Lambo walipataga sekeseke balaa. Kuna kijana alipata uchizi maskini. Sometimes yes sometimes no. Alawapeleka polisi, nimesahau kisa hasa ni nn. Walifungiwaga muda kweli. Siku hizi pamepooza baaalaa. Enzi hizo mafuso kama yote yanalala pale. Kuna mziwanda inn ndo wanapiga sana hizi mishe. Kwa mziwanda kijana aliachiwa nyumba urithi na wazazi wake. Wameshafariki. Yaan ni anawajaza wnaawake mimba balaa. Ana watoto balaa. Na wanawake wenza wanaishi hapohapo. Tena chumba kimoja na wanapika pamoja. Hutaki kwenu na no huduma.
Lambo wenyewe washafariki jamani. So hata kurudi kama enzi zile ngumu sana. Ila ilikuaga inabamba sana. Mwenyewe aliingiza sana pesaa miaka hiyo. Watoto wameshindwa kuendesha poa biashara