Biashara ya ngono inavyofanyika baharini

Biashara ya ngono inavyofanyika baharini

Haya ni mambo ya kawaida duniani kote meli zinapokuwa out ankor, ni kawaida kabisa na wala sio kificho baadhi ya nchi ni biashara ya kawaida na unapokaribia out ankor unaweza kuingia online na kuagiza mchuchu...Manila phillipine huwa wanapanda kwenye boti zao hata mademu 20 then wanapita ship to ship kudrop packages..Dunia inamambo tembea uone..
Kuna watu hawaamini mkuu wanaona kama ni hadithi za kufikirika.

Leo hii nikipata ela nachukua boti ndogo nakuwa nawapeleka, wanilipe nauli ya usafiri inakuwa kama water taxi wanachoenda kufanya huko watajua wenyewe.

Hapa inabidi upige "Sizitaki pesa zako zinanuka".
 
Anaesema Dola 100 Ni pesa kubwa kwa mabaharia wa meli Basi hajatembea.

Ukienda mwanza, ukerewe na visiwa vinavyozunguka ziwa Victoria.

Wavuvi ndo watu mashuhuri kwa kuhonga.

Anavua samaki wa millioni 1

Anatafuta Malaya anamlipa laki 5, Laki 4+ inakatika Kwenye kilaji.

Mpaka Kunakucha kabakisha buku 10 au 30 ya petroli kesho yake arudi mzigoni.

Wakati huo huo familia Yake inakaa nyumba ya makuti mwambao wa ziwani (wanita mwaloni).

WATU WA KWENYE MAJI AU MADINI HAWANAGA CHA KUPOTEZA KATIKA MAISHA.

ELA YENYEWE WANAIPATA KTK MAZINGIRA HATARISHI.

KIUKWELI
KATIKA KUJIPA KITU ROHO INAPENDA HUWA HAWAJIULIZI MARA MBILI MBILI.
 
Kuna watu hawaamini mkuu wanaona kama ni hadithi za kufikirika.

Leo hii nikipata ela nachukua boti ndogo nakuwa nawapeleka, wanilipe nauli ya usafiri inakuwa kama water taxi wanachoenda kufanya huko watajua wenyewe.

Hapa inabidi upige "Sizitaki pesa zako zinanuka".
mzee hivi kuna boti za kukodisha huko.nataka nikale good time nipige na maselfie
 
Mkuu sio story ya kufikirika ni ukweli mimi muda mwingi nakuwa na hawa beach boys ufukweni. Hiki kitu nimekiona miaka 3 kabla.

Kama unabisha nitakuambia uende fukwe fulani utakutana na mtu yupo hapo anawanadi mabinti utayemtaka lazima uonane naye.
Fukwe gani hiyo
 
Back
Top Bottom