Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Kumbe ndio walikuwa wanaishi huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawajui... Mm nlgundua Kuna siku saa 9 kulichalala pale 5N mkabala n mliman city mall. Ilishuka bonge ya mvua wakawa wanapand daladala za mbagala wakashuka buguruni [emoji23]
Mimi nilikuwa nawafuata huko huko Manzese, nimelala sana kwenye rooms zao weekend!Ni simple.mathematics. kama uko kiwanja high end na taa ya mnara imewaka, huo muda wa kutoka hapo mpka kumpata wa bei ndogo unaeza kuta unabadilisha mawazo au unakutana na kisanga kingine in the process. Therefore, kama dem "amepanda thamani" unapita nae kwa value yake ya muda huo. Hua hakuna saving au ubahili kwenye dhambi.
Alie juu mfate juu ukimngoja chini anaeza kuchelewa
Ni sawa pia. Ile ni biashara kama biashara zingine. Na kwenye biashara service inategemeana na jinsi utakavyojinadi. Kwa mfano kuna madada poa (bora hilo jina kuliko malaya maana huduma yao tinaihitaji), ambae anaeza akawa anakupa bure kabisa na mwenzako analipia. Ni utashi wako tu.Mimi nilikuwa nawafuata huko huko Manzese, nimelala sana kwenye rooms zao weekend!
😂😂😂 sijawahi kuliongelea popote tofauti na hapa. Sema nilijenga urafiki na madada poa kujua nini huwa kinafanyika, na kusaidia wahanga.Usiwaze, umeshajifunza i hope hutofanya tena kosa hilo. Na imagine namna ulivyochanganyikiwa
Ila issue ni kuwa ukienda Buguruni tena kwenye room yake, huduma ni ile ile. Sasa huoni watu wanapoteza hela? Kwa nini wasiende moja kwa moja huko kwenye vyumba vyao iwe uwanja wa fisi au buguruni?
Big up[emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi kuliongelea popote tofauti na hapa. Sema nilijenga urafiki na madada poa kujua nini huwa kinafanyika, na kusaidia wahanga.
Kumbe issue kubwa ni usalama?Tatizo kwenye vyumba vyao atakupa kila kitu hasa ukinunua na pombe ila shida inakuja anakuwa huru humo , mara avute sigara zake , mara apigiwe simu na mjuba mwingine yaani taafrani ila ni nzuri kiasi japo usalama ni manati sana huko.
AmenMungu akuponye na dhambi hili nakuombea na wengine waweze kutoka
Sokonibuguruni pale sehemu gani wapo
Hiyo ndiyo main point ya uzi huu[emoji122][emoji122]Kwanini ununue soda kwa buku hotelini wakati kwa Mangi ni jero tu.
Hata sidhani. Ila nimempa heshima yake tu. Unajua jamaa ni miongoni mwa watu wazito humu jamvini so tuna assume anajua vingi.Na DeepPond nae Ni mdau wa hii?mi najua yeye Ni mwenyekiti wa wenye michepuko ya kudumu
Duuuuuuuh au sio. Hakuweza kukugeuka?Nilinunua sana kipindi hiko nina miaka 19 nilikuwa na jamaa angu mmoja hivi nilisoma nae kuanzia primary hadi O level, baba ake alikuwa ni mkurugenzi kwenye mji ninaoishi.
Basi ilikuwa jamaa ni kuchota tu pesa ndani tunaenda kununua, na kuna muda tunajirudia hadi mara tatu tatu. Ilifika hatua hadi wote tukawamaliza na kuna malaya mmoja alinielewa sana nikawa mchana naenda room kwake napiga buree.