Biashara ya ngono inayofanywa mitandaoni

Biashara ya ngono inayofanywa mitandaoni

Jamani jamii inatakiwa ielewe hivi mwanamke anayejiuza sio yule tu anayejitangaza kwamba anauza uchi hata hawa wa mtaani ambao huwa wanaangalia tu pesa kwa mwanaume nao pia hujiuza.....tena ni bora hawa wanaojitangaza kwasababu huwa makini sana kujilinda na magonjwa kuliko hawa wengine wa mtaani unakuta ametoka kufanya mapenzi na mwanaume saa nane bila condom na usiku anaenda kulala kwa mwingine tena bila hata condom.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wa mtaani ndio malaya bubu sasa, maana wao hawajaliweka official. Ni hela yako tu.
 
tena uzuri service providers ni wengi hence bei imeshuka mno,
 
Najaribu kuwaza dunia ya 2100 na kuendelea itakuwaje😚😚🙌
Usihofu unajua kwamba 1880's watu walikuwa wanatumia umeme? Unajua technology ilianza zamani sana? unajua watu walijenga madaraja ya maana tangua 1920 huko? Kwahiyo hata ikifika 2100 wao wataona kama sisi tunavyochukulia 1905 enzi za kina kinjekitile,unadhani watahisi 2020 kulikuwa na kina James Delicious? Unadhani watafikiri 2020 watu walikuwa wanatatua marinda wake zao? Miaka 2000 iliyopita si uliona yesu alivyomsamehe kahaba? Kwahiyo nature ya binadamu haipotei itaendelea kuwa ilele hata mwaka wa 3000 huko watakuwepo watatua marinda kama kawaida.
 
Yes Mkuu biashara imerahisishwa zaidi. Yaani ukitaka unaiona papa yake kwanza kabula ya kuinunua, pengine unaweza kurequest trailer akiwa kazini uone kama anajishughulisha kisawasawa.
😂😂😂😂😂😂 Anakuambia full video zipo kwa bei chee.
Sasa najiuliza kuwa kama nimeona unachofanywa na mtu mwingine mimi nikienda itakuwaje?
 
Usihofu unajua kwamba 1880's watu walikuwa wanatumia umeme? Unajua technology ilianza zamani sana? unajua watu walijenga madaraja ya maana tangua 1920 huko? Kwahiyo hata ikifika 2100 wao wataona kama sisi tunavyochukulia 1905 enzi za kina kinjekitile,unadhani watahisi 2020 kulikuwa na kina James Delicious? Unadhani watafikiri 2020 watu walikuwa wanatatua marinda wake zao? Miaka 2000 iliyopita si uliona yesu alivyomsamehe kahaba? Kwahiyo nature ya binadamu haipotei itaendelea kuwa ilele hata mwaka wa 3000 huko watakuwepo watatua marinda kama kawaida.
😆😆😆 duh!!
 
Back
Top Bottom