Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

Ni kuchovya tu? Sasa bila mpapasano hiyo erection inatokea wapi inabidi utoke nyumbani ukiwa umesimamisha mkuyenge tayari? Je vipi condom ikapasuka?
Mnapanga foleni ya kuchovya ama? 😂
Body reaction ya mwanaume iko tofauti na nyie yaani kichwa kidogo kinaweza kusimama hata usingizini ndio maana kuna makahaba wengi wanawake kuliko wanaume kwa sababu mwanaume anahisia za mwili ila mwanamke anahisia za ndani
 
Ukiuona MJI/JIJI watu HAWALIMI KILIMO CHA MAZAO......

Ila.....WANAKULA.....NA VYAKULA VIMEJAA MASOKONI ,MAGULIONI ,MADUKANI....

Basi fahamu kuwa HAPO fedha INATAFUTWA KWA NJIA ZOZOTE ZA HARAMU kuliko huko kwa hao wanaolima ......


Its terrible......
 
wenzao wajanja saivi wanafanyia online delivery .Whatsap , Telegram badoo na mitandao mingine . kiufupi kwa hali ilivyo sasa asilimia kubwa sana ya wanawake tunaokutana nao mitaani wanajiuza kwa namna moja au nyingine
 
makahaba hata Biblia imewatambua Rahabu, na Delila walikuwa ni official kabisa ujue hawa Dada zetu wanasaidia Sana ndoa zidumu na kesi zipungue . Ukiangalia kwa sasa mkoa wa Dar kesi za ubakaji zimeisha kabisa kwa sababu watu wanapata mahala pa kuutupa.
Nakubaliana na ww mkuu [emoji110] Dar hapa mtu akibaka. ..akapimwe akili
 
Sababu watu hawataki mambo ya kudaiwa kodi za nyumba, mambo ya outing, salon na mataka taka mengine. No String Attached, unalipa unapewa huduma, hakuna hata haja ya kujuana majina.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wanataka short cut
 
40K per day, sawa na 1.2 M kwa mwezi, wastani wa 800K. Mshahara wa baadhi ya kada graduate. Hawa wanasomesha, kuhudumia mama zao, wanatuma hela vijijini. Ni sekta ya muhimu sana. Inahitaji kulindwa.

Ndio maana unakuta wengine wana majumba, magari ya kifahali n.k ukajua ameyapata kwa njia ya harari kumbe ufirauni mtupu *****!!!!
 
Ni hatari sana na wanaume wanaonunua wana roho ngumu na hawana kinyaa yaani unajua kabisa unaweza ukawa ni 13 hivi kwa siku hiyo na bado unaenda na wewe sehemu walipotoka wenzio🤔
Sio hawana akili, kuna vitu pia ukifanya wengine wanakuona huna akili. Mwisho wa siku Mungu asaidie katika madhaifu yao ya uchafu na uasherati, Mungu awashindie na kuwatoa katika hilo giza la dhambi
 
Hizo figures zilizotajwa na huyo kahaba zitashawishi mabinti wengi tu kuibukia huko.
 
Back
Top Bottom