serikali ikaamua iweke fedha uko bado nazo hazikurudi maana yake na serikali nayo imepata hasara ya ilichoweka. Payback uipatie wapi?

Ili ATCL iendelee maana yake serikali iwe inatoa mafungu kila mwaka bila hivo biashara itasimama. Hapo hatujagusia kabisa kurejesha gharama za kununua hizo ndege, na kwa vile zimeanza na hasara miaka 5 yote bado kuna gharama za kufidia hii hasara yote kisha ndio uone positive return ya project nzima. Mambo kama haya hamuwezi yaelewa timu kusifu na kuabudu.

Mwaka 2020 na 2021 kuna COVI-19 hakuna shirika la ndege litatengeneza faida. Bado hata dunia nzima ichanjwe leo na lockdown ziondolewe kote itahitajika miaka miwili ili giants wa usafiri wa anga kama Lufthansa, Qatar Airways na KLM kuanza kupata faida. Sembuse kwa ATCL hawa ambao hawajui msamiati wa faida kwao. Ndio maana nakwambia, hata ulete timu nzima ya Aeroflot hapa nchini hutokaa upate faida ndani ya miaka mitano ijayo.

Mwanasiasa yeyote mwenye sense na anayefanya mambo kwa utaratibu asingenunua ndege ili kupigiwa makofi. Ndio maana alitaja faida ya bilioni 28 za ndotoni.
 
Ndio zilisha nunuliwa sasa, na zitaendelea kufanya kazi. Mimi na uhakika mtanzania yeyote mwanasiasa hata wewe huwezi kuendesha biashara halali ukapata faida labda uwe unakwepa kodi na kufanya free business. Na ndio sababu mliua viwanda vyote kwasababu hamna uwezo wa kuendesha biashara mnakariri tu manotes kwaajili kujenga hoja majukwaani. Charles Kimei akipewa hiyo ATCL ndani ya miezi michache inarudisha faida, biashara yoyote inahitaji mtu committed. Narudia tena biashara yoyote inahitaji mtu committed, hata mimi nikipewa hilo shirika lazima nitarudisha faida. Faida lazima irudi. Narudia tena kamwe siwezi kushindwa kufanya biashara kwenye monopoly market.
 
Afadhali umemueleza kichwa maji huyu[emoji2935][emoji2935]
 
Ukisikia baba yako aliuza ng'ombe kupeleka ng'ombe nyingine shule ndio kama hivi. Charles Kimei ni banker, banker na airline business wapi na wapi?

Wewe unasema unaweza endesha shirika lile? Ulipofanikiwa kuongoza mgawo wa togwa kwenye harusi kijijini kwenu sasa unajiona hata shirika la ndege unaweza kuliongoza.

Narudia kukwambia hivi, hakuna shirika lolote la ndege litapata faida mwaka huu wakati kuna lockdown na restrictions za usafiri. Wewe hiyo faida utaipata kwa kusafirisha nyama ya mbuzi kwenye ndege za abiria?
 
Atcl wapewe hizo ndege (bila kukodi), walipe na madeni ya hapo zamani tuone kama hawatopata faida 🏃🏾
 
Payback period ya nini wakati Atcl haikununua ndege.......?
 
Hiyo hasara inamanisha ni gharama za uendeshaji ukitoa mapato. Simple.
Umenunua mafuta ,vipuri, umelipa mishahara, malipo na tozo mbalimbali kwa tsh m.10. Lakini wewe umeuza tiketi za m4 hasara hapo ni m6 simple kama hivyo.
Hakuna payback wala forward hapo.
 
Sasa kama hayo yalizingatiwa na payback period bado, ule usanii wa faida tulizokuwa tunaambiwa ulitoka wapi?😊😊
Kwanini wafanye maagizo mpaka ya kuleta gawio
unajua bana ndomaana wakiwa wanaapa wansema ntalinda mambo yote ya siri ndop changamoto inaanzia hapo..kamba faida ATCL haina je gawio lilitoka wapi au nalo ???
 
wasomi tunawasikiliza wewe na ndgu yako wa payback na wewe ni payforward sasa..mmhh alafu inaendeleaje hii story hapo??
 
tuache usanii waTZ jamani...kila mtu sehemu yake uya kazi awe mkweli sio kuwa msanii bila sababu
 
Report ya Cag ina utata mwingi sana mfano kama hasara ni bil 60 mbona hajasema nani awajibishwe na hasara lkn bil 3 mtu kachukuliwa hatua iwe wazi kama msomi hapa kachemka sana
Rudi darasani kajifunze juu ya report ya CAG, eti report haijasema nani awajibishwe ninyi mataga mna matatizo ya kupenda kujadili mambo yaliyowazidi uwezo.

FYI, sio kazi ya report ya CAG kusema nani awajibishwe.
 
Report ya Cag ina utata mwingi sana mfano kama hasara ni bil 60 mbona hajasema nani awajibishwe na hasara lkn bil 3 mtu kachukuliwa hatua iwe wazi kama msomi hapa kachemka sana
Bil 3 wanawajibishwa sababu ya ubadhirifu ambao ndio unaisababishia serikali hasara. Hizi bil. 60 hazijafanyiwa ubadhirifu lakini kwa lugha rahisi hii ni tofauti ya mapato na matumizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…