Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Dola ni kWa mabaharia ni ndogo sana. Hugo jamaa haelewiMkuu unaona dollar Mia nyingi?
Halafu wanawake wote wa kigamboni unawajua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dola ni kWa mabaharia ni ndogo sana. Hugo jamaa haelewiMkuu unaona dollar Mia nyingi?
Halafu wanawake wote wa kigamboni unawajua?
Kuna watu hawaamini mkuu wanaona kama ni hadithi za kufikirika.Haya ni mambo ya kawaida duniani kote meli zinapokuwa out ankor, ni kawaida kabisa na wala sio kificho baadhi ya nchi ni biashara ya kawaida na unapokaribia out ankor unaweza kuingia online na kuagiza mchuchu...Manila phillipine huwa wanapanda kwenye boti zao hata mademu 20 then wanapita ship to ship kudrop packages..Dunia inamambo tembea uone..
mzee hivi kuna boti za kukodisha huko.nataka nikale good time nipige na maselfieKuna watu hawaamini mkuu wanaona kama ni hadithi za kufikirika.
Leo hii nikipata ela nachukua boti ndogo nakuwa nawapeleka, wanilipe nauli ya usafiri inakuwa kama water taxi wanachoenda kufanya huko watajua wenyewe.
Hapa inabidi upige "Sizitaki pesa zako zinanuka".
Zipo mkuu, ukienda Slip way, Msasani au Kigamboni utapata.mzee hivi kuna boti za kukodisha huko.nataka nikale good time nipige na maselfie
slipway napasikia nitaenda kula good times siku mojaZipo mkuu, ukienda Slip way, Msasani au Kigamboni utapata.
mwishowe utatuambia wakinogewa wanahonga na meli yenyewe😅😅😅😅Usibishe watu wanalipa dollars 5000_10000 Kwa wiki tafuta pesa ndugu yangu
Fukwe gani hiyoMkuu sio story ya kufikirika ni ukweli mimi muda mwingi nakuwa na hawa beach boys ufukweni. Hiki kitu nimekiona miaka 3 kabla.
Kama unabisha nitakuambia uende fukwe fulani utakutana na mtu yupo hapo anawanadi mabinti utayemtaka lazima uonane naye.