Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Kumbe ndio walikuwa wanaishi huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawajui... Mm nlgundua Kuna siku saa 9 kulichalala pale 5N mkabala n mliman city mall. Ilishuka bonge ya mvua wakawa wanapand daladala za mbagala wakashuka buguruni [emoji23]